Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ndugu,ila zile zama za yule jamaa 🙄, binafsi namuunga mkono mama kwenye mambo mengiMimi ni mfanyabiashara niliyeridhika na shughuli zangu. Ninamsapoti mama kwa sababu hana roho mbaya wala chuki na wafanyabiashara tofauti na mtangulizi wake. Pia kuhusu hizo connection za kisiasa ningezitaka ningezipata kitambo tu.
Sijui baba angu simtaona tuKwani ile enzi imerudi au🫢
Ni 144+7+3= 14
3+7+4= 14
5+9= 14
1+0 = 1
Mshana na wajuzi wengine nini maana ya matokeo ya kura za CCM Arusha?
Familia ya kina Sabaya ni ya kawaida sana. Siyo zile familia za kusema wana ushawishi ndani ya chama na ndani ya serikali au mojawapo ya hizi 2. Ni self made politicians. Kuwa DCs ni ukada ndani ya CCM ambayo hata mtu mwingine maskini anaweza na wengi wameweza. Hakuna string dynasties nchi hii.Tzn hapa kama ni mtoto wa Maskini nenda kalime maana hata wajumbe humo ndani ni Watoto,ndugu,wapwa nk