Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

Katiba inayopendekezwa ni ya watanzania wote na sio ya kundi fulani la watu kama ambavyo baadhi ya watu wanataka kutuaminisha,wakati ukifika tujitokeze kwa wingi kupiga kura kwa kuwa ni haki yetu ya msingi
 
Tanzania itajengwa na Watanzania. Wabomoa nchi pia huwa wanakuwepo. Cha msingi wananchi waendelee kujiandikisha wakati ukifika wa kupiga kura, Watanzania hao wafanye uamuzi kwa kura yao ya ndiyo ambayo itatupatia misingi imara ya taifa.
 
Napendekeza watu wenye mihemuko ya kisiasa watumie muda wao vizuri kusoma hoja kwa makini na kutuelimisha sawasawa na siyo kucheua vumbi lisilo na faida JF na kwa jamii.
 
Napendekeza watu wenye mihemuko ya kisiasa watumie muda wao vizuri kusoma haoja kwa makini na kutuelimisha sawasawa na siyo kucheua vumbi lisilo na faida JF na kwa jamii.
 
Ni dhahiri kuwa mchakato wa kupata Katiba mpya umekwama.
Ili tuweze kupata Katiba, kama hoja italetwa tena siku zijazo, basi ni vema kuamua kwanza kuhusu mfumo wa Muungano.
Tukumbuke kuwa, kama ilivyo kwa Zanzibar, leo hii nasi tungekuwa na serikali ya Tanganyika basi tusingekubali kuivunja.
Hivyo suala la msingi ni kuamua kati ya serikali 3 au serikali 1.
 
Back
Top Bottom