Sabaya na wenzake washinda Rufaa dhidi ya Serikali kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Mkurugenzi wa mashitaka na benchi lake yafaa wajiuzulu kwani kuna madai kwamba kesi dhidi ya sabaya ilichagizwa na wenye shutuma za ufisadi ambao ni wenye kisasi dhidi ya sabaya. Ushahidi mahakama kuu ulikua mkubwa dhidi ya mashitaka cha ajabu nini kilimsukuma muendesha mashitaka kukata rufaa mahakama kuu?
 
Sasa acha adai maokoto yake (toka kwenye kodi za wananchi) kama fidia ya usumbufu na gharama za kesi huku akisubiria uteuzi.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Lengo lishatimia walitaka atumie ela zke zote kuendesha kesi kwasasa kashakuwa kapuku
 
Ni haki yake arudishiwe U-DC wake ili kutekeleza misingi ya utawala bora.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Yan huyu Mama sa100 ashaanza kuwaachia huru majambazi....

Yani kesho natamani nitafute picha moja ya mabango yale ya barabarani nitandike makofi yale mashavu
 
Mmmmmhhh!? Wasomi wa jf.
 
The expected! Mahakama za kishenzi. Kama walitoa hukumu kuwa Wakurugenzi kusimamia kura haina shida kwa vile wameapa kutenda haki, basi ujue hakuna mahakama ni takataka tu mbona wanajeshi wanapindua serikali ingawa wamaapa? chini ya viapo vyao?
Nenda ukakate rufaa nyingine kama hujaridhika.
Nyie majitu sijui vipi, hiyo rufaa ingeshinda ungesema mahakama ziko sawa.
 
Mwalusanya,kisanga,mandia,makame,eta al
Hiyo generation ilikuwa super sana
 
The expected! Mahakama za kishenzi. Kama walitoa hukumu kuwa Wakurugenzi kusimamia kura haina shida kwa vile wameapa kutenda haki, basi ujue hakuna mahakama ni takataka tu mbona wanajeshi wanapindua serikali ingawa wamaapa? chini ya viapo vyao?
Bro mbona una hasira sana? Utajinyea bure we mbuzi
 
Ndugu Zangu Watanzania, Sabaya hata kama alikosea.
Ameshajifunza.
He is a Newborn by now!
Unamfaha Sabaya wewe au una imani iliyojikita kwenye msingi dhaifu.
Wti "Newborn".
Just wait and see how karma will avenge the victims. Ubaya na wema malipo yake ni hapa hapa duniani, sasa na au baadaye.
 
Ccm imemuokoa kada wao na jela.
 
Sabaya ana nini huyu?

Tokea kipindi kile sijui alikuwa na cheo gani ndani ya ccm mkoa wa Arusha aliwahi kuburuzwa mahakamani sijui issue iliishaje
 
Nasemea tu,kuwa Sabaya ameshinda kesi dhidi yake zilizoelekezwa kwake na wahasimu wake kisiasa plus wahujumu uchumi wa hai nk nk..
Tafsri yake,ushahidi uliotolewa usiokuwa na Shaka juu yake umethibitisha kuwa ni msafi,hakufanya lolote Kwa chuki wala kisasi kama ambavyo wahasimu wake walivyo mshutumu...

Katika tafsri nyingine,Lengai Ole Sabaya sasa anaruhusiwa kuteuliwa kuwa DC,RC au kushika nyadhifa yoyote Ile ndani ya chama na ndan ya serikali.Tasfri yake nikuwa kundi kubwa la walio"piga miluzi" kupoteza dira wamefeli,naona 2024-2025 Moto ni uleule..

Tulihitaji na tunahitaji vijana majasiri wapambanaji wanaoweza kukitetea chama na serikali katika mazingira yoyote yale,ambao wapo tayari kutumika,kubeba lawama,chuki nk nk...hivi ndivyo Sabaya,Makonda,Hapi,unaweza kuwaelezea..

Hii taifa,inawezekana kabisa waliokuwa wanasema bandari imeuzwa maisha ni Wana CCM wakubwa tu,tena ambao ukiambiwa ndo hawa utawashangaa,inawezekana ukiambiwa ishu ya Bandari Rais Samia alitengenezewa game kwasababu kunakundi la watu waliona hawan ulaji utashangaa,ukiwa na watu kama hawa uhakika wa kukupigania ni mkubwa,hawa hawaangalii personal interests hawa wanaangalia maslah ya Chama,nchi na mwenyekiti Kwanza...

I'm done .
 
Huyu wamuachie huru tu watesi wake wamshughulikie.
Hizo propaganda za chadema comrade tuko naye mtaani hana baya na mtu ,mtu mwena mpole sana na kipenzi cha watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…