ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Tzn hapa kama ni mtoto wa Maskini nenda kalime maana hata wajumbe humo ndani ni Watoto,ndugu,wapwa nkAisee! Kumbe!
Nilichelewa kujua siasa ni kurithishana.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kabisa Mkuu.Tzn hapa kama ni mtoto wa Maskini nenda kalime maana hata wajumbe humo ndani ni Watoto,ndugu,wapwa nk
Huyo atakuwa ni baba wa Lengai Ole Sabaya, sasa sijui atalipiza vipi kisasi kwa kosa gani alilowahi kufanyiwa wakati mahakama ilimkuta na hatia mpaka kumfunga gerezani.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Lema atafute Jimbo jingine siyo ArushaHuyo atakuwa ni baba wa Lengai Ole Sabaya, sasa sijui atalipiza vipi kisasi kwa kosa gani alilowahi kufanyiwa wakati mahakama ilimkuta na hatia mpaka kumfunga gerezani mwanae...
Wenye chama wameamua, tunaye kama nzi wa chooni, ukienda humu yumo, kule makonda huku Sabaya.Zarau - dharau
Uyu - huyu
Ni mbabe balaa, huyu atapigilia watu misumari miguunikama Sabaya Jr.Usie mtaka kaja
Huyu mwamba ni katili kuliko mtoto ake
Alishawahi choma nyumba za wananchi akiwa mkuu wa wilaya ya serengeti
Ni roho za watu walioachika, kumbuka Geku hana ndoa, alikuwa anapiga mume mbaya kabisa.Nashangaa wanaomshutumu gekul