Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

hivi nikinunua hisa za nmb na crdb mwishoni mwa mwezi huu july 2026. ntapata kweli gawio au nimechelewa muda wa kununua hisa za gawio?
 
NMB share split .
Kiufupi wanufaika ni wale wote wenye hisa za NMB na wale watakaonunua mpaka mwisho tarehe 19-08-2026. Baada ya hapo itafanyika Registration (Biashara haitafanyika kuanzia tarehe 20-08-2026).

Biashara itaanza kufanyika rasmi 24-08-2026 hii itakuwa rasmi biashara baada ya Splitting.
 
Umepata mkopo wa 2%, pesa ya bure kabisa, nafikiri treasury bills za BOT ni guarantee(10-14%) kuliko shares zinazo swing kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…