Sabaya Senior (Loy Sabaya) apata Ushindi wa Kishindo Uenyekiti CCM Arusha
Usiyempenda kaja.
---
Mkutano Mkuu maalum wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, umemchagua Loy Thomas Sabaya, kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoani humo...
Dah ingalikua kuna majina ya Ahmed basi ungalisakia HAMAS wameshinda Arusha..lkn kwa sababu yote akina John haya Hapa Jf husikii. Utadhani akina Ahmed nchi hii sio yao.
 
Jimbo la Arusha mjini limekuwa chini ya wabunge kutoka makabila mbalimbali nje ya Arusha kwa muda mrefu.
Ushindi wa Ole Sabaya kuwa mwenyekiti ni ishara tofauti sana kwa siasa za Arusha.

Je, tutegemee mbunge mwenye asili ya kimasai(waarusha) kushika hatamu?

Tusubiri tuone hii battle ya mmasai,mchaga ,muiraqw ,msambaa na mpare.
 
Huyu huyu kijana aliyenyea debe mkata masikio watu au baba yake?
 
Ni roho za watu walioachika, kumbuka Geku hana ndoa, alikuwa anapiga mume mbaya kabisa.
Mtu anakaribia menopasue hana mume, vijana wanapita na kupotea lazma awe na hasira.
Pole yake so na dogo nae kapita akasepa akaundiwa zengwe au
 
Sura imekaa kijambazi jambazi huyu akiwa DC Serengeti alichoma nyumba za watu akidai wamejenga kwenye hifadhi na ni raia wa Kenya na hadi leo kesi yake haikuwahi kusikilizwa kwa kigezo cha hajapangiwa hakimu.

Alipopelekwa Songea kule kaishia kuchapana na afisa tarafa.

CCM ndio inapenda majambazi kama huyu na mwanae.

Samia anazurura Dubai huku Abdul mkiambiwa naye ni delegate wa serikali kutoka ikulu.
 
Kabisa Mkuu.

Wenye nchi wanakula keki ya Taifa kwa kugawana na watoto zao.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mkuu huyo Mzee Sabaya hajajichagua wala kuchaguliwa na watoto wake! Walaumu walio mchagua. Wakati huo ukumbuke sauti ya wengi ni sauti ya Mungu!
 
Mwamba, imekuwaje umemkumbuka SHUJAA?

mi nakumbuka maigizo yake, mara sijui anakula muindi barabarani, anagawa ghahawa, mara sijui anacheza bao, yani hii nchi jamaa kaipisha kaanani kwa miaka 6, nchi ya ahadi ipo mbali maana sasa tumeelekezwa Arabuni.
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom