Unauliza Majibu!<br />
<br />
By the way Kama kuna Rais Duniani anayesafiri sana nchi za nje basi ni Erdogan wa Turky. Katika mwe wa 8 na hizi wiki mbili za mwezi wa 9 ametembelea nchi 10. Hapo ndio utajua kuwa Safari kwa Rais si Dhambi pale inapobidi. Tatizo sio mara ngapi ndege imeruka juu, la msingi hapa ni kilichopatikana kutokana na safari hiyo. <br />
<br />
Bahati mbaya neno 'long term' kwa WANACHADEMA halipo. Wao wanachojua ni fanya biashara asubuhi, hesabu faida jioni. <i><b>Mnanikumbusha maneno na Augustino Mrema akiwa moshi, mbona juhudi zako hazileti matunda. Aliwajibu 'Siasa sio kama biashara unauza asubuhi na jioni unahesabu faida' Siasa inahitaji uvumilivu wa miaka na miaka, mfano ni Mzee Mandela, anakula Faida baada ya miaka 27. </b></i> Wachaga wenzake hawakumuelewa kwani baada ya kushindwa Mrema, mahesabu yao jioni nayo hayakuwa yanakwenda vizuri. Leo Mrema kachuja na CHADEMA imechukua nafasi yake, lakini wao wanataka kama wanachama wao, kuwa faida ivunwe jioni. Na kwa maana hiyo wanalazimisha Safari za Rais zilete faida jioni-MAKUBWA. Sasa nimeamini kuwa Mh Slaa hakuleta Faida jioni ktk chaguzi kuu ilyopita hivyo hana nafasi tena. haa .--ha--ha-ha-ha-haaaaaa.