Usitoe chochote kwa mtu ambae umemfurahisha, badala yake yeye ndiye akupe chochote kwa kazi ya kumburudisha. Usitoe chochote kwa kupewa ngono kwakuwa wote mlifurahishana, bali toa chochote kwa mwenye mimba yako na mtoto wako basi, achana na wazee na wasiohitaji uzaziKwamba tumege kimasihara............watanuna hao hakuna mfano🤣
Hongera kama imeworkout kwako mkuu, ila wengine watoto wa kike huwa na mahitaji zaidi ya wa kiume matokeo yake ni kudanga.( Kwa kizazi hiki).exactly, wote nawapa hela sawa ili kila mtu atumie kulingana na mahitaji yake ya kibiolojia, kiafya na kijamii. Mfano, msichana hawezi kutumia hela ya kununua pedi kwa kwenda disco na mwanaume hawezi kutumia hela kuhonga wakati hana wembe wa kunyoa ndevu na nywele zake. Kama mwanaume kabikiwa na hela ya ziada kwenye matumizi yake basi atumie hiyo kwenda disco. Discipline hiyo kwenye matumizi wameibeba hadi kwenye maisha yao baada ya kupata kazi. Watoto wangu wa kike wamejenga, wana magari, wana biashara za ziada wakati kaka zao wanahangaika na matumizi yasiyo na kichwa wala miguu.
mtoto wa kike ukimpa pesa za ziada atawahonga boyfriends zao au kutoa misaa kwa wenzao wenye shida kama za chakula au ada.
Hapa nilikuwa natumia ile theory ya mwanazuoni Abraham Maslow juu ya hierarchy of needs, basic needs kwanza kabla ya higher needs. Huwezi kwenda disco kama hujapata chakula, huwezi kutamani kununua kiatu cha ziada kabla ya kununua pedi, nk
kaka binadamu ni viumbe kama viumbe wengine, hakuna malisho na mabanda tofauti kati ya ndama jike na ndama dume ingawa wanatofautiana namna ya kukojoa. Kila ndama atakojoa kwa mujibu wa maumbile yake bila ongezeko la mahitaji ya ziada kwa ndama jike au dume. Mtoto wa kike hawezi kwenda kudanga ili apate hela za kumhonga boyfriend na wala hawezi kutumia hela ya kununulia pedi yake kumhonga mwanaume wake, lakini mtoto wa kiume anaweza kutumia hela ya matumizi uliyompa kumhonga girlfriend wake.Hongera kama imeworkout kwako mkuu, ila wengine watoto wa kike huwa na mahitaji zaidi ya wa kiume matokeo yake ni kudanga.( Kwa kizazi hiki).
Uliposema wengine wamejenga nikajua moja kwa moja hao sio watoto wa dot.com.
Msichana kumuhonga boyfriend wake hiyo scenario ni nadra sana kutokea mkuu.kaka binadamu ni viumbe kama viumbe wengine, hakuna malisho na mabanda tofauti kati ya ndama jike na ndama dume ingawa wanatofautiana namna ya kukojoa. Kila ndama atakojoa kwa mujibu wa maumbile yake bila ongezeko la mahitaji ya ziada kwa ndama jike au dume. Mtoto wa kike hawezi kwenda kudanga ili apate hela za kumhonga boyfriend na wala hawezi kutumia hela ya kununulia pedi yake kumhonga mwanaume wake, lakini mtoto wa kiume anaweza kutumia hela ya matumizi uliyompa kumhonga girlfriend wake.
Wazazi/walezi ndio wanaosababisha udhaifu kwa watoto wa kike na uimara kwa watoto wa kiume kutokana na malezi. Mara nyingi wanadhani kuwa watoto wa kike ni dhaifu sana, hata nguo wanazowanunulia watoto wa kike ni dhaifu sana zinazoweza kuwaacha uchi wakati wowote. Wakati watoto wa kiume wakinunuliwa na kuvalishwa nguo ngumu kama majins na bukta watoto wa kike wanavalishwa vishumizi, vichupi vya vitambaa laini sana na transparent. Watoto wangu mimi wote walikuwa wanavaa suruwali, jins, track suit ect bila kubagua, siku nyingine wanavaliana. Udhaifu wa watoto wa kike unajengwa kuanzia nyumbani, shuleni na kanisani na misikitini ambako mtoto wa kike anavalishwa vigauni ambavyo upepo ukija unamfunua wakati wanaume wanavalishwa kaptula na suruali, wako imara kukaa position ya aina yoyote ile popote pale hata upepo uvume namna gani.Hongera kama imeworkout kwako mkuu, ila wengine watoto wa kike huwa na mahitaji zaidi ya wa kiume matokeo yake ni kudanga.( Kwa kizazi hiki).
Uliposema wengine wamejenga nikajua moja kwa moja hao sio watoto wa dot.com.
Kaka hesabu iko hivi, kama watoto wote wa kike na kiume utawapa 200,000 za matumizi (pocket money) kwa mwezi kila mmoja, wakati mtoto wa kiume anatumia sh. 10,000 zake kuhonga girlfriend wake dada yake atatumia 10,000 zake kununua pedi yake na kusuka nywele zake, mwisho wa siku wote watabakia na sh. 180,000 pocket money, Maana yake dada yake katumia vizuri na kaka yake katumia vibaya pocket money yake, Sasa kama mzazi atampa mtoto wa kike 210,000 ili anunue pedi na kusuka maana yake mtoto wa kike nae atakuwa na 10,000 ziada ya kuhonga boyfriend, kusagana, kwenda disco kama kaka yake.Msichana kumuhonga boyfriend wake hiyo scenario ni nadra sana kutokea mkuu.
Nachozungumzia mimi ni mahitaji ya mtoto wa kike ni mengi zaidi ya wa kiume hasa kwa kizazi hiki. Hao wanao inaomeka ni wakubwa tayar na waliishi enzi zile sio hizi. Enzi hizo hakuna social media wala hawezi kua na maragiki wengi kutokanana pia na uhaba wa ahule na uchache wa wanafunzi wenzie.
Mkuu achana na kuhonga kuna mahitaji muhimu kwa mtoto wa kike kama pedi, mafuta sometimes spray/perfume.
Sio kua kwaku unawawekea usawa kwa kua wote ni binadamu ila mi nadhani wa kike anahitaji zaidi kuliko wa kiume, wa kiume uwezo wa kujitaftia mwenyewe akiwa na miaka 15 tu anao, tena uwezo mkubwa kabisa. Tofauti na wa kike miaka 15 kuwa na kipato chake si rahisi kabisa zaid zaid anamtegemea mzazi kwa kila kitu.
Hongera kama imeworkout kwako mkuu, ila wengine watoto wa kike huwa na mahitaji zaidi ya wa kiume matokeo yake ni kudanga.( Kwa kizazi hiki).
Uliposema wengine wamejenga nikajua moja kwa moja hao sio watoto wa dot.com.
anasahau kuwa watoto wa kiume pia wana matumizi makubwa ya ziada pengine kuliko hata watoto wa kiume. Mtoto wa kiume anakula chakula kingi sana kuliko yule wa kike, anatoa (saidia, honga) badala ya kupokea, anachafuka uniforms kuliko mtoto wa kike, anatoka jasho jingi kuliko mtoto wa kike, anachana viatu kuliko mtoto wa kike, bado mzazi anaona eti mtoto wake wa kiume hana matumizi kuliko dada yake. Mawazo na matumizi kama haya ndiyo yanawafanya watoto wa kiume wengi wawe wadokozi, wezi na watoro.Tafadhali ainisha hayo matumizi ya ziada kwa mtoto wa kike kiasi cha kujenga hoja yako. Ukiacha pedi ambayo ni TZS 3000/- sijui umelenga nini, hebu tuone mlamu.
Ndo maana vitabu vya dini vinaahiza tuishi nao kwa akili. Wanaume Wana vitu vingi sana wasivyovijua kuhusu wanawake. Ukweli ni kwamba wanawake Wana akili nyingi sana kuliko wanaume. Mwanaume msomi na Mzee anaweza kuendeshwa na mwanamke mdogo ambae hajasoma kabisa.No comment. Naendelea kusoma comments😄
Mavazi hasa nguo za ndani kama chupi na sidiria ambazo kwa maumbile yake anatakiwa awe nazo nyingi kiasi. Tofauti na mtoto wa kiume anaeweza kua na boxer 2 na wala asiwaze wala nini.Tafadhali ainisha hayo matumizi ya ziada kwa mtoto wa kike kiasi cha kujenga hoja yako. Ukiacha pedi ambayo ni TZS 3000/- sijui umelenga nini, hebu tuone mlamu.
Kaka hesabu iko hivi, kama watoto wote wa kike na kiume utawapa 200,000 za matumizi (pocket money) kwa mwezi kila mmoja, wakati mtoto wa kiume anatumia sh. 10,000 zake kuhonga girlfriend wake dada yake atatumia 10,000 zake kununua pedi yake na kusuka nywele zake, mwisho wa siku wote watabakia na sh. 180,000 pocket money, Maana yake dada yake katumia vizuri na kaka yake katumia vibaya pocket money yake, Sasa kama mzazi atampa mtoto wa kike 210,000 ili anunue pedi na kusuka maana yake mtoto wa kike nae atakuwa na 10,000 ziada ya kuhonga boyfriend, kusagana, kwenda disco kama kaka yake.
Hivi ni kwanini matumizi ya ziada ya mtoto wa kike mnasema ni pedi pekee??anasahau kuwa watoto wa kiume pia wana matumizi makubwa ya ziada pengine kuliko hata watoto wa kiume. Mtoto wa kiume anakula chakula kingi sana kuliko yule wa kike, anatoa (saidia, honga) badala ya kupokea, anachafuka uniforms kuliko mtoto wa kike, anatoka jasho jingi kuliko mtoto wa kike, anachana viatu kuliko mtoto wa kike, bado mzazi anaona eti mtoto wake wa kiume hana matumizi kuliko dada yake. Mawazo na matumizi kama haya ndiyo yanawafanya watoto wa kiume wengi wawe wadokozi, wezi na watoro.
Duuh aisee we mkuu malezi yako ni hayari yaani hayaangalii jinsia kabisa wote ni kama wanaume tu??Wazazi/walezi ndio wanaosababisha udhaifu kwa watoto wa kike na uimara kwa watoto wa kiume kutokana na malezi. Mara nyingi wanadhani kuwa watoto wa kike ni dhaifu sana, hata nguo wanazowanunulia watoto wa kike ni dhaifu sana zinazoweza kuwaacha uchi wakati wowote. Wakati watoto wa kiume wakinunuliwa na kuvalishwa nguo ngumu kama majins na bukta watoto wa kike wanavalishwa vishumizi, vichupi vya vitambaa laini sana na transparent. Watoto wangu mimi wote walikuwa wanavaa suruwali, jins, track suit ect bila kubagua, siku nyingine wanavaliana. Udhaifu wa watoto wa kike unajengwa kuanzia nyumbani, shuleni na kanisani na misikitini ambako mtoto wa kike anavalishwa vigauni ambavyo upepo ukija unamfunua wakati wanaume wanavalishwa kaptula na suruali, wako imara kukaa position ya aina yoyote ile popote pale hata upepo uvume namna gani.
Kakaaa, tofauti kubwa sana iliyoko kati ya mwanaume na mwanamke iko kwenye viungo vyao vya uzazi tu ( uke, uume, korodani, ovale, uterus, nk) basi na wote wanazaliwa wakiwa uchi, hizi nguo, bangili, heleni, magauni, suluali na mishono ya nguo waliwapa sisi (social constructions). Wazazi ndio wanaowanunulia watoto wa kiume matoi ya bastola na magari na watoto wa kike midoli ya mwana sesele, vitu vya kujipikilisha na vitambaa vya kuvalisha watoto. Mimi watoto wangu wote niliwanunulia midoli inayofanana (bastola, magari, mwanasesele, nk) wachezee wote. Watoto wangu wa kike ndo walikuwa wa kwanza kuendesha magari yangu, na wote walikuwa na uwezo wa kukamua ng'ombe na kulisha na kufunga mbwa bandani. wote walijisikia wako sawa ila wote walijua kwanini wanatofautiana kwenye namna kukojoa; kuchuchumaa na kukojoa wima.Duuh aisee we mkuu malezi yako ni hayari yaani hayaangalii jinsia kabisa wote ni kama wanaume tu??
Huoni kama unampelekea mwanao wa kike kua kiume zaidi kuliko uanamke wake ambao ndio asili yake.
Na mtoto wa kike na wa kiume wanavaliana nguo, duuh hiyo noma sana aisee.
Unapotembea na mke mwenye watoto wa mume mwingine na kumhonga, wewe mwanaume ni bwege sana, maana yake unasaidia mwanaume mwingine kutunza watoto wake na kumfurahisha mke wake maisha yao yaendelee Vizuri kwa kuongeza kipato kwenye familia yao. Unapompa mkewe nyama kama hongo maana yake mumewe anatumia hela ambayo angetumia kununua nyama hiyo kwaajili ya wanawe kwa kufanyia shughuli nyingine zenye faida kwake na familia yake. Yaani watoto wake wamelishwa nyama na mkewe kustareheshwa na biashara zake kwenda vizuri.MWANAMKE NI BIASHARA KUBWA SANA DUNIANI KWA
1.WANASIASA
2.MITUME NA MANABII
3.WAGANGA WA KIENYEJI
4 WANAHARAKATI
HII YA KWANGU KWELI?Unapotembea na mke mwenye watoto wa mume mwingine na kumhonga, wewe mwanaume ni bwege sana, maana yake unasaidia mwanaume mwingine kutunza watoto wake na kumfurahisha mke wake maisha yao yaendelee. Unapompaka mkewe nyama maana yake mumewe anatumia hela ambayo angetumia kununua nyama hiyo kwaajili ya wanawe kwa kufanyia shughuli nyingine zenye faida kwake. Yaani watoto wake wamelishwa nyama na mkewe kustareheshwa na biashara zake kwenda vizuri.
Mgoni anafilisika wakati mwenye mke mambo yake yanamyookea, bwege ni wewe bro,
Ni vizuri na naheshimu msimamo wako japo siwezi kuufata hata robo.Kakaaa, tofauti kubwa sana iliyoko kati ya mwanaume na mwanamke iko kwenye viungo vyao vya uzazi tu ( uke, uume, korodani, ovale, uterus, nk) basi na wote wanazaliwa wakiwa uchi, hizi nguo, bangili, heleni, magauni, suluali na mishono ya nguo waliwapa sisi (social constructions). Wazazi ndio wanaowanunulia watoto wa kiume matoi ya bastola na magari na watoto wa kike midoli ya mwana sesele, vitu vya kujipikilisha na vitambaa vya kuvalisha watoto. Mimi watoto wangu wote niliwanunulia midoli inayofanana (bastola, magari, mwanasesele, nk) wachezee wote. Watoto wangu wa kike ndo walikuwa wa kwanza kuendesha magari yangu, na wote walikuwa na uwezo wa kukamua ng'ombe na kulisha na kufunga mbwa bandani. wote walijisikia wako sawa ila wote walijua kwanini wanatofautiana kwenye namna kukojoa; kuchuchumaa na kukojoa wima.
Chupi na sidiria haviwezi kuwa sehemu ya pocket money yake. Hivi huwa ananuniliwa nyumbani TU na mama yake kabla ya kwenda shuleni. hata watoto wa kiume wanahitaji singileti, socks nyingi pia maana wanachafuka na kutoka jasho jingi sana. Kaka watoto wa kiume ni tabu sana kuwalea kuliko wasichana. The bottom line hapa ni kuwa watoto wote wanahitaji kutunzwa na Wana gharama zinazokaribiana.Mavazi hasa nguo za ndani kama chupi na sidiria ambazo kwa maumbile yake anatakiwa awe nazo nyingi kiasi. Tofauti na mtoto wa kiume anaeweza kua na boxer 2 na wala asiwaze wala nini.
Tena hizo pedi wala sio gharama kubwa ila hizo nguo za ndani, na pia mtoto wa kike kuomba pesa kwa ajili ya hizo vyupi, pedi na sidiria huwa wanaona aibu labda km baba ujiongeze tu.
sasa kama baba ndo ww unahisi matumizi yake ya ziada ni pedi tu unafeli.