Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

Uislamu ni raha sana, watu wapo real sana katika ile deen!
 
Yaan ufanye kazi kwa bidii then hela ale MTU na family yake[emoji849]
Ni bora mpungue masikin nyinyi mnapenda vya bure ndio maana waislam wengi ni masikini kinoma fanya utafiti coz ukristo unataka watu wafanye kazi yaani wajitume
 
Wale morocco ni maskini misri ni maskini sudan kwa sababu ya vita vyao libya nao kwa sababu ya vita vyao Algeria hao ni maskini hv we kweli umemaliza hata darasa la saba kweli
Sawa ni masikini Sasa tuwekee nchi tajiri za kikristo ambazo nazo zipo Africa tuzione tuweze kuzilinganisha na hizo ulizotaja
 
Hizo hela unadhani wanatoa wapi kama sio kristiani kuwaunga mkono..bila kampuni za mafuta za marekani na ulaya unadhani mwarabu hela ataitoa wapi?...

#MaendeleoHayanaChama
 
Acha upotoshaji..ukristo unafundisha kufanya kazi..na asiyefanya kazi na asile.

#MaendeleoHayanaChama
 
We Jamaa una matatizo kumbe aliekwambia Nigeria wakristo wengi kuliko waislamu ni Nani? Shits!!!
 
Sawa ni masikini Sasa tuwekee nchi tajiri za kikristo ambazo nazo zipo Africa tuzione tuweze kuzilinganisha na hizo ulizotaja
Hv umenielewa kweli umeelewa mi nipo upande gn nadhan ungesoma huu mjadala toka comment zangu za mwanzo usingeniuliza hili swali
 
Hizo hela unadhani wanatoa wapi kama sio kristiani kuwaunga mkono..bila kampuni za mafuta za marekani na ulaya unadhani mwarabu hela ataitoa wapi?...

#MaendeleoHayanaChama
Wazungu wameshindwa kuwaunga mkono nyie waafrika wakristo wenzao kuzid wao, kweny maliasiili wanaishia kuwaibia.
wawaunge mkono waislam?
Huko watu wanamajina ya kikiristo lakin hawana dini usichanganye mambo
huwezi kuta wanaingia jumapili kanisani kama wewe.
Au kuitwa John ndio kuwa mkiristo?
Newton alikuwa anaitwa isac newton lakin hajawahi kuwa mkiristo
 
Wazungu wameshindwa kuwaunga mkono nyie waafrika wakristo wenzao kweny maliasiili wanaishia kuwaibia.
wawaunge mkono waislam?
Huko watu wanamajina ya kikiristo lakin hawana dini usichanganye mambo
huwezi kuta waningia jumapili kanisani kama wewe.
Wananyonywa wote ogopa ubepari wewe..wanachoangali ni pesa..kama huamini washauri waarabu wauze mafuta nje ya dola..kama hawajageuka majivu..kawaulize libya kilichowatokea.

Anyway bora nitoe mamilion kwenye ukristo dini ua upendo na amani kuliko kutoa mia kwenye usislamu...dini ya chuki na jihadi..iliojaa unafiki na upotovu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hata waislam wako kama wewe wanawapenda waislam wenzao kuliko mkristo anavyo mpenda mkristo mwenzake
kwao muislam ni ndug yake.
Usilete porojo za kwamba wanawasaidia wote wananufaika kule dini imewaweka pamoja ukizingua wanakutoa
huwezi kuwa puppet wazi wazi wa wazungu ninyi mmekubali kuwapa bure wapeni wao walikataa mda mrefu wala sio fadhila za mzungu.
Na kuhusu hayo huo ukristo umeua wengi kuliko waislamu sio tu agano la kale hata baada ya kristo roma wameua
zaidi ya watu mil 50 huo upendo ulikuwa wap?
Ukristo wa agano la kale na uislamu wa leo unatofauti gani, upi bora?
Ndio maana kuna watu walipinga kama Mungu wa agano la kale na wa agano jipya ni mmoja kati
ya wa catholic wa mwanzo kabla ya wa catholic kuungana na roma empire kuua wapinzani wao wa ndani na nje ya ucatholic.
 
Turudi kwenye Imani zetu za kale
 
Unalosem n kweli kbsaa

Yaan wengne sikuhz tunaogop kwend ibada ,

Ukiend na akiba wanapta nayo
 
Ninamiaka miwili sijaingia kanisani.
 
Ukristo hauNa shida, shida ni sisi tumekua wajinga,
Hatuwezi kabisa kuchanganua Mambo.

Ukitenga Muda wako kosoma biblia, kuna vingi utajua kuliko kusubiri mahubir ya Mchungaji.
Mie sijaamua kusubiri nimeamua kuhama kabisa
 
Nazani ukilinganisha miundo mbinu na taratibu za uendeshaji wa makanisa na misikiti tayari utaona utofauti mkubwa Sana, kanisa hasa nikijikita Kwa kanisa katoliki kama mfano Anza kuangalia majengo, samani, na Mali nyingine zilizomo kanisani na uendeshaji wa misa kuanzia mahitaji kama ekaristi, divai, mafuta ya gari la parokia, service, na makorokoro mengine utaona umuhimu wa hizo sadaka huko msikitini zaidi ya mikeka, maji, na bili ya umeme hakuna samani nyingine kwahiyo ukianza kulinganisha angalia pia utamaduni wa kuendesha shughuli za kila siku, Kwa upande wa hiyo michango ipo inayoenda moja Kwa moja jimboni Kwa Askofu kumbuka hakuna tena misaada kutoka nje Kwa makanisa na kwaupande wa huduma za kijamii hasa elimu, mashule mengi ya wakatoliki ni ya mashirika ukiondoa seminari ambazo Zina milikiwa na majimbo kwaajili ya malezi, na hizo shule zinaendeshwa Kwa gharama kubwa kutokana na huduma wanazo zitoa ndiyo maana wazazi mnatozwa ada kubwa na matunda yake mnayaona matokeo ya watoto yanakuwa mazuri kwahiyo japo siwezi Pinga suala la upigaji lipo kila mahali ila matunda ya michango tunayaona Kwa madhehebu mengine ya kikiristu sijui ila Kwa upande wa katoliki ninalo lakuongelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…