Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

Nyanda za juu kusini nahisi wangoni ni wazuri zaidi kwa mwonekano,ni mafundi sita kwa sita,yani ukienda mechi nunua na bandeji maana mauno yake anaweza kukuvunja mashine,tatizo wengi wao ni wahuni
Wee tulia basi Mzee wangu, Leejay49 baby sio muhuni
 
Kuna mmoja niliwahi kukutana naye pale TAG Mwenge, na bado yupo pale mpaka sasa hivi. Huyu mama nilisham-nick name SUPER-WOMAN. Wapo wanawake ambao Mungu aliamua kuwabariki
 
Brother hakuna kabila linalokosa wahuni,ila kinachofanya sifa iwe kwa kabila fulani ni uwiano,mfano tukisema wakinga ndio matajiri wa kusini haimaanishi wote au makabila mengine hayana matajiri ila uwiano ndio unaoleta hiyo sifa.
Sawa mkuu nimekubari upo sahihi kabisa wala haujakosea na haujakosea tena,
 
ni kutokana na tamaduni zao, zimewaweka kuwa hivyo.
 

Ulisikia wapi? Tuanzie hapo kwanza
 
Nani alikufundisha kuna tabia za kabila? Tukurudishe shule ukaanze A be che de?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…