Sadat & Hussein Mumbarak-Egypt na Clinton wanafichua kuwa Amani kati ya Israel na Wapalestina inakwamishwa na chuki ya Wapalestina

Mkiambiwa hamna akili mnakataa ila ndio ukweli kwahio wewe kwakua hujachagua kufa unahisi utakaa milele hapa eeenh
 
Bwana Utam uislam umeathiri sana akili yako imeoshwa badilika uwe na mtazamo mpya
Nibadilike niweje kijana nimewapa fact mnaruka ruka jibuni hoja munadai waislam hasa wapalestina wanadai kutaka kuwafuta wazayuni nimeuliza swali hujaja na jibu hitler alikua anasali msikiti gani
 
Wazungu wa kizayuni walojivika lemba la uyahudi wana matukio zaidi ya million ila ntakutajia machache kwa kila bara ntakutajia moja au mawili wazayuni walipiga mabomu ya nyuklia Japan wakaua ma elfu ya watu wazayuni ndio waloungana kuua kwa njaa maelfu ya watu Korea kaskazini wazayuni ndio wanaoendelea kuua na kutesa kwa kukosa madawa Cuba na Venezuela naona shida kuandika ila haya ni machache kati ya mengi
 
Nitakufa kifo cha Mungu na siyo cha kujipangia mwenyewe,ambaye hana akili ni yule aliyejichagulia kufa wakati ameumbwa ili aishi.
Hakuna anaejuchagulia kufa kijana na hujaumbwa ili uishi umeumbwa ili umuabudu mungu wangapi wanaumbwa ila hawaishi
 
Ukimchukia mtu unamtungia Kila uongo , mwishowe utasema wayaudi ndio walivamia kitaya Mtwara na kuua raia
 
Clinton huwa ni muongomuongo si wa kumuamini.

Amewahi kutoa kauli ya uwongo kuwa "I never had sex with that woman", Yaani Monica Lewinsky, kumbe hiyo ndo ilikuwa michezo yake.
 
Ukimchukia mtu unamtungia Kila uongo , mwishowe utasema wayaudi ndio walivamia kitaya Mtwara na kuua raia
Ndio shida ya kubishana na watu wenye matatizo ya afya ya akili hayo nenda ka Google maana hayapo kwenye Quran kusema utakua huwezi kuyasoma halafu uje useme wapi nimedanganya
 
Hivyo vina faida gan kwenye huu mjadala ? Ebu jikite kwenye mada
Vina uhusiano kabisa na hii mada, kwa sababu sio tu kwamba wapalestina hawakutaka huu mgogoro uishe, hata hao waisrael hawakutaka na ndio maana walimuua PM wao ambaye alikuwa tayari iwepo nchi ya palestina.
 
Hawa ndio wasemaji wa Palestina? huyu Saadat alikuwa mnafiki kabisaa huyo alimuingiza mkenge Hafidh Assed kwa ubinafsi wake, ndio maana waarabu wengi walikuwa HAWAMPENDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…