Safari za Dar - Dom za Rais Samia zimekuwa nyingi, ni hatari kwa usalama wake

Anaogopa kivuli cha Jiwe pale Chamwino

So hana mpango wa kuishi Dodoma, matukio ya kitafifa yanamlazimisha
 
Ikulu ipo dodoma, ofisi za wizara zote zipo dodoma,makao makuu ya chama yapo dodoma. Kinachomzungusha hewani Kila saa amekuwa JK
 
Mimi ningemshauri Samia akae Dar, mpaka ikulu mpya ya Dodoma 'itakapokuwa tayari' then aslow down ujenzi kuhakikisha inakamilika by the time anatoka madarakani. So technically atakuwa hajairudisha ikulu Dar, ila atakuwa ana kaa Dar kwa 'muda, kusubiri ujenzi wa makazi muafaka ya Rais Dom yakamilike'.
 
Tanzania kuopetate ikulu mbili Kwa wakati mmoja ni mzigo mkubwa kwa Taifa
 
sio midege tu! hata barabara pia! Mahasimu kuwaweza ni kwamba apunguze safari, fullstop.
 
Hii midege alizoea kuipanda mzee wa msoga tu...
 
abaki tu Dar, kulazimishana Dom si ishu.
 
Kwa utafiti gani? Usafiri wa anga ndio usafiri salama zaidi kitakwimu kulinganisha na usafiri wa nchi kavu.
 
Usichokijua tu ni kwamba yawezekana hata huko kuhamahama Dar na Dom Kisha Dom na Dar ni sehemu pia ya Uimarishwaji wa Ulinzi na Usalama wake.

Kuna tunayoyajua na tusiyoyajua hivyo ni vyema Mambo mengine tukawaachia tu wenye Kazi zao wayatekeleze na kwa aina ya Kikosi cha Ulinzi na Usalama wa Marais kilivyo nchini Tanzania bado sijaona wa Kuthubutu hata kutaka Kumdhuru Rais wa Tanzania popote pale na kwa namna yoyote ile.
 
Kwanza ni hasara kwa nchi kuwa na ikulu mbili ni kutuumiza wanyonge wa nji hii. Ikulu ya Dar ifungwe. Sasa masuala ya ndoa sijui itakuwaje maana nasikia wapo watatu. Bora mwamba ndiye awe anasafiri kumfuata wife zamu yake inapofika
 
Uamuzi mzima wa kuhamishq mji mkuu kwenda Dodoma ulikuwa hauko practical kiuchumi wala kuangalia mahitaji ya nchi. Ulikuwa kisiasa zaidi.

Na tunazidi kuona hilo.
 
Dikteta magufuli hasafishiki labda kwa oil chafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…