Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

Jamani kuleni bia acheni mambo yenu kujifanya mnajua Kila mtu akiamini ya kwake Kuna shida gani?
Naona ushalewa tayari

Wewe hoja alizoziweka hapo kwenye mjadala ulio huru ulitaka asijibiwe!?

Kwanini asingebaki anaamini huko na akakaa nayo kama wewe ulivyoamua kutulizana kwa amvayo unayaamini?

Subiri pombe ikuishe ndiyo unijibu.
 
Kwahiyo wewe mfupa wa nyonga umeuona ila mifupa mingine haujaiona?

Narudia tena wansayansi wako wanasema sperm zinazorushwa kwenda katika uke zinatoka katika seminal vesicles na sio katika korodani

Na Qurani inasema hilo eneo lipo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu

Sasa kama wewe unapinga

jibu swali ni mifupa ipi utakayokutana nayo kwanza ukitokea hapo katika serminal vesicles kwa kuelekea ju au kuli na kushoto

Picha hiyo hapo
 
Kwahiyo wewe mfupa wa nyonga umeuona ila mifupa mingine haujaiona?
labda nikufundishe kitu wewe na Allah,mifupa ya mbavu haishuki mpaka chini ilipo nyonga,mifupa ya mabvu inatokea kifuani inaishia sehemu fulani juu.baada ya hapo unafaya uwazi mkubwa tu unaosindikizwa na uti wa mgondo pekee(eneo hilo ndipo zilipo organ zote zinazohusika na mfumo wa chakula)
kisha uti huu wa mgongo utaungana na mfupa wa nyonga,mbavu zikiwa zimeachwa juu huko.

kwa maelezo ya Allah si tu kwamba alitaka kuotea bungo lakini ilionekana wazi anajaribu kujifanya mtaalamu kwa Muhammad 😅😅,akayumba vibaya.

kati ya mfupa wa mbavu na mgongo ni kifuani,hapo tutakutana na mapafu na moyo,sio tezi za kusukuma wala kuzalisha sperm.
Narudia tena wansayansi wako wanasema sperm zinazorushwa kwenda katika uke zinatoka katika seminal vesicles na sio katika korodani
nimekwambia uonyeshe watu kupitia picha kwamba seminal vesicles zinapatikaa kati ya mbavu na mfupa wa mgongo,nadhani bado unatafuta mchoro kwenye Quran maana ktk michoro ya bilogy umeukosa.
Na Qurani inasema hilo eneo lipo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu
Allah matopeni,seminal vesicles zinapatikana ktk mfupa wa nyonga sio huko alikopataja Allah.
Sasa kama wewe unapinga

jibu swali ni mifupa ipi utakayokutana nayo kwanza ukitokea hapo katika serminal vesicles kwa kuelekea ju au kuli na kushoto
nimekujibu lakini umechagua kukataa jibu kwa manufaa ya Allah na kitabu chake.kama ni mpaka uelekee juu,Allah hakutakiwa kubahatisha,alitakiwa aseme jumla seminal vesicle zinapatikana wapi.sio mambo ya kubahatisha aliyoyafanya.
 
Qurani 86:6 -
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,

Qurani 86:7 -
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Acha uongo andiko alisemi kama Seminal vesicles ipo katika mfupa wa mbavu au katika uti wa mgongo

Andiko linsema seminal vesicles ipo baina ya uti wa mgongo na mifupa ya mbavu

Au haujui kiswahili nikufundishe ( hi ni siri baina ya Mimi na wewe) maana yake ni kwamba hapo Kati hakuna mtu mwingine

Kwa hiyo Quran inaposema seminal vesicles IPO baina ya mifupa ya uti wa mgongo na mifupa ya mbavu maana yake ni kwamba hapo kati hakuna mfupa mwingine

Wewe unasema Quran imedanganya sasa jibu swali

Ni mifupa ipi utakutana nayo ukitokea hapo katika seminal vesicles?
 
Qurani 86:6 -
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa,
nimekuuliza maji ya kuchupa kwa maana ya shahawa ama maji yapi?? ili tujue kama Allah anajua sperm sio yale maji maji ni bwawa tu la kuogelea sperms.
Qurani 86:7 -
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Acha uongo andiko alisemi kama Seminal vesicles ipo katika mfupa wa mbavu au katika uti wa mgongo
haya iongezee maneno Quran sasa maana wewe na Allah wote elimu zinafanana.
Andiko linsema seminal vesicles ipo baina ya uti wa mgongo na mifupa ya mbavu
nini maana ya neno “baina”???
Au haujui kiswahili nikufundishe ( hi ni siri baina ya Mimi na wewe) maana yake ni kwamba hapo Kati hakuna mtu mwingine
hapa unataka kuleta uzushi wako kwa kujifanya mjanja.
kwahiyo baina ya mfupa wa mbavu na uti wa mgongo hakuna kitu kingine!!!!!
Kwa hiyo Quran inaposema seminal vesicles IPO baina ya mifupa ya uti wa mgongo na mifupa ya mbavu maana yake ni kwamba hapo kati hakuna mfupa mwingine
wewe acha uzushi kama Allah.
leta ushahidi kwamba Quran imemaanisha hivi au ni mahaba yako kwa mtume.
Wewe unasema Quran imedanganya sasa jibu swali

Ni mifupa ipi utakutana nayo ukitokea hapo katika seminal vesicles?
umekomaa na hili swali nakujibu lakini huoni jibu.

kwahiyo Allah hafahamu kama kuna mfupa wa nyonga eneo hilo???
 
Umefika muda sasa wa kujitambua kuwa wewe ni kafiri

Qurani 86:7 -
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Kwahiyo unajifanya haujui kiswahili yani haujui neno BAINA lina maana gani

Yani hujui MTU akiuambia hi ni siri baina ya Mimi na wewe maana yake ni kwamba hakuna MTU mwine anayeijua hiyo zaidi yenu?

Quran inasema seminal vesicles IPO BAINA ya mifupa ya uti wa mgongo na mifupa ya mbavu

Umesema upo karibu na mifupa ya nyonga Mimi nakubali kwa chini kuna mfupa wa nyonga vipi kwa juu na pembeni

Jibu swali
Quran inasema seminal vesicles IPO BAINA ya mifupa ya mbavu na mifupa ya uti wa mgongo

Ili iyonekana Quran inasema uongo taja mifupa yote utakayo kutana nayo ukitokea hapo katika seminal vesicles ili tuone mifupa ya uti wa mgongo na mbavu IPO au haipo?
 
Umefika muda sasa wa kujitambua kuwa wewe ni kafiri
kafiri wa kwanza ni Allah na Muhammad,wamemnasibisha Mungu na wao wenyewe ilhali hata hawajui chochote kuhusu maumbile ya mwanandamu.
Qurani 86:7 -
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Kwahiyo unajifanya haujui kiswahili yani haujui neno BAINA lina maana gani
wacha upuuzi,kiswahili hujui,kiarabu hujui unataka kuongeza visivyokuwepo ili kupaka sukari uzushi.
hata nikubali baina si kati katika muktadha wa maana bado haiondoi ukweli kwamba Allah alilamba mchanga na kufikia pua.

haya baina ya mfupa wa mbavu na uti wa mgongo ni wapi😁😁😁???wacha tutumie akili zenu za kujilipua.
Yani hujui MTU akiuambia hi ni siri baina ya Mimi na wewe maana yake ni kwamba hakuna MTU mwine anayeijua hiyo zaidi yenu?
safi kabisa,baina ya mfupa wa mbavu na uti wa mgongo ni katika nyonga???
Quran inasema seminal vesicles IPO BAINA ya mifupa ya uti wa mgongo na mifupa ya mbavu
sijakataa,na ndio hapa namkaba Allah kama jibril alivyomkaba Muhammad SAW,aelezee umma huu wa sayansi 2023 kwamba seminal vesicle zinapatikana kwenye mfupa wa nyonga ama kifuani!!!!wewe hakuna kitu unaweza kueleza tofauti na Allah.
Umesema upo karibu na mifupa ya nyonga Mimi nakubali kwa chini kuna mfupa wa nyonga vipi kwa juu na pembeni
unafahamu mfupa wa nyonga umekaaje??au naongea na mtoto wa nursery hapa???
yaani hutakai kukubali kabisa kwamba hizi hekaya zimepooza kama mahindi ya kuchoma ya dar,
unachofanya ni kujaribu kuzitia ndimu na pili pili.
Jibu swali
Quran inasema seminal vesicles IPO BAINA ya mifupa ya mbavu na mifupa ya uti wa mgongo
Quran inasema hivyo,ndio uongo wenyewe sasa huo,lakini umekomaa mpaka unataka kulia kwamba ni kweli😅😅
Ili iyonekana Quran inasema uongo taja mifupa yote utakayo kutana nayo ukitokea hapo katika seminal vesicles ili tuone mifupa ya uti wa mgongo na mbavu IPO au haipo
Wewe sikia,hapa ukubari ukatae Allah wako aliwapiga kamba.
nikikwambia tanzania inapatikana baina ya jangwa la sahara na jangwa la namibia,ni tofauti na nikikwambia tanzania inapatikata baina ya jangwa la namibia na misitu ya kongo na jangwa la sahara.
 
@ Mcqueenen, mokiti na Red Belt. Kwa mara ya kwanza nimeweza kufuatilia thread zaidi ya page 5 na nikasoma nondo zote; Mokiti ahadi ni deni, Uliahidi kusilimu fanya hivyo. Muungwana akivuliwa nguo huchutama​

Swali dogo tu unàandika utumbo kibao

Na nilikumbia wewe ni kafiri na kazi ya kafiri ni kupingana na maneno ya Mungu

Umeanza kuipinga Quran na sasa unapingana wanasayansi wako

Unamdanganya nani kuwa seminal vesicles IPO ndani ya mifupa ya nyonga labda uwadanganye makafirin wenzako

Qurani 86:7 -
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Seminal vesicles IPO ju ya mifupa ya nyonga

Angalia picha hiyo ya wanasayansi wako unao wakana Leo seminal vesicles hapo IPO ju ya nyonga hilo duara jeusi hapo chini ndio linawakilisha mfupa wa nyonga

Nakuwekea na full skeleton kukuonyesha hilo eneo la ju ya nyonga ambapo ndio IPO hiyo seminal vesicles lipo wazi na mifupa ya jirani hapo ni uti wa mgongo na mbavu

Jibu swali

Kama Quran inasema uongo taja mifupa yote iliyo jirani na seminal vesicles ili tuone mifupa ya uti wa mgongo na mbavu IPO au haipo
 
Swali dogo tu unàandika utumbo kibao

Na nilikumbia wewe ni kafiri na kazi ya kafiri ni kupingana na maneno ya Mungu

Umeanza kuipinga Quran na sasa unapingana wanasayansi wako

Unamdanganya nani kuwa seminal vesicles IPO ndani ya mifupa ya nyonga labda uwadanganye makafirin wenzako

Qurani 86:7 -
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Seminal vesicles IPO ju ya mifupa ya nyonga

Angalia picha hiyo ya wanasayansi wako unao wakana Leo seminal vesicles hapo IPO ju ya nyonga hilo duara jeusi hapo chini ndio linawakilisha mfupa wa nyonga

Nakuwekea na full skeleton kukuonyesha hilo eneo la ju ya nyonga ambapo ndio IPO hiyo seminal vesicles lipo wazi na mifupa ya jirani hapo ni uti wa mgongo na mbavu

Jibu swali

Kama Quran inasema uongo taja mifupa yote iliyo jirani na seminal vesicles ili tuone mifupa ya uti wa mgongo na mbavu IPO au haipoView attachment 2706048View attachment 2706049
 
Swali dogo tu unàandika utumbo kibao
utumbo ni huu wa kwenye Quran ndio tuko tunausafisha hapa.
Na nilikumbia wewe ni kafiri na kazi ya kafiri ni kupingana na maneno ya Mungu
kafiri wa kwanza ni Allah na mtume muhamad kwa kujifanya wao ni miungu.
Umeanza kuipinga Quran na sasa unapingana wanasayansi wako
sipingani na wanasayansi wenye akili kuliko Allah.
Unamdanganya nani kuwa seminal vesicles IPO ndani ya mifupa ya nyonga labda uwadanganye makafirin wenzako
Allah ndiye hajui kati ya mfupa wa nyonga na mbavu Seminal vesicle zinakaa wapi.
mimi najua kumzidi.
Qurani 86:7 -
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Seminal vesicles IPO ju ya mifupa ya nyonga
kwahiyo Allah kusema ipo baina ya mfupa wa nyonga na mbavu alikuwa anamaanisha ni juu ya mfupa wa nyonga!!!
Angalia picha hiyo ya wanasayansi wako unao wakana Leo seminal vesicles hapo IPO ju ya nyonga hilo duara jeusi hapo chini ndio linawakilisha mfupa wa nyonga
acha upuuzi wewe,unadanganya kwa faida ya nani,soma picha hapo chini nakuwekea halafu ulinganishe na hicho kiunzi kisha rejea maelezo yako,uone upivyo mjinga kama Allah wako.
 
Attachments

  • IMG_2471.jpeg
    44.5 KB · Views: 2
Mkorinto huyo jamaa asifikiri si kukaa kimya ndyo tumemuelewa. Badala yake tunaangalia tu unavyo funua ujuha ndani ya Quran yao. Hawa watu wamedanganywa sana na Waarabu. Wanakaririshwa tu bila kujua mantiki ya kinachoandikwa. Waislam wanayosema Quran wakaielewa, wanaacha Uislam. Kwenye Uislam kila kitu ni FAKE; KAABA, RAMADAN, MAJI YA ZAMZAM etc
 
infact yeye ndiye kaachwa na wenzie,maana ni aibu hata kutetea haya mauzushi.

sasa naanza kuamini zile kauli za wadau kwamba “ internet is the biggest threat of islam”

watu ambao hawajui madudu ya Quran kwa barrier ya lugha iliyowekwa wanachanuka kisha wanakubali kwamba hakuna soga za hovyo kuwahi kutokea kama zilizomo humo.
 
@ Mcqueenen, mokiti na Red Belt. Kwa mara ya kwanza nimeweza kufuatilia thread zaidi ya page 5 na nikasoma nondo zote; Mokiti ahadi ni deni, Uliahidi kusilimu fanya hivyo. Muungwana akivuliwa nguo huchutama​

-Hakuna mbusu jiwe ameweza kuthibitisha , damu iliyoganda ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke
-Hakuna mbusu jiwe ameweza kuthibitisha pande la damu iliyoganda linakutwa mfupa

Mimi niliacha swali , kwa wabusu jiwe je wanaujua damu kuganda maana yake?
 
Vitabu vyote hivyo ni vya uongo na utapeli labda kama ni vyakusimulia watoto
 
Wewe ndio unabishana na Fact hiyo michoro sio Quran hiyo ni Biology wamekucholea kukuonyesa seminal vesicles sehemu ilipo

Kama wewe ni MTU wa fact kwa nini unaogopa kutaja hiyo mifupa iliyo jirani na seminal vesicles kila wakati unataja mfupa wa nyonga hiyo mingine vipi mbona unaogopa kuitaja

Sasa kama wewe ni mtu wa fact taja mifupa yote utakayo kutana nayo ukitokea hapo katika seminal vesicles

Kama hauijua sehemu ilipo picha za biology hizo apo chini

Yani hizo picha zimegusa Engle zote ili kukurahisishia kazi

Au biology nayo Leo inakuchoma kama kwa kuwa imeungana na Quran

Hi mada haiishi hadi utaje mifupa yote inayoizunguka seminal vesicles ili tuone fact ya kigalatia
 
Wewe ndio unabishana na Fact hiyo michoro sio Quran hiyo ni Biology wamekucholea kukuonyesa seminal vesicles sehemu ilipo
umeiona picha niliyokutumia!!

kama hujaielewa nakuwekea tena hapo chini,angalia unambie hizo glands ziko kwenye nyonga ama zipo eneo gani???
swali jepesi nililouliza toka mwanzo,Je Allah hakujua kuna mfupa wa nyonga kabla ataje mbavu na uti wa mgongo???
Kama wewe ni MTU wa fact kwa nini unaogopa kutaja hiyo mifupa iliyo jirani na seminal vesicles kila wakati unataja mfupa wa nyonga hiyo mingine vipi mbona unaogopa kuitaja
mifupa iliyo jirani na seminal vesicles ni,pelvic bones(left & right) na sacrum(kiguku)
hakuna mfupa wa mbavu hapa,Allah baada ya kuona utamu wa bao akawaza akaona huu mzigo utakuwa unatoka jirani na moyo ulipo[emoji28][emoji28].
Sasa kama wewe ni mtu wa fact taja mifupa yote utakayo kutana nayo ukitokea hapo katika seminal vesicles
na picha nakupa hapa chini kijana usijali.
Kama hauijua sehemu ilipo picha za biology hizo apo chini
picha sio tatizo,tatizo haziendani na maelezo yako na ya Allah.
Yani hizo picha zimegusa Engle zote ili kukurahisishia kazi
ona picha ya kwanza inavyokuacha uchi lakini bado umekomaa.
Au biology nayo Leo inakuchoma kama kwa kuwa imeungana na Quran
[emoji23][emoji23][emoji23],biology na Quran hiyo ni dagaa wakavu na karanga mbichi mdomoni.
Hi mada haiishi hadi utaje mifupa yote inayoizunguka seminal vesicles ili tuone fact ya kigalatia
View attachment 2706417View attachment 2706418View attachment 2706419
 
Attachments

  • IMG_2473.jpeg
    25.5 KB · Views: 5
  • IMG_2472.jpeg
    27.5 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…