Safari za Dar - Dom za Rais Samia zimekuwa nyingi, ni hatari kwa usalama wake

Acha afe.Madikteta wakifa ni jambo la kheri.Huyu ni Magufuli wa kike.Anazuiaje mikutano ya hadhara ya kisiasa wakati ni haki ya kikatiba?
Mzee wa NunDu kumbe unakatizaga mitaa ya Siasani huku😂
 
Tatizo ni shughuli nyingi kuendelea kuwepo Dar.

Mfano sasa hivi kuna Sabasaba, lazima aje kufungua.
 
Ushauri mzuri abaki Dar tu, inatosha sana, so long as yupo Mambo ya kufurahisha nafsi za watu fulani ni shida.
 
Ushauri mzuri abaki Dar tu, inatosha sana, so long as yupo Tanzania Mambo ya kufurahisha nafsi za watu fulani ni shida.
 
Naona unaropoka sasa, mnapenda sana demokrasia ila haiwapendi Mwenyekiti wa kudumu amekihodhi chama tokea enzi za mfalme Herode.
 
Hakunaga hatari wala hasara kwa wavunja katiba (madikteta).
 
Naona unaropoka sasa, mnapenda sana demokrasia ila haiwapendi Mwenyekiti wa kudumu amekihodhi chama tokea enzi za mfalme Herode.
Unaelewa maana ya demokrasia?Kama kiongozi A anachaguliwa kila mwaka kwa kura nyingi bila ya wizi wa kura wala figisufigisu wala mizengwe wala uchakachuzi na anachaguliwa kwa mujibu wa katiba ya walio wengi,hiyo siyo demokrasia?
 
Usalama wetu haupo chini ya ulizi wa yeyote isipokuwa Muumba wetu tu, Allah.

Msitishane kijinga. Ingekuwa usalama wetu upo kwenye mikono yetu au Kwa watu tunaowategemea, basi Nyerere, Karume na Magufuli tungekuwa nao Hadi Leo hii.

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi rajiun.
 
Unaelewa maana ya demokrasia?Kama kiongozi A anachaguliwa kila mwaka kwa kura nyingi bila ya wizi wa kura wala figisufigisu wala mizengwe wala uchakachuzi na anachaguliwa kwa mujibu wa katiba ya walio wengi,hiyo siyo demokrasia?
Kwahiyo demokrasia ni uchaguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…