Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

Hawajionyeshi ila umewaona we kweli choko hodari
 
Wale morocco ni maskini misri ni maskini sudan kwa sababu ya vita vyao libya nao kwa sababu ya vita vyao Algeria hao ni maskini hv we kweli umemaliza hata darasa la saba kweli
Hao ni waarabu inamaana huoni???!!🙄🙄🙄tunataka ngozi nyeusi tupu tena mwafrica pure sio hao coz ukitaja hao nasisi tutakutajia wazungu ambao hao waarabu hawatii maguu kwa ukwasi, angalia somalia umasikin mtupu huwezi kufananisha na south, uje sudani huwezi kufananisa na zimbabwe au zambia, ukija mali uwezi kufananisha na angola nk kazi kwako na kwanini hao waarabu wabagombaniana kukimbilia ulaya tena wanatoka nchi zao ambazo hazina vita 🙄🙄🙄
 
Mpaka inakuwa kero kabisa,,,Sasa sadaka unaigawa gawa kwenye mafungu.Mimi naona Bora kuweka sadaka pamoja maana mapato yote ni kwa ajili ya kazi ya Bwana Sasa inakuwaje kuwe na mafungu,,,,Baadhi ya Makanisa yamekuwa Kama fursa/biashara zingine tuu.
 
Dangote mwarabu wa italia
 
Ni bora mpungue masikin nyinyi mnapenda vya bure ndio maana waislam wengi ni masikini kinoma fanya utafiti coz ukristo unataka watu wafanye kazi yaani wajitume
Acha kumponda mwenzako ww yy kashaijua haki Allah amuongoze


ivi nyinyi mnosema waislamu ni.maskini leo hii Tz yetu hii bakhresa asimamishe biashara ya unga tu tutatafutana hapa
Mo nae astopishe biashara zake tutatafutana hapa

Embu acheni ujinga wenu huo na chuki zenu za Ajabu kwa Uislamu na Waislamu
 
Waarabu wengi pesa zao ni za familia na ukoo wote tofauti na wazungu mtu mmoja ana ukwasi balaa mbaka anarithisha mbwa hataki kuwapa familia yake na huko mbele tegemea kuona hao waarabu wakifilisika sana coz wazungu wameanza kutumia magari ya umeme na hata mitambo yote itatumia umeme tu, maana hao waarabu hawana kingine nchi zao ni jangwa tupu kingine mfano dubai watu wengi hawajui yale maghotofa makubwa wawekezaji wengi sio waarabu ni wazungu, wahindi na wachina fatilia mahotel yale wamiliki dubai ni nani, njoo tz wamiliki mfano peecok hotel, landmark ambayo imebadilika, palm village nk wamiliki ni nani 😁😁😀😀🤣 ukiondoa hao waaarbu kwenye mpira tz mliobaki ni vidampa tu wacheza vigodoro 😀😀😀😃🤣
 
Mkuu usiende mbali tuje kwenye uhalisia hapa kwetu bana , mbona bongo matajiri wakubwa wote ni waislam inakuwaje hapo
 
Sasa kurithisha mbwa ni akili hizo ww
Embu fikiria vizuri hlf uje na hoja iliyoshiba
mbwa akirithishwa ataenda kutoa pesa bank? atajua zipo bei gni? Ayo maisha walonayo wazungu ni maisha ya kijinga sana.Embu fikiria kwanza
 
Hujatumia logic vizuri kwa sababu hujawahi kufikiria nje ya mtaa wako pia.
 
Hiyo ndio sadaka ya kweli.
Kwangu mm mambo yakiwa sawa utaratibu wangu utakuwa ni kujikusanyia sadaka na zaka yangu ninaenda kuifanyia shopping ya vitu vya muhim then naenda kuvigawa kwa wahitaji(gerezani, vituo vya watoto yatima, hospital nk)
 
Hujawahi kusikia JPM anashukuriwa na Bakwata kwa kurudisha viwanja vilivyouzwa na kuwajengea msikiti?
Dini sahihi na ya kweli ni Waislamu tu hawana makuu kbs.. haya mengine na hizi kanisa za mabati ndio balaaa. Mshika pesa ni mke wa mchungaji. Kuna siku niliwafuma wazee wa kanisa wakigawana mpunga Mwambao restaurant Dom.
 
Naona mjadara umegeuka kwenye kusifia dini ipi ni bora na sio maswala ya michango tena.
 
Mbali na sadaka hata ibada zenyewe kwenye madhehebu haya zimekuwa zikiacha maswali mengi ya kujiuliza. Lakini swali moja kubwa ninalojiuliza na kukosa majibu ni kitu gani kimetutokea sisi waumini? Pamoja na kwamba tuna akili zetu timamu, watu wamekuwa wakiaminishwa vitu vya ajabu. Anzia kwenye pastors kujiita mitume, manabii etc. Njoo kwenye vitambaa, mafuta, juice, chumvi na vingine vingi eti ni vya upako.! Kuna makanisa/ madhehebu mengine watu wanacharazwa fimbo au wanaambiwa wavue nguo za ndani ziombewe! Ukija kwenye sadaka hapo ndiyo usiseme. Mwisho wa yote watu wanachukua mafao yao baada ya kustaafu wanapeleka kwa mitume na manabii na mwisho wanaishia kuishi kwa dhiki! Mungu atunusuru.
 
Hichi kitisho ndicho kinachowafanya watu wengi waendelee kubakia katika dini, wengi wakiweza kukivuka hiki dini zitapoteza watu wengi sana.
 
Makanisa yetu formal i.e Roman Catholic,Kkkt,Moravian(KMT),Anglican,AIC ndio yanaongoza kwa michango.

Na ukiwa unajulikana kanisani basi wewe utatoa michango hadi basi.
Kuna muda chombo kinapita mara 2,maana mwanzo hazikutosha.
Basi hiyo awamu ya pili wale watu famous famous ni mtatoa.

Kutoa sadaka ni jambo jema,si vibaya,
Ila sadaka zetu kuna mfumo kanisa limeweka kutangazana,na baadhi ya waumini wanafeel proud kujitangaza ama kutangazwa(Siwalaumu waumini maana huo mfumo wameukuta ukiapply),na hii ni kinyume kabisa na utaratibu ambao Mungu anataka tutoe sadaka.
 
Duuuh kumbe ndio mnavyofundishana huu ujinga kua huwezi kuishinda dhambi kwa matendo aisee , kwa hiyo afadhali uwe mlevi , mzinzi , mkabaji unafanya maovu yote , kisha unaamini kua ukimuamini yesu utaokolewa , kwa style hii hamuwezi kuacha maovu aisee
 
Ukiendelea kidogo itakuja breakfast na dinner pia[emoji23]
 
Hakuna ukristu unaofundisha hicho kitu huyo kaamua kupotosha tu hakuna hajualo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…