Wewe nithibitishie tu kwamba Kuna stage katoto tumboni kanakuwa ka skeleton tupu bila nyama , ni silimu LeoKwahiyo wewe unasemaje?
Unataka kusema kuwa zilianza kuumbwa nyama baadae ikachukuliwa mifupa ikachomekwa Kwa ndani ?
Sio Kila kilichosemwa na Qurani upinge tu hata kama wewe ni kafiri
Nani aliyekuambia kuwa Kuna kipindi katoto kanakuwa skeleton tupu?Wewe nithibitishie tu kwamba Kuna stage katoto tumboni kanakuwa ka skeleton tupu bila nyama , ni silimu Leo
Ni atua nzuri uliyofikia ya kumpinga AllahNani aliyekuambia kuwa Kuna kipindi katoto kanakuwa skeleton tupu?
Yani mifupa mitupu unayoijua wewe Kwa akili zako za kigalatia
Quran 23:14 -Ni atua nzuri uliyofikia ya kumpinga Allah
Quran 23:14 ...., kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama..... Hii stage hapo juu mifupa tupu alafu ndio inakuja kuvishwa nyama imeshawahi kuwa captured kwenye ultra sound?
Unawapinga kina Allah walipo sema nyama ilikuwa mifupa tupu alafu wakaivisha nyama tena [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Ya mtoto kuwa skeleton tupu sayansi imekataaQuran 23:14 -
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, ...
Unauliza swali kwa Nia ya kutaka kupotoshaWewe unabisha kuwa mifupa haikutokana na pande la nyama?
Kwenye dini yenu mnawaumbaji wangapi ? Mpaka Allah ajiite Mbora wao?Quran 23:14 -
..... Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.
tena ni dini zimeletwa na wakoloni,,waliotutesa na kutudhulum mali zetu.....ni heri angekuwa anazungumzia dini asili ya mwafrika.Ushabiki wa kidini huu.
Halafu mtu anaanzisha Uzi kabisa Ili ajisafishe yeye imani yake ni bora kuliko ya mwenzake.
Wakati tunajua mapungufu ya imani zote.
Huu ni uchochezi.
Watu wako kwenye utumwa mbaya sana wa akili na tamaduni.tena ni dini zimeletwa na wakoloni,,waliotutesa na kutudhulum mali zetu.....ni heri angekuwa anazungumzia dini asili ya mwafrika.
Tatizo lako unaongeza maneno ambayo hayapo katika AyaUnauliza swali kwa Nia ya kutaka kupotosha
Nataka kujua hii stage katoto tumboni kanakuwa mifupa tupu
1. Mtoto anakuwa mifupa tupu kwa mda gani ? Ukizingatia Muhammad alisema kila stage ni siku 40
2. Hii stage ya mifupa tupu iliwahi kuwa captured na ultrasound?
3. Hii skeleton (mifupa tupu) inawezaje kukaa ndani ya mji wa uzazi si ingeleta fatal injury?
Quran 23:14 ...., kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa,...Nionyeshe hapo katika hiyo Aya sehemu inayosema Kuna stage mtoto anakuwa mifupa tupu
Mcqueenen naona kakukimbiaTatizo lako unaongeza maneno ambayo hayapo katika Aya
Sasa hapa mifupa tupu imetoka wapi?Quran 23:14 ...., kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa,...
Kila hatua pedophile Muhammad alisema inachukua siku arobainiSasa hapa mifupa tupu imetoka wapi?
Kuwa mifupa(hard tissue)isio tupu it means Kuna mifupa na vitu vingine mf. Nyama(soft tissue)
Bone cells begin like normal soft cells before turning into bones in the embryo.(process called ossification)
Soma tenaSasa hapa mifupa tupu imetoka wapi?
Duu makubwa hayaKurani inasema mkiwa katikati ya ibada anakuja jini anakuja atia dole mmoja wenu aliye bong'oa vizuri... Na mnaambiwa usishituke.... Ukibisha naleta aya
Weka aya tumechoka maneno.Kila hatua pedophile Muhammad alisema inachukua siku arobaini
Damu iliyoganda - 40 days
Mifupa tupu - 40 days
Mifupa kuvikwa nyama - 40 days
Damu iliyoganda ndani ya mji wa uzazi kwa siku 40 πππ€£π
Allah alikula kitu Cha kisimiri juu