Sadaka ya kujimaliza ya kwa Mwamposa inatia watu umasikini

Siku zote wajinga ndiyo waliwao. Mjanja kama mimi siwezi kujimaliza kwa huyo Mwamposa, hata kwa shilingi ya Mkoloni!
 
Demi Hii sadaka ya kujimaliza najileta kwako kujimaliza mzima mzima.
Nauza nyumba
 
Akili za waumini wa Mwamposa wanazijua wenyewe mkuu. Hata mimi nilishangaa sana jinsi huyu jamaa anavyowadanganya akina mama watoe pesa zote halafu wanabaki kuwa ombaomba mitaani. Inasikitisha sana,
 
Watu kama hao huku tuna wachapa fimbo kweli unaweza ukawa na elimu lakini uiselimike
 
Come this way pls...😅😅
Halafu waumini wa haya makanisa ni wabishiiii, jaribu kuwaelimisha uone
Wanajimaliza haswaaa.
Kuna jamaa ananiambia baba yake aliuza shamba akajimaliza huko. Mzee karudi hukoo alikozaliwa anamalizia maisha yake.

Nakujhaaa
 
Wanajimaliza haswaaa.
Kuna jamaa ananiambia baba yake aliuza shamba akajimaliza huko. Mzee karudi hukoo alikozaliwa anamalizia maisha yake.

Nakujhaaa
Wanakuaga kama wamepumbazwa akili. Huwaambii kitu hadi aje kushtuka it's too late
 
Shida ni kukosa maarifa ya Neno la Mungu... Pia mambo ya kutaka miujiza....
 
Yaani bhana, juzi alikuwa hapa Tabora, kwenye sadaka, aliyekuwa anatoa Chini ya elfu kumi,haombewi, yaani kakusanya hela kwa wajinga balaa
Mkuu siyo wajinga ila huwezi jua wanapitia magumu gani kwenye maisha yao wengine wamekata tamaa kutafuta tiba mahospitali ni.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Uzuri ni mwafrika mwezetu..ana ndugu kibao mbeya..mali zitabaki hapa hapa bongo...kuliko kuzipeleka kwa wazungu au waarabu.

#MaendeleoHayanaChama
Ila wewe jamaa bhana[emoji3] Mbn unakuwa kama Konda unawadanganya wenzako kama upo nao pamoja wakishapanda gari wewe unaenda grocery kuvuta sigara kusubiria gari ijae[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Yaani mtu akikufuata wewe kapotea huku anajiona maana unashawishi huku kichwani unajua kinachoendelea[emoji16][emoji16]

#Maendeleo yana Chama....
 
Uislamu ni dini ya waarabu ndio mana mafundisho yao yamejaa chuki..husuda..unafiki na mauaji.

Njoo ukanyage mafuta na kula keki ya upako upate ukombozi kamili huku ukitoa sadaka ya kujimaliza.

#MaendeleoHayanaChama
Hivi kukanyaga mafuta nayo ni mafundisho ya Yesu au ni maendeleo ya Ukristo.
 
Hata ccm inajulikana wazi ni chama cha hovyo lakini kina wafuasi mamilioni hapa nchini, sembuse huyo anaegusa imani za watu.

Si jambo kubwa kua na wafuasi wengi mkuu, ni ujanja wako tu kucheza na akili za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…