Sadat & Hussein Mumbarak-Egypt na Clinton wanafichua kuwa Amani kati ya Israel na Wapalestina inakwamishwa na chuki ya Wapalestina

Wapelistina,waarabu na waisalamu wasipoacha chuki zako za kishamba kamwe hawatawahi pata Taifa Tena....
Hakuna ethnicity ya wapelestina,narudia tena,hakuna ethnicity ya kipalestina..
Kama ingekuwepo
tungetegemea wangekuwa na lugha yao kama ilivyo Iran ,lakini waliopo Palestine ni waarabu..
 
Ona manguli hawa wanavyotema madini! Wenye akili zao wanajua anayekwamisha amani kati ya Israel na wapalestina ni nani!

Ila mafilisti wana matatizo toka enzi na enzi; toka nyakati za kubwa jinga Goliath hawa jamaa ni vurugu! Unfortunately hazikuwahi kuwasaidia Ila hawakomi!
Nimependa neno MAFILISTI
 
Sielewi hizo Arabs zinafanya nini katika ardhi tukufu za waisrael
 
Hueleweki hoja yako kijana
Mkuu, kuna mmoja kachonga Msalaba na Sanamu akaviweka kwenye nyumba anayoabudia.
Mwingine katengeneza Sakafu kila siku anafanya kazi ya kuisujudia na kule Mekkha amejenga Kajumba akaweka viatu vya Mussa na kijumba kingine ni ghetto la Shetani analomtunza humu na wakienda kuhuji wanaanza Alkaaba kuabudu na kusujudia viatu vya vya Mussa then wanapitia ghetto la Shetani kumpiga awe.

Sasa hapo ni kipi usichokielewa mkuu?
 
Samahan,kuna utofauti mkubwa Kati ya wapalestina na wafilisti ndg. Tafiti
Wakazi wa halisi wa kaanani walishapotezwa hao wapalestina walikuja kipindi cha utawala wa otoman na British,walikuwa wapagazi tu.Nabii I brahim alipotoka Ur kupitia masopotamia ndio aliyehaidiwa na Munngu yeye na uzao wake wote kukaa hapo Sasa,huyu kapewa Uarabuni huko bado anamtafuta mwenzake,na Watapigika kwa sababu wanaenda kinyume na Anu.
 
Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema makubaliano hayo yalilenga Wapalestina wawe na Serikali yao baada ya Miaka 5 ya utekelezaji wake. Anasema Makubaliano ya Camp David hayakuwa kwa ajili ya kuwashambulia wapalestina katika Mji wa Tel Al Zaatar. Na wala makubaliano hayo hayakuwa kwa ajili ya kuwatenganisha Waarabu. Kwa miaka sita tumekuwa tukiwaonya (Viongozi wa Palestine) kama tulivyofanya May 1, 1976 kule Suez kwa lengo la kuiokoa Lebanon na kutunza heshima yetu Waarabu. HAPA ALIKUWA AKIREJEREA VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE KULE LEBANON AMBAYO CHANZO CHAKE KILIKUWA WAKIMBIZI WA KIPALESTINA AMBAO WALIFUKUZWA KULE JORDAN.
View attachment 3142031

Video ya pili Ni Rais Hussein Mbarak ambaye pia anawalaumu wapalestina: anasema mgogoro wa Palestina na Israel umekuwa complicated. Anasema lazima viongozi wa Palestina waachane na tabia yao ya kusema NO kwa kila kitu. Anasema kwa miaka 50 iliyopita wamekuwa wakisema NO na kujikosesha fursa ya kuwa na Taifa lao. Anasema mwaka wa 1948 wapalestina walikataa Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuunda mataifa mawili (yaani Taifa la Jewish Palestine & Arab Palestine). Na mwaka 1967 Israel ilikubali kuachia maeneo inayokalia ili mradi Wapalestina Watambue kuwepo kwa Taifa la Israel, Wapalestina wakasema NO. Kwamba kilichochulikwa kwa Nguvu lazima kirudishwe kwa nguvu. Anaendelea kusema Wapalestina walikataa pia Camp David Agreement.
View attachment 3142039
Video ya tatu anasema mnajigamba manataka kuiangamiza Israel, kweli? Mtaiangamiza kwa kutumia nini?
View attachment 3142040
Video ya tatu anasema Israel hawakuwa na shida kujadili na kufikia muafaka katika masuala yaliyokwamisha majadiliano. Wapalestina walitakiwa waige mfano wetu (Egypt) tuliofanya majadiliano ya amani na Israel na hatimaye kukarudishiwa maeneo yetu Yote.
View attachment 3142050
Video ya Bill Clinton akiwa kwenye kampeni za Kamala Harris za kugombea Urais.
Akaamua kuwatolea Uvivu Waislamu wa Michigan (Jimbo hilo Ndilo lenye waislamu wengi kule Amerika) na kusema ukweli. Anasema kama mngekuwa mliishi kule Kibutzi Israel ambako kwa kulinganisha maeneo mengi ya Israel, Watu wa Kibutzi ndiyo ambao huunga Mkono kuundwa kwa Taifa la Wapalestina linalojitawala, Halafu hiyo October 7 hao hao wapalestina mnaowapigania ndiyo wanakuja kuwachinja kinyama na kuwa choma moto na kuwabaka wanawake wenu, ni lazima ushangazwe sana na Afya ya akili ya hawa watu. Anasema Yassier Arafat alitudanganya. Alijifanya kukubali makubaliano ya Oslo ambayo yangewapa 96% ya west bank Pamoja na East Jerusalem wakiwaachia Israel only 4%. Mwenzetu akaenda kukaa na wenzie na kukataa makubaliano hayo. Sababu kubwa ni Agenda yao ya kuhakikisha Taifa la israel na Wayahudi wanafutiliwa Mbali. Clinton halafu anawambia kuwa Mjue kuwa WAYAHUDI WALIKUWEPO KATIKA HIYO ARDHI MIAKA MINGI KABLA YA NYINYI NA DINI YENU KUVAMIA HAPO.
View attachment 3142051
mkuu jifunze kutupa kule propaganda...hakuna makubaliano yeynye kuwapa maslahi wapalestina hapo middle east labda kama umeanza kufuatilia hizi mambo juzi ila tu ukae ukijua matakwa ya wapalestina ndo yanakataliwa,makubaliano ya hapo ni lazma yawe na urahisi wa Israeli na USA kuendelea ku-control kila kitu hapo middle east ili wapate kuchota rasilimali zilizokuwa hapo watakavyo kitu ambacho waarabu hawataki kamwe,hao ni waarabu sio watanganyika mzee wanaweza kujisimamia

HAO WATU HAWAWEKI WAZI TU KWA UOGA AU NI VIBARAKA WA ISRAELI NA USA,ILA MAKUBALIANO YA HAPO LAZMA YAWE YA KIMASLAHI KWA HAO WATU WAWILI NDO MAANA NGUMU KUAFIKIWA NA HAO WAARABU,MFANO KUNA HISTORIA YA KIMKATABA KATI MSAUDIA NA MUINGEREZA ULIOWEKWA MIAKA MINGI SANA,MOJA YA KIPENGELE CHA MKATABA HUO NI KUMSHIRIKISHA MUINGEREZA KWENYE KUMCHAGUA MFALME AMBAYE KI MSINGI ATAKUWA NDIO MZEE MBELE YA MUINGEREZA KWA SABABU MKATABA HUO UNAHUSISHA MUINGEREZA KUPATA MAMILIONI YA LITA ZA MAFUTA KILA MWAKA KUTOKA SAUDIA KWAHIYO LAZMA NA WAO WAHUSIKE KWENYE KUANDAA PRINCE ATAKAYEKUJA KUWA MFALME WA HAPO ILI AJE KUTII MKATABA HUO WA KINYONYAJI,SASA WASAUDIA HUO MKATABA UNAWATESA SANA NA WANAPAMBANA KUJITOA HAPO SIKU WAKIJA KUONEKANA WAMECHACHAMAA MUINGEREZA NA USA WATAIRUDISHA HIYO NCHI KUWA JANGWA KAMA ZAMANI...SASA KUWA MAKINI NA HIZO HABARI ZINAZOHUSISHA KAMA NI MKAKATI WA MAKUBALIANO YA AMANI KATI YA ISRAELI NA PALESTINE LAZMA KUWE NA VIPENGELE VYENYE MASLAHI KUTOKA KWENYE ARDHI YA WAPALESTINA KWENDA KWA HAO MAFALA
 
Ndio limefanyaje
Mnaabudu sanamu, tangu lini ukirusha jiwe kwenye sanamu dhambi zinasamehewa?
Hamjitambui ninyi, torati inasema pasipo kumwaga damu hakuna msamaha wa dhambi...
Ninyi mnaenda kuchungulia kwenye Kaaba na kurusha mawe...
Poleni sana
 
Nyinyi watu mliokunywa maji ya Juzuu(karatasi ya Quran iliyolowekwa kwenye Maji halafu mkanyweshwa) hata tulete ushahidi gani Mtapinga, kama hao wapalestina wenu wanavyopinga kila makubaliano. Na Mta pigwa na Israel mpaka huyo kinara wenu Iran atachakazwa na Maayatollah kuondolewa madarakani. Labda hapo ndipo mtazinduka
 
Wapalestina walikaribishwa Jordan wakataka kumpindua Mfalme Abdullah,

wamepewa hifadhi Lebanon wamegeuza uwanja wa mapambano,

Nyerere aliwaunga mkono wakamgeuka na kuuwa askari wa Tanzania kwenye vita ya Kagera.

Wana laana ya ugaidi
Kweli kabisa, na ni nafikiri nyerere kama angeishi muda mrefu na kupewa information sahihi siku moja angewatolea uvivu na kuwachana kama ambavyo leo hii Bill Clinton kaamua kuwachana tena mbele ya wasilamu wenzao waliojimilikisha Jimbo la Michigan
 
Kulikuwa na mazungumzo mwanzoni kabisa ya miaka ya 2000 huko Camp David (Clinton akiwa Rais wa Marekani) kati ya Arafat na Ehud Barak( wazuri mkuu wa Israel wakati huo).

mazungumzo yalikwana na baadae Wapalestina walianzisha Intifada ya 2 baada ya ziara ya Ariel Sharon kule Al Aqsa..
Naomba msikilize vizuri Bill Clinton. Anasema, Arafat alisaini makubaliano hayo kama geresha; ndiyo maana Clinton anasema Arafat Ali idą Ganta. Na anaongezea kuwa wao wapalestina lengo lao siyo amani Bali ni kuwaua wayahudi na kufutilia mbali Taifa la Israel. Nikwambie kitu. Viongozi wote wa Wapelestina ni Mabilionea. Arafat, Ismail Hanniya, Khaled Mashal na Sinwar. Wanafaidika Mgogoro huu ukiendelea kwa kuchuma Pesa za misaada ya kimataifa
 
Clinton naye muongo tu..
 
Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema makubaliano hayo yalilenga Wapalestina wawe na Serikali yao baada ya Miaka 5 ya utekelezaji wake. Anasema Makubaliano ya Camp David hayakuwa kwa ajili ya kuwashambulia wapalestina katika Mji wa Tel Al Zaatar. Na wala makubaliano hayo hayakuwa kwa ajili ya kuwatenganisha Waarabu. Kwa miaka sita tumekuwa tukiwaonya (Viongozi wa Palestine) kama tulivyofanya May 1, 1976 kule Suez kwa lengo la kuiokoa Lebanon na kutunza heshima yetu Waarabu. HAPA ALIKUWA AKIREJEREA VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE KULE LEBANON AMBAYO CHANZO CHAKE KILIKUWA WAKIMBIZI WA KIPALESTINA AMBAO WALIFUKUZWA KULE JORDAN.
View attachment 3142031

Video ya pili Ni Rais Hussein Mbarak ambaye pia anawalaumu wapalestina: anasema mgogoro wa Palestina na Israel umekuwa complicated. Anasema lazima viongozi wa Palestina waachane na tabia yao ya kusema NO kwa kila kitu. Anasema kwa miaka 50 iliyopita wamekuwa wakisema NO na kujikosesha fursa ya kuwa na Taifa lao. Anasema mwaka wa 1948 wapalestina walikataa Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuunda mataifa mawili (yaani Taifa la Jewish Palestine & Arab Palestine). Na mwaka 1967 Israel ilikubali kuachia maeneo inayokalia ili mradi Wapalestina Watambue kuwepo kwa Taifa la Israel, Wapalestina wakasema NO. Kwamba kilichochulikwa kwa Nguvu lazima kirudishwe kwa nguvu. Anaendelea kusema Wapalestina walikataa pia Camp David Agreement.
View attachment 3142039
Video ya tatu anasema mnajigamba manataka kuiangamiza Israel, kweli? Mtaiangamiza kwa kutumia nini?
View attachment 3142040
Video ya tatu anasema Israel hawakuwa na shida kujadili na kufikia muafaka katika masuala yaliyokwamisha majadiliano. Wapalestina walitakiwa waige mfano wetu (Egypt) tuliofanya majadiliano ya amani na Israel na hatimaye kukarudishiwa maeneo yetu Yote.
View attachment 3142050
Video ya Bill Clinton akiwa kwenye kampeni za Kamala Harris za kugombea Urais.
Akaamua kuwatolea Uvivu Waislamu wa Michigan (Jimbo hilo Ndilo lenye waislamu wengi kule Amerika) na kusema ukweli. Anasema kama mngekuwa mliishi kule Kibutzi Israel ambako kwa kulinganisha maeneo mengi ya Israel, Watu wa Kibutzi ndiyo ambao huunga Mkono kuundwa kwa Taifa la Wapalestina linalojitawala, Halafu hiyo October 7 hao hao wapalestina mnaowapigania ndiyo wanakuja kuwachinja kinyama na kuwa choma moto na kuwabaka wanawake wenu, ni lazima ushangazwe sana na Afya ya akili ya hawa watu. Anasema Yassier Arafat alitudanganya. Alijifanya kukubali makubaliano ya Oslo ambayo yangewapa 96% ya west bank Pamoja na East Jerusalem wakiwaachia Israel only 4%. Mwenzetu akaenda kukaa na wenzie na kukataa makubaliano hayo. Sababu kubwa ni Agenda yao ya kuhakikisha Taifa la israel na Wayahudi wanafutiliwa Mbali. Clinton halafu anawambia kuwa Mjue kuwa WAYAHUDI WALIKUWEPO KATIKA HIYO ARDHI MIAKA MINGI KABLA YA NYINYI NA DINI YENU KUVAMIA HAPO.
View attachment 3142051
Sipingani na maoni yao lakini bado najiuliza!
Mwakilishi wa UN Count Dolke Bernadotte aliteuliwa kwenda kusuruhisha mgogoro wa Palestina na Israel mbona aliishia kuua na Wayuhudi sababu alipendekeza mipaka ichorwe upya, Wayahudi watoke maeneo ya Wapalestina na Wapalestina wakimbizi warudi katika maeneo yao? Hapa aliekakwamisha ni Wapalestina?
20241103_150648.jpg

2. Yitzhak Rabin aliuawa akiwa Waziri Mkuu wa Israel mwaka 1995 huku akiwa katika hatua za mwisho kabisa kumaliza mgogoro wa Palestina na Israel kwa kushirikiana na Yasser Arafat, walisaini Oslo Accords ila mwisho wa siku aliaua na myahudi mwenzie huku Benjamin Netanyahu kipindi hiko akiwania kiti cha PM wa Israel na ikisemekana akitoa maneno ya chuki sana kwa Rabin huku wakimuita msaliti!
20241103_150711.png

Hapa Mpalestina alikwamisha mchakato wa amani?

Ajabu ni kuwa aliekaongoza genge la mauaji ya mwakilishi wa UN alikuja kuwa PM wa Israel kupitia chama cha Likud ambacho sasa Benjamin Netanyahu ndiye anatokea.

Ajabu zaidi pia Benjamin Netanyahu anatajwa zaidi katika kifo cha kupigwa risasi Rabin 1995!

Naendelea kujiuliza, kwanini waliofanya jitihada za kuleta amani mahariki ya kati waliishia kuawa na Wayahudi?
 
Sipingani na maoni yao lakini bado najiuliza!
Mwakilishi wa UN Count Dolke Bernadotte aliteuliwa kwenda kusuruhisha mgogoro wa Palestina na Israel mbona aliishia kuua na Wayuhudi sababu alipendekeza mipaka ichorwe upya, Wayahudi watoke maeneo ya Wapalestina na Wapalestina wakimbizi warudi katika maeneo yao? Hapa aliekakwamisha ni Wapalestina?
View attachment 3142597
2. Yitzhak Rabin aliuawa akiwa Waziri Mkuu wa Israel mwaka 1995 huku akiwa katika hatua za mwisho kabisa kumaliza mgogoro wa Palestina na Israel kwa kushirikiana na Yasser Arafat, walisaini Oslo Accords ila mwisho wa siku aliaua na myahudi mwenzie huku Benjamin Netanyahu kipindi hiko akiwania kiti cha PM wa Israel na ikisemekana akitoa maneno ya chuki sana kwa Rabin huku wakimuita msaliti!
View attachment 3142598
Hapa Mpalestina alikwamisha mchakato wa amani?

Ajabu ni kuwa aliekaongoza genge la mauaji ya mwakilishi wa UN alikuja kuwa PM wa Israel kupitia chama cha Likud ambacho sasa Benjamin Netanyahu ndiye anatokea.

Ajabu zaidi pia Benjamin Netanyahu anatajwa zaidi katika kifo cha kupigwa risasi Rabin 1995!

Naendelea kujiuliza, kwanini waliofanya jitihada za kuleta amani mahariki ya kati waliishia kuawa na Wayahudi?
Hivi kati ya wewe na Bill Clinton ambaye yeye ndiye aliyesimamia huo Mchakato, unataka kujifanya wewe ndiyo una taarifa za kina kuhusu hayo makubaliano ya Oslo? Kati ya Wewe na Rais Hussain Mubarak ambaye tena yeye anamjua fika Yasser Arafat kuwa ni Mmisri mwenzao mjanja mjanja anayetaka kujinufaisha kifedha kupitia mgogoro huo, unajifanya wewe ndiyo unajua zaidi?!
Nikuambie tu kuwa Izhaki Rabin baada ya kuamua kuwapa wapalestina 96% ya Judea & Samaria iliwakera baadhi ya raia wenye siasa kali wa Israel ( Lakini siyo serikali ya Israel) ndipo akajitokeza raia mmoja akamuua. Na Serikali ilimfunga huyo raia. Hata hivyo, Clinton anakuambia kwenye hiyo video clip kuwa Viongozi wa Palestina wakiongozwa na Arafat walisaini makubaliano kwa Geresha, na bado wakakaidi kuyatekeleza. Clinton anawaambia waislamu wenzio wa Michigan kuwa sababu kubwa ya kukataa kutekeleza makubaliano hayo ni ile Azma ya Wapalestina ya kuwaangamiza Wayahudi wote na kutwaa nchi yote ya Israel.
Kwenye ile Clip ya Hussain Mubarak anasema hata ule mwaka 1948 ni wapalestina ambao walikataa maazimio ya UN ya kuunda Mataifa mawili (Jewish Pales3& Arab Palestine). Pia mwaka wa 1967 ni wapalestina ndiyo walikataa makubaliano ya amani.
SASA NYINYI WAISLAMU WA BUZZA JIFANYENI ATI MNAJUA ZAIDI YA HAWA VIONGOZI WANAOUJUA VIZURI HUU MGOGORO
 
Back
Top Bottom