Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

Tabia za wanawake ( wahehe& wabena)

1.Kuvaa kama wanawake yaani yale mavazi ya heshima .

2.kujua nafasi yao kama wanawake.
3. Wana roho nzuri kwa asili .
4.Wavumilivu na wanaweza kuishi maisha ya aina yeyote.
5.Heshima ,utii na adabu.
6.Uchapakazi .

Tatizo lao haswa wabena .

1.Wanapenda sana kunywa pombe za kienyeji na hapo ndo wanatoa utu wao kwa mda ,Yaani mtu akilewa anaweza kuleta mambo ya hovyo ila tabia yake ni nzuri sema pombe inamuendesha vibaya.
 
Huu ukanda wetu kaskazini ya mashariki he?
Huo ukanda labda kwa wengine ila binafsi sikubahatika kabisa isipokuwa Mmasai mmoja tu, ila Wamburu, Wairaki, Wachaga, Wameru wote nilikutana nao lakini walinishinda tabia kwa ubabe wa kipuuzi na kuwa kimasilahi zaidi.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Tunu Mwalongo nakukumbuka sana mamaa.
 
Sidhani Kama Kuna mtu asiye mmeru ameoa mmeru. Ile mbegu Ni tofauti kabisa na Hawa wengine.
 
Ni washirikina so poa...yupo mmoja ni mke wa uncle...kachangia sanaa kumuondoa na sasa hiv kauza magari aliyoacha..wabena hapana aysee...labda wahehe kidogo
Na huo ndio ukweli mkuu!!

Hawana kelele lakini wanna calculated movement!!

Leta ndugu zako nyumbani ndio utawajua,lakini ukiwa unaishi nae ni mkimya na atakusapoti KWA KILA kitu SASA jichanganye leta mama mkwe au ndugu ndio utamjua atasema HADI siri za ndani KWA majirani !!

Halafu ushirikina ndio usiseme japo wanajifanya wakristo tena wa vipaimara na komnio!!!

Hao wabena hapana mkuu niliona hiyo !!
 
Ila wana K kubwa sana sijui kwanini na kwa Sisi wenye Vikaroti huwa tunapwaya mno Shimoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…