Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

B
Simulizi zipo RFA(Radio Free Africa) jumapili sasa nne asubuh kipindi Sitosahau na Clouds fm jumapili saa nane mchana kipindi njia pandaa
Bado mnasikiliza tu huo udwanzi!?
 
Sana tu,nakumbuka 2011 nilkuwa na ngoma zao nyingi tu kwenye simu na nilikuwa nikisikiliza ile ngoma yao ya mchizi wangu hadi napagawa
Jamaa walikuwa poa sana wale aisee

"Kama unafeel hip hop we ndo mchizi waaangu, we ndo mchizi weeetu 🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶"

Au Hawatuweziiii itakuwa ngumu, kutusikia chini, Hawatuweziiii aaa uuu aaa ingawa gemu ni ngumu ........Hawatuweziiii 🎶🎶🎶🎶"
 
Madogo zangu wa Arusha miaka hiyo Arusha kuna wagumu. Siku hizi nasikia hata machoko wapo Arusha...hasa Kilimanjaro. Walikuwepo na X Plastaz pia
 
Kwani asipomalizia hii stori unaugua/ kufa?

Jaribu kujicontrol.
Tatizo liko kwako, sio kwa mwenye stori.
 
Kila sehemu hapa JF hao wapuuzi wapo. Wataanza itana na kuanza chats zao za ngono na mizaha. Wanaboa na kila nyuzi lazima waingie na kuja kujibebisha. Wapumbavu kabisa
 
Near death experience Mkuu!


Utaishi Maisha marefu Sana jamaa!

Katika wasiwasi mwingi vile mliamua kulala KILA mmoja chumba chake uamuzi mgumu Sana huo!

Mngekuwa wawili wakati Risasi zinapigwa usiku mngekumbatiana Ili kupeana moyo na uhai wa Maisha!ukirudi tena usilale mwenyewe Mkuu!ni kosa la kimkakati Hilo!
 
Kama uko serious tufanye mchakato twende. Huko kwenye ugumu ndio kuna hela
 
Kwahiyo kule ukipeleka chumvi unapiga hela?
 
Tupatikane vijana 5 tulio serious twende huko.
 
Kumbe huyu mzee ni tatizo kwetu kwa kumuangalia kama mtu flani mbadi sana!.

Although inafahamika nabii huwa hakubariki eneo analotoka!.
Hilo nilisha lifuatilia mapemaa, nikawa na Visa ya Dola100 nikapita Rwanda. Kuna mengi hapa Rwanda lakini kwakua sio mada ya Leo itoshe kusema ni Dunia tofauti sana. Tuishi bongo tu, amani inatosha.

Natamani siku moja asimulie pia hapa. Inaonekana mleta mada alikutana na mambo ya ajabu sana Rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…