Jay Milionea
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,185
- 154
Welcome once again!Turudi kwenye mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Welcome once again!Turudi kwenye mada
Jazba iko wapi hapo unaota au umekunywa viroba kijana?Punguza jazba !
Acha kukurupuka humu hawagawi chakula cha msaada wa njaa wewe!Tatizo lako jazba !
...kunguni anaweza kupiga kura?
Acha kukurupuka humu hawagawi chakula cha msaada wa njaa wewe!
Acha hasira !
Katiba inayopendekezwa ni ya watanzania wote na sio ya kundi fulani la watu kama ambavyo baadhi ya watu wanataka kutuaminisha,wakati ukifika tujitokeze kwa wingi kupiga kura kwa kuwa ni haki yetu ya msingi
Wewe ndo mwenye hasira na pupa utadhani wanagawa msaada humu ndani, kama huna jioya acha kuchonga au uko kikazi zaidi wewe? Hahahah dogo angalia njaa itakuua wewe acha kuwa mtumwa wa wanasiasaAcha hasira !
Wewe ndo unahasira za ajabu mwehu weeeeAcha hasira !
Wewe ndo unahasira za ajabu mwehu weeee
Tuko pamoja mkuuu hahahahaWakuu tujadiliane kwa amani na salama!
Wewe ndo unahasira za ajabu mwehu weeee
Acha hasira !
Wakuu jambo la msingi ni hoja iliyo mezani la Ndiyo au Hapana haya mambo mengine ya matusi hayana maana!
Wakuu jambo la msingi ni hoja iliyo mezani la Ndiyo au Hapana haya mambo mengine ya matusi hayana maana!
Wewe kilaza nenda kamsaidie baba yako mi hunijui na mi sikujui, fanya mambo yako acha porojo zako hapa.Umeongea vyema.
Huyo mjamaa ana hasira sana.
Sijui tunamsaidia vipi
Wewe kilaza nenda kamsaidie baba yako mi hunijui na mi sikujui, fanya mambo yako acha porojo zako hapa.