kwanza asante kwa taarifa hii, lakini ndungu ebu tuchambulie hizo safari katika magroup, safari za kikazi ni ngapi ??, safari za binafsi ni ngapi ??? . pia hata wewe tupe historia ya safari zako ni ngapi tangia uhitimu miaka 18 mpaka leo hii ???
kwanii usiongelee historia yako ??? instead jumping to the opinion !!!!!!!. mimi naona rais yuko sahihi kabisa kwa kujiwekea hii historia, mbona watu wengine waliojiwekea historia ya maisha yao hawaongelewi hata kidogo .
Ni wazo zuri, lakini tutasimama kwenye hoja ya msingi tu kuwa alisafiri na alitumia gharama gani na nini faida ya safari zake kwa taifa!Unapoamua 'kupika' kutusongea ugali, inabidi utupipikie na mboga zake. Usitulishe ugali mkavu eeenh? Tuwekee hapa safari zake zote sio idadi tu. Tuambie alienda wapi? Na kina nani? Alionana na nani? Waliongea nini? Alilala wapi? Alikula nini na nani? .................nk.
Wakuu nimepata taarifa halisi za wastani wa kila safari ya nje ambayo rais kikwete hutumia! Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya kuaminika toka wizara ya fedha,hazina na magogoni ni kuwa kila msafara hugharimu kadirio la juu milioni 300 na kadilio la chini ni milioni 250.
Sasa hebu chambueni wenyewe ikulu inatumia kiasi gani kwa safari za rais?
Hapo ndipo nashangaa yani umaarufu wa jk kimataifa haulinufaishi taifa hata chembe!si alikuwa anatumia kivuli cha kuitangaza nchi na kutafuta misaada mbalimbali ikiwemo na ile ya jumuiya ya madola. sasa kama kigezo ni kuitangaza nchi mbona mlima kilimanjaro haujaingia kwenye yale maajabu 7?.. job true true na huyu mkuu wa kaya..
Wakuu nimepata taarifa halisi za wastani wa kila safari ya nje ambayo rais kikwete hutumia! Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya kuaminika toka wizara ya fedha,hazina na magogoni ni kuwa kila msafara hugharimu kadirio la juu milioni 300 na kadilio la chini ni milioni 250.
Sasa hebu chambueni wenyewe ikulu inatumia kiasi gani kwa safari za rais?
Haya sasa!! Tukisema tunaitwa wasemaji/waropokaji, lakini katika hili tutasema mpaka mwisho!Kwa hesabu za haraka hara naona keshatumia pungufu kidogo ya US $ millioni 50 hadi millioni 60 kutoka uingia madarakani hadi leo, kwa kutumia exchange rate ya Tshs 1,600=1 US $. Sijajua kiasi hiki ni sawa na madawati mangapi ya shule za msingi au nyumba ngapi za kuishi wahudumu wa afya na walimu huko vijijini, wenye kuweza wasaidie!!
Mheshimiwa wa magogoni alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005
UPDATES
Mpaka leo tarehe 23/8/2011 tayari amesha safiri safari 315 tangu aingie magogoni octoba mwaka 2005
Hii ni rekodi ya kipekee duniani ambayo watz tunatakiwa kujivunia na kutembea kifua mbele maatako nyuma
UPDATES
Kesho tar 9/9/2011 rais atasafiri kuelekea Kenya kwa ziara ya kikazi
Hiyo ni safari ya 316 tangu rais aingie madarakani mwaka 2005!
UPDATES:
Safari ya 317 kwa rais wangu kipenzi!
ameenda marekani katika ufunguzi wa UNGA.vilevile atashiriki katika sherehe za kuazimisha maendeo yaliyofikiwa na nchi zinazo endelea.
wakati huo huo waziri mkuu pinda ametangaza kuwa serikali inakusudia kuongeza bei ya umeme kwa sababu tanesco inajiendesha kwa
hasara.mia
UPDATES
Safari ya 318 ya rais mwenye maajabu duniani!
JK anaondoka leo kuelekea Australia kwenye mkutano wa jumuiya ya madola...
UPDATES
Wakuu nimepata taarifa halisi za wastani wa kila safari ya nje ambayo rais kikwete hutumia! Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya kuaminika toka wizara ya fedha,hazina na magogoni ni kuwa kila msafara hugharimu kadirio la juu milioni 300 na kadilio la chini ni milioni 250.
Sasa hebu chambueni wenyewe ikulu inatumia kiasi gani kwa safari za rais?
Umeona maajabu hayo? Hii ndo tz masikiniakisafiri mara kumi tu, imetumika billions of mone, halafu yeye na bakuli lake analojigmba nalo wameingiza milion labda 100 tu, halafu anarudi kuijigamba, zafari zake zina mafanikio