Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Ameuaje diplomasia mkuu?Magufuli ameua diplomasia na mataifa makubwa kama Kenya. Kwa sasa tunacheki upepo mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameuaje diplomasia mkuu?Magufuli ameua diplomasia na mataifa makubwa kama Kenya. Kwa sasa tunacheki upepo mwingine
Mfano tu alivyoshughulikia ishu ya Corona, vyeti fake, mishahara hewa n.kHakuna anayebisha mtazamo wako kwake, sio kila mtu lazima amkubali kwa huo mtazamo wako. Hebu taja hayo mambo aliyoyafanya, ambayo kiongozi mwingine angeshindwa.
Kaondoa rushwa yote. Karejesha maadili kazini, kayabana majizi na mafisadi. Kazuia upoteaji wa mapato, kajenga viwanda, Kathubu kwenye mradi mkubwa wa umeme, kathubutu kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma, Karudisha elimu bure, karudisha heshima kazini, kazuia uizi wa madini yetu.Hakuna anayebisha mtazamo wako kwake, sio kila mtu lazima amkubali kwa huo mtazamo wako. Hebu taja hayo mambo aliyoyafanya, ambayo kiongozi mwingine angeshindwa.
Haswa hapa ndio penyewe mkuu mishahara hewa n. kMfano tu alivyoshughulikia ishu ya Corona, vyeti fake, mishahara hewa n.k
ameuaje diplomasia tunaomba uelezeAmeuaje diplomasia mkuu?
Mfano tu alivyoshughulikia ishu ya Corona, vyeti fake, mishahara hewa n.k
Fimbo tena mkuu naomba twende kwa hoja chief. Haina haja ya kuwa na mawazo ya mabavu.Bado muda mchache sana unashika ukuta ulambwe fimbo
Wewe na nani?Ila sisi huyo ndio tunampenda
Wengine kina nani na umewajuaje?Mapungufu yanayosemwa kuhusu Dk Magufuli ni ya kawaida binadamu yoyote. Ukweli ni exceptional in Africa. Wanatamani na wengine wapate Rais kama yeye. Kikubwa ana ujasiri wa kutenda makubwa ya kimaendeleo. Bravo Mr President
Kwa hilo lazima tutofautiane, kama juhudi na kutenda kwa Magufuli kwa miaka hii mitano kukagezwa na marais wajao nchi itasonga mbele haraka.Hakuna anayebisha mtazamo wako kwake, sio kila mtu lazima amkubali kwa huo mtazamo wako. Hebu taja hayo mambo aliyoyafanya, ambayo kiongozi mwingine angeshindwa.
Kaondoa rushwa yote. Karejesha maadili kazini, kayabana majizi na mafisadi. Kazuia upoteaji wa mapato, kajenga viwanda, Kathubu kwenye mradi mkubwa wa umeme, kathubutu kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma, Karudisha elimu bure, karudisha heshima kazini, kazuia uizi wa madini yetu.
Wewe unafikiri kuzuia taarifa tu ndo ilisaidia? Magufuli alimtanguliza Mungu kwa taifa zima, akawasihi watanzania kuomba kwa siku 3. Mungu akatuepusha na hili janga kwa kiasi kikubwa.Issue ya Corona alizuia taarifa, na hiyo Corona haukuwa ugonjwa hatari kwa hili eneo leo
Mkuu hakika nakwambia jogoo hatakiwa mara mbili kabla hujampigia Magufuli kura yakoWeee. Nani ampende?
Mkuu tumia akili tu ya kawaida, umeshasema vyombo vya ulinzi na usalama, hivi unawezaje kutumbua vyeti fake? Na ikiwa kuna watu wameingia kwenye majeshi n.k kwa vipaji vyao tu. Lazima uzingatie usalama wa nchi.Vyeti fake alivishughulikia kwa double standard, alipaswa aingie mpaka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, au kwakuwa madictator hutegemea vyombo vya dola
Kwa hilo lazima tutofautiane, kama juhudi na kutenda kwa Magufuli kwa miaka hii mitano kukagezwa na marais wajao nchi itasonga mbele haraka.