Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

kama haya nikweli naanaweza nikwanini ala anaua watu kila siku ila anashindwa kuwahudia chakula?
 
Haujajibu swali imeandika utumbo kibao

Process za fertilization zipo enzi na enzi tokea Dunia imeumbwa

Miaka ya 600 AD Quran ikasema mbegu ya mwanamume ikikutana na yai la mwanamke inatengeneza pande la damu baadae hilo pande la damu linabadirika kuwa pande la nyama

Waislam hatuna shida na hilo maana tumeliona hilo pande ni kweli Lina rangi ya damu na limeganda ndio maana Lina shape ya duara maana kimiminika Ili kutengeneza shape lazima ukigandishe

Pia tumeliona hilo pande la nyama ni kweli pande la nyama maana halina mfupa na Lina rangi ya nyama

Miaka ya 1600 AD na 1900 AD Oscar na mwenzake wakasema hilo pande la langi ya damu ni Zygote na hilo pande la rangi ya nyama ni Embryo

Jibu swali wagalatia wenzako wa miaka ya 500 AD , 700 AD na 1200 AD hivyo vitu walikuwa wanaviitaje?
 
kuran inawataka watu wapumuliane visogo... Ulawiti ruksa
 
Attachments

  • Screenshot_20230728-013154.png
    16.7 KB · Views: 3
Haujajibu swali imeandika utumbo kibao
hakuna swali ulilouliza wala mleta mada hajauliza swali,hapa swala ni kmpiga spanner Allah.
Process za fertilization zipo enzi na enzi tokea Dunia imeumbwa
swali sasa hapa.
kama Allah ndiye muumbaji wa hiyo fertilization kwanini aitolee maelezo kama layman???tunakuja kuelewa ni kitu gani carne 12 baadae!!!!
wewe unakubaliana naye kwamba embryo ni pande la damu iliyoganda????
Miaka ya 600 AD Quran ikasema mbegu ya mwanamume ikikutana na yai la mwanamke inatengeneza pande la damu baadae hilo pande la damu linabadirika kuwa pande la nyama
Quran hii hii inasema pande hilo la nyama linageuka mfupa,lakini wewe mtetezi wa Quran hujatueleza ni hatua ipi katka biology ambayo hili pande la nyama linakuwa mfupa.
Waislam hatuna shida na hilo maana tumeliona hilo pande ni kweli Lina rangi ya damu na limeganda ndio maana Lina shape ya duara maana kimiminika Ili kutengeneza shape lazima ukigandishe
na ili pande la nyama ligeuke kuwa fupa linatakiwa lipitie hatua ipi,ukizingatia hiyo ya damu kuganda kabla ya kuwa pande la nyama!!!!
Pia tumeliona hilo pande la nyama ni kweli pande la nyama maana halina mfupa na Lina rangi ya nyama
kwahiyo Allah aliona pande la nyama au rangi ya nyama??tuwekane sawa hapa kwanza.
Miaka ya 1600 AD na 1900 AD Oscar na mwenzake wakasema hilo pande la langi ya damu ni Zygote na hilo pande la rangi ya nyama ni Embryo
kwa kielelezo hiki tunaona kabisa Oscar na wenzake walikuwa wakijua vyema kinachofanyika kuliko hao wanaomtukuza Allah mbele ya muhamad,nakujiita sisi.
Jibu swali wagalatia wenzako wa miaka ya 500 AD , 700 AD na 1200 AD hivyo vitu walikuwa wanaviitaje?
sifahamu walikuwa wanaitaje,labda umuulize Allah neno pande la Damu alilitoa wapi???
 
Umesema kweli wagalatia wenzako wa miaka ya 500 AD kabla ya Qurani na wa miaka 700 AD Baada ya Qurani na wa miaka 1200 AD walikuwa hawajui chochote kuhusu haya mambo

Lakini waislam tokea miaka ya 600 AD wanayajua vizuri haya mambo ni Kwa sababu wamefundishwa na Mungu muumba mbingu na aridhi kupitia Qurani

Qurani 35:11
- Na Mwenyezi Mungu amekuumbeni kutokana na udongo. Kisha kwa tone la manii.

Qurani 86:7
- Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Qurani 23:14
- Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.

Qurani 46:15
Na kuchukua mimba kwake hata kumwachisha ziwa ni miezi thalathini.
 
Umesema kweli wagalatia wenzako wa miaka ya 500 AD kabla ya Qurani na wa miaka 700 AD Baada ya Qurani na wa miaka 1200 AD walikuwa hawajui chochote kuhusu haya mambo
sijasema walikuwa hawajui,tafadhali soma taratibu usiwe na pupa kama mtume kaona demu mgeni,nimesema sijui walikuwa wanaitaje Maana swala la lugha ndio siifahamu,lakini hawakuiita Pande la damu iliyoganda kama alivyouita Allah.
Lakini waislam tokea miaka ya 500 AD wanayajua vizuri haya mambo ni Kwa sababu wamefundishwa na Mungu muumba mbingu na aridhi kupitia Qurani
waislam wanajua vizuri halafu,miaka 1200 baadae anakuja mgalatia mwingine na kuwasahihisha waislam pamoja na Allah kwamba NO,this is tissue called zygote😅😅.
Qurani 35:11
- Na Mwenyezi Mungu amekuumbeni kutokana na udongo. Kisha kwa tone la manii.
unaona sasa hapa Anapuyanga tena,tone la manii ni sawa na mbegu bilioni ngapi??Allah pia hakujua mtu anaundwa kwa mbegu moja tu wala sio tone zima😅😅😅.
Qurani 86:7
- Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
kiwanda cha mbegu za kiume kipo chini ya kibofu,kati ya mbavu na mfupa wa mgongo kuna mapafu,usiendelee kumvua kanzu Allah hajavaa boxer..
hapa kwenye miezi 30 Allah alikuwa anawafundisha ama alikuwa anaelezea wanachofanya watu siku zote😄😄
 
leta huo mstari kwenye quran ambao mimi siujui unaosema dunia ni sphere ili nkubali madai yako,
failure to do so.. Utakuwa muongo, na dini yako nitaiconclude kuwa ya uongo.

Hakuna kuhubiri leta quote hapa nicheki
Hawa jamaa zetu wasikupotezee muda, tukishuka hapa na vifungu vya Quran yao wenyewe vinavyoonyesha upuuzi wa hicho kilichoandikwa wanachosema ni science wataanza kulia Lia kwa Modes afute comments kama walivyolia tulipo post Uzi wa MAJINA MATANO YA ALLAH yanayothibitisha Allah ni Shetani mwenyewe.
Uongo kama huu usio na logic ndyo wanayotumia kushikisha watu SHAHADA
 
Ona sasa umeshakubali ilichosema Quran kuwa Zygote ni pande la damu

Mda wote ulikuwa hautaji Zygote ni Nini nahisi ulikuwa unajua na ndio maana ulikuwa unakwepa ukawa usema Zygote Embryo ukilizwa hiyo Zygote ni Nini na Embryo Nini unakwepa Ilala umesema kuwa Zygote ni TISSUE japo umekosea kido ila sio shida elimu itafika

Sikia wanasayansi wako Sasa wanasemaje

Blood cell development begins as early as the seventh day of embryonic life. [1] Red blood cells are essential in delivering oxygen to tissues and the development of vascular channels during embryogenesis

Wanasema damu inatengenezwa mwanzano mwa Embryonic stage

Ukisema mwanzoni mwa Embryonic stage inamaana unazungumzia Zygote inayo ishia na kubadirika kuwa Embryo Kwa hiyo hapo damu inatengezwa katika Zygote stage

Pia wanasema hiyo damu ni muhimu katika mabadiriko ya Embryo kuendelea na safari yake Kwa sababu kazi ya damu kusambaza oxygen katika tishu zinazotemgezwa katika Embryo

Ndio maana Qurani ilianza kutaja pande la damu Kisha pande la nyama Kwa sababu hilo pande la nyama litahitaji oxygen Kwa hiyo ni lazima damu itengenezwe kwanza

Nafikili wenye akili wameelewa maana wewe ni kama ubao tunaandika Ili wagalatia wenzako wenye akili wasome na waelewe
 
Qurani 86:6 -
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,

Qurani 86:7 -
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Quran Kila itakachosema lazima kafiri ashangae na kubisha

Sasa wasikilize wanasayansi wako katika

The prostate and seminal vesicles are special glands present in the male reproductive system which produce different secretions. These secretions mix with the sperm and form semen. Semen provides better mobility and nutrition to the sperm, as they have to cover some distance inside the female body for fertilization.

Wanasayansi wako wanakubaliana na Qurani kuwa sperm zinazorushwa kwenda katika Ike zinatokea katika seminal vesicles na sio korodani

Korodani inatengena sperm cell na kupelekwa katika seminal vesicles hapo katika seminal vesicles zinatiwa virutubisho na kuwekwa tayari Kwa ajili ya kurusha kwenda katika uke
Na hile nguvu inayo rusha sperm ni kazi ya misuli ya seminal vesicles

JE serminal vesicles ipo wapi?

Qurani inasema ipo kati ya mifupa ya uti wa mgongo na mbavu

Angalia picha Kisha jibu swali

Ukitoka hapo katika serminal vesicles ukielekea ju utakutana na mfupa gani?

Na ukitoka hapo katika serminal vesicles ukielekea kulia au kushoto utakutana na mfupa gani?
 
Ona sasa umeshakubali ilichosema Quran kuwa Zygote ni pande la damu
wapi nimekubali unanilisha maneno sasa😁😁.
kwahiyo Allah anajua mpaka leo Zygote ni pande la damu??au nayeye amebadili msimamo ameelimika kwamba si pande jekundu linaloonekana kama damu iliyoganda ila ni zygote???
Sikia wanasayansi wako Sasa wanasemaje

Blood cell development begins as early as the seventh day of embryonic life. [1] Red blood cells are essential in delivering oxygen to tissues and the development of vascular channels during embryogenesis
Yess wanasayansi wameeleza vyema sana,kwamba hii ni hatua ya awali ya ukuaji ambapo cell nyekundu za damu husambaza hewa katika tissu ambazo tayari zina mfumo wa mishipa ya damu.
hakuna pande la damu hapa maalim abdool.
Wanasema damu inatengenezwa mwanzano mwa Embryonic stage
unapishana na mwenzako na kauli zako za mwanzo kwamba damu huganda kutengeneza pande la nyama.
Ukisema mwanzoni mwa Embryonic stage inamaana unazungumzia Zygote inayo ishia na kubadirika kuwa Embryo Kwa hiyo hapo damu inatengezwa katika Zygote stage
kwahiyo kuna damu na mishipa ya damu ama pande la damu iliyoganda???kuwa makini katika majibu yako.
Pia wanasema hiyo damu ni muhimu katika mabadiriko ya Embryo kuendelea na safari yake Kwa sababu kazi ya damu kusambaza oxygen katika tishu zinazotemgezwa katika Embryo
haya ni maelezo ya wataalam wagalatia.
Allah anasema pande la damu,tunaligeuza kuwa pande la nyama,halafu kuwa mfupa.

wewe unakwenda na Allah ama wanasayansi wagalati??

Ndio maana Qurani ilianza kutaja pande la damu Kisha pande la nyama Kwa sababu hilo pande la nyama litahitaji oxygen Kwa hiyo ni lazima damu itengenezwe kwanza
toa maelezo kutoka katika Quran yanayosema pande la damu lina oxygen ambayo ni muhimu kulifanya kuwa pande la nyama.
Nafikili wenye akili wameelewa maana wewe ni kama ubao tunaandika Ili wagalatia wenzako wenye akili wasome na waelewe
mgalatia hajifunzi kwa Allah asiye na akili wala mfuasi wake ambaye hana uwezo wa kuelewa.
 
Qurani 86:6 -
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
maji ya kuchupa ikimaanisha maji ya shahawa si ndio😂😂😂
Qurani 86:7 -
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
kasome biology tafuta baina ya mifupa ya mgongo na mbavu kuna organ gani inayohusika na sperm production.
ukiipata leta na picha kabisa.
Quran Kila itakachosema lazima kafiri ashangae na kubisha
kabisa,kama inasema jua huzama kwenye matope,nyota ni mapambo ya anga😅😅😅.
kwanini tusishangae!!!
seminal vesicle unajua zinapatikana wapi???au unaandika tu??mkiambiaa nendeni shule mnakomaa na madrasa ona sasa😂😂😂.
Korodani inatengena sperm cell na kupelekwa katika seminal vesicles hapo katika seminal vesicles zinatiwa virutubisho na kuwekwa tayari Kwa ajili ya kurusha kwenda katika uke
Na hile nguvu inayo rusha sperm ni kazi ya misuli ya seminal vesicles
misuli ya seminal vesicle inapatikana kati ya mfupa wa mbavu na mgongo😂😂😂.
nikuletee mchoro ili uelewe vyema???

JE serminal vesicles ipo wapi?

Qurani inasema ipo kati ya mifupa ya uti wa mgongo na mbavu
😂😂😂😂😂.
Angalia picha Kisha jibu swali

Ukitoka hapo katika serminal vesicles ukielekea ju utakutana na mfupa gani?
nadhani kiswahili unaelewa vyema,au tafsiri ya Quran imekosewa!!!
imesema kati ya mfupa wa mbavu na mgongo,wewe unasema nipandishe juu,unaongeza maeelzo kutoka katika mfuko wako ambayo hayapo kwenye Quran.

ukielekea kulia au kushito ni mifupa ya nyonga,usiparamie fani za watu watakushangaa.

hapo Allah anaposema kati kati ya mbavu na mfupa wa mgongo hata hakuna ukaribu huo na zilipo tezi hizi za uzazi.
Na ukitoka hapo katika serminal vesicles ukieleke. kulia au kushoto utakutana na mfupa gani?

View attachment 2704777
 
Sasa mbona wengi hampendi shule?
 
Umeanza kupingana na Qurani na Sasa unapingana na wanasayansi wako

Wanasayansi wako wanasema sperm zinazorushwa kwenda katika uke Kwa ajili ya fertilization zinatoka katika seminal vesicles

Na Qurani inasema hilo eneo lipo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu

Sasa kama wewe unapinga

jibu swali ni mifupa ipi utakayokutana nayo kwanza ukitokea hapo katika serminal vesicles
 
Umeanza kupingana na Qurani na Sasa unapingana na wanasayansi wako
😄😄unajitekenya na kucheka mwenyewe,wapi ninepingana na wanasayansi!!!
Wanasayansi wako wanasema sperm zinazorushwa kwenda katika uke Kwa ajili ya fertilization zinatoka katika seminal vesicles
seminal vesicle zinapatikana kati ya mfupa wa mgongo na mbavu ipi??leta picha ya sayansi inayokubaliana na maelezo haya ya Quran yako.
Na Qurani inasema hilo eneo lipo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu
baina ya mfupa wa mgongo na mbavu ni katik mfupa wa nyonga kwa mujibu wa science ya msikitini si ndio!!!!
Sasa kama wewe unapinga

jibu swali ni mifupa ipi utakayokutana nayo kwanza ukitokea hapo katika serminal vesicles View attachment 2704951
wewe hujui kama hizo glands zote ziko kwenye mfupa wa nyonga,ambao ni mfupa wa kiunoni,uliza tu utaelekezwa na watoto wa standard 6 sio mwalimu wako wa madrasa.
 
Uko serious kweli au umekuja kwa njia ya kufedhehesha Waislam kama kawaida yako!?
 
Wenzio waliosoma Quran (sunnah.com) na kuielewa wana acha Uislam
 
Jamani kuleni bia acheni mambo yenu kujifanya mnajua Kila mtu akiamini ya kwake Kuna shida gani?
 
Wagalatia wagumu kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…