Kuwa mifupa,sio kuwa mifupa tupu.Soma tena
Quran 23:14 ...., kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa,...
Ukishaanza kumrekebisha Allah maana yake kazi yangu NimemalizaKuwa mifupa,sio kuwa mifupa tupu.
Usituongezee Hilo neno tupu.
Wewe ndo unayeingiza maneno yasiyokuwepo.Ukishaanza kumrekebisha Allah maana yake kazi yangu Nimemaliza
Kina Allah waliposema na tukaivika nyama ? Kwa madai yako walikosea na nyama ilikuwepo
Usirudie tena
Kina Allah waliposema na tukaivika nyama ? Kwa madai yako walikosea na nyama ilikuwepoWewe ndo unayeingiza maneno yasiyokuwepo.
Wapi pameandikwa mifupa tupu?
Kafiri ww hujitambui, kwaiyo mtoto akizaliwa anakuwa Hana mifupa? Au akiwa tumboni anakuwa Hana mifupa?Unauliza swali kwa Nia ya kutaka kupotosha
Nataka kujua hii stage katoto tumboni kanakuwa mifupa tupu
1. Mtoto anakuwa mifupa tupu kwa mda gani ? Ukizingatia Muhammad alisema kila stage ni siku 40
2. Hii stage ya mifupa tupu iliwahi kuwa captured na ultrasound?
3. Hii skeleton (mifupa tupu) inawezaje kukaa ndani ya mji wa uzazi si ingeleta fatal injury?
Weka kipande cha Bible kinachoelezea hayoQuran imekopi Biblia
Quran 23:14 -Quran 23:14 ...., kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa,...
Ndio upeo wa akili yako aliekupa Muumba wako ilipofikia kupambanua. Kukusaidia wewe na mleta mada nia ya biblia kwa Muumba sio kufafanua wala kufundisha sayansi. Mungu alimuumba binadamu na akampa akili ya kuzijua sayansi bila kutumia biblia mana Biblia ina kazi ingine kabisa nje ya mada hii.Hakika Quran ni kitabu bora kuliko vitabu vyote duniani
Kwani taurati, injili na zaburi mmetoa wapi Kama Sio kwenye bible.Weka kipande cha Bible kinachoelezea hayo
Kwanini kwenye stage zako neno damu iliyoganda unaliruka makusudiQuran 23:14 -
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda,
1) Manii kuwa pande la damu
Quran 23:14 -
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.
1) Manii kuwa pande la damu
2) pande la damu kuwa nyama
3) Pande la nyama kuwa mifupa
4) mifupa kuvikwa nyama
Wasikie wazungu na biology Yao labda utawaelewa maana nyinyi wagalatia kitu akisema mzungu ndio mnaamini hata kama ni uongo na ndio maana amekuambieni Yesu ndio Mungu wenu mmekubali
BIOLOGY
Uti wa mgongo hutengenezwa mara tu baada ya mimba kutungwa, ikiwa kuna kasoro katika utengenezaji wa uti huu basi sehemu fulani ya uti wa mgongo itabaki bila kuzibwa.
Biology inasema kitu Cha kwanza kutengenezwa Baada ya mimba kutungwa ni uti wa mgongo na ukishatengenezwa huo uti wa mgongo kitu kinachofuta ambacho ni muhimu kuufunika huo uti wa mgongo na ikitokea shida hapa katika kuufunika mtoto atazaliwa mgongo wazi
Biology inakubaliana na Qurani kuwa Baada ya pande la nyama kinachofuata ni uti wa mgongo uti wa mgongo ni mifupa na ukisha tengenezwa uti wa mgongo kinachofuata ni kufunikwa Yani kuvikwa nyama
Sio wewe Mokiti hakuna kafiri yoyote katika Dunia hii anayeweza kuthibitisha kuwa Kuna sehemu Quran imesema uongo
Kwanini kwenye stage zako neno damu iliyoganda unaliruka makusudi
Unasikia aibu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Embu taja stage za kina Allah vizuri
Au kimbilia kiarabu ku solve tatizo hilo
Unachekesha sana pande la nyama kuwa mifupa umeshaelewaKwanini kwenye stage zako neno damu iliyoganda unaliruka makusudi
Unasikia aibu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Embu taja stage za kina Allah vizuri
Au kimbilia kiarabu ku solve tatizo hilo
La mifupa sayansi imemuumbua AllahUnachekesha sana pande la nyama kuwa mifupa umeshaelewa
Sasa umerukia katika swali lingine hili ndio swali rahisi kuliko yote
Allah akbar👊Takbir
Yesu akuja na kitabu kinaitwa BibleKwani taurati, injili na zaburi mmetoa wapi Kama Sio kwenye bible.
Uislam ni tawi la ukatoliki ndio waliouanzisha uislam kwa kukopi vitabu vya Biblia.
Acha uongo wewe biology gani inayosema katika fertilization process haipitii stage ya kuwa donge la damu na donge la nyamahapana hii biology ya sheikh sule achana nayo.
biology inataja inaandika baada ya yai kurutubishwa cha kwanza kuchukua stape ni mfumo wa damu na moyo wake,kisha ubongo na mfumo wake wa fahamu,ambao utafuatana na mfupa wake wa nyuma.
Quran inatwambia yai liligeuka kuwa nyama,pande la nyama likageuka mfupa,halafu tena huo mfupa ulitokana na nyama ukafunikwa na nyama.
kama ni Mungu alikuwa anamweleza hivi Muhammad basi hata yeye hakijui vyema alichokiumba.