Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

kwanza asante kwa taarifa hii, lakini ndungu ebu tuchambulie hizo safari katika magroup, safari za kikazi ni ngapi ??, safari za binafsi ni ngapi ??? . pia hata wewe tupe historia ya safari zako ni ngapi tangia uhitimu miaka 18 mpaka leo hii ???

kwanii usiongelee historia yako ??? instead jumping to the opinion !!!!!!!. mimi naona rais yuko sahihi kabisa kwa kujiwekea hii historia, mbona watu wengine waliojiwekea historia ya maisha yao hawaongelewi hata kidogo .
 
Hey u. you are so new for what u have commented. just take time and see how things move before starting giving yo shit here.
Ok sasa wewe tuchagulie basi tumuongelee nani.

We don need to group hizo safari because we know they are good for nothing for the country. They din't change anything.
Do u mean when he is traveling personal he is using his own money, from your head,is there any safari which he went only with is Girlfriend teacher Salma? if there is we wont count it.

Hapo kwenye nyekundu did you use yo brain to write? we go safari with our own money, we got no body to ask no body, we ask for the CCM chairman cause he is using my money, our money, I'm paying alot of tax in a month, i have to know how is my money get used up there. If u don pay no tax keep quite. Let only those who pay tax to query.
 
Unapoamua 'kupika' kutusongea ugali, inabidi utupipikie na mboga zake. Usitulishe ugali mkavu eeenh? Tuwekee hapa safari zake zote sio idadi tu. Tuambie alienda wapi? Na kina nani? Alionana na nani? Waliongea nini? Alilala wapi? Alikula nini na nani? .................nk.
Ni wazo zuri, lakini tutasimama kwenye hoja ya msingi tu kuwa alisafiri na alitumia gharama gani na nini faida ya safari zake kwa taifa!
 
Wakuu nimepata taarifa halisi za wastani wa kila safari ya nje ambayo rais kikwete hutumia! Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya kuaminika toka wizara ya fedha,hazina na magogoni ni kuwa kila msafara hugharimu kadirio la juu milioni 300 na kadilio la chini ni milioni 250.
Sasa hebu chambueni wenyewe ikulu inatumia kiasi gani kwa safari za rais?
 
si alikuwa anatumia kivuli cha kuitangaza nchi na kutafuta misaada mbalimbali ikiwemo na ile ya jumuiya ya madola. sasa kama kigezo ni kuitangaza nchi mbona mlima kilimanjaro haujaingia kwenye yale maajabu 7?.. job true true na huyu mkuu wa kaya..
 
Hapo ndipo nashangaa yani umaarufu wa jk kimataifa haulinufaishi taifa hata chembe!
Nilitaraji kuona mlima kilimanjaro ukishinda bila kuumiza vicha kwa kampeni kwa JK alikuwa mtaji tosha!!
 
Wakuu nimepata taarifa halisi za wastani wa kila safari ya nje ambayo rais kikwete hutumia! Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya kuaminika toka wizara ya fedha,hazina na magogoni ni kuwa kila msafara hugharimu kadirio la juu milioni 300 na kadilio la chini ni milioni 250.
Sasa hebu chambueni wenyewe ikulu inatumia kiasi gani kwa safari za rais?

Kwa hesabu za haraka haraka (safari 318 x Tshs million 250 hadi 300 kila safari kulingana na data za mwanzishaji wa thread) naona misafara ya raisi kwenda nje ya nchi imeshatumia pungufu kidogo ya US $ millioni 50 hadi millioni 60 kutoka awamu ya nne kuingia madarakani hadi leo, kwa kutumia exchange rate ya Tshs 1,600=1 US $. Sijajua kiasi hiki ni sawa na madawati mangapi ya shule za msingi au nyumba ngapi za kuishi wahudumu wa afya na walimu huko vijijini, wenye kuweza wasaidie!!
 
Kwa hesabu za haraka hara naona keshatumia pungufu kidogo ya US $ millioni 50 hadi millioni 60 kutoka uingia madarakani hadi leo, kwa kutumia exchange rate ya Tshs 1,600=1 US $. Sijajua kiasi hiki ni sawa na madawati mangapi ya shule za msingi au nyumba ngapi za kuishi wahudumu wa afya na walimu huko vijijini, wenye kuweza wasaidie!!
Haya sasa!! Tukisema tunaitwa wasemaji/waropokaji, lakini katika hili tutasema mpaka mwisho!
 
Huenda huko anakosafiri saa nyingine anaomba misaada ya kijeshi ambayo ni siri...! Ila nadhani mojawapo ya hobby zake ni travelling,and meet people,making new friends,esp. with potensially prominent people!
 
Mheshimiwa wa magogoni alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005

UPDATES

Mpaka leo tarehe 23/8/2011 tayari amesha safiri safari 315 tangu aingie magogoni octoba mwaka 2005
Hii ni rekodi ya kipekee duniani ambayo watz tunatakiwa kujivunia na kutembea kifua mbele maatako nyuma

UPDATES

Kesho tar 9/9/2011 rais atasafiri kuelekea Kenya kwa ziara ya kikazi
Hiyo ni safari ya 316 tangu rais aingie madarakani mwaka 2005!

UPDATES:

Safari ya 317 kwa rais wangu kipenzi!
ameenda marekani katika ufunguzi wa UNGA.vilevile atashiriki katika sherehe za kuazimisha maendeo yaliyofikiwa na nchi zinazo endelea.
wakati huo huo waziri mkuu pinda ametangaza kuwa serikali inakusudia kuongeza bei ya umeme kwa sababu tanesco inajiendesha kwa
hasara.mia

UPDATES
Safari ya 318 ya rais mwenye maajabu duniani!
JK anaondoka leo kuelekea Australia kwenye mkutano wa jumuiya ya madola...

UPDATES
Wakuu nimepata taarifa halisi za wastani wa kila safari ya nje ambayo rais kikwete hutumia! Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya kuaminika toka wizara ya fedha,hazina na magogoni ni kuwa kila msafara hugharimu kadirio la juu milioni 300 na kadilio la chini ni milioni 250.
Sasa hebu chambueni wenyewe ikulu inatumia kiasi gani kwa safari za rais?

Khaaaaaaaaa! Khaaaaa! 300milioni kwa safari moja????? Halafu mnasema tz masikini??
 
akisafiri mara kumi tu, imetumika billions of mone, halafu yeye na bakuli lake analojigmba nalo wameingiza milion labda 100 tu, halafu anarudi kuijigamba, zafari zake zina mafanikio
 
akisafiri mara kumi tu, imetumika billions of mone, halafu yeye na bakuli lake analojigmba nalo wameingiza milion labda 100 tu, halafu anarudi kuijigamba, zafari zake zina mafanikio
Umeona maajabu hayo? Hii ndo tz masikini
 
Wenzake kenya, uganda, ethiopia wanahangaika jinsi ya kutengeneza pesa na sudan kusini sisi tunahangaika na umeme na wizi ipo siku atalipa madhira yote haya
zhangwei2.jpg

zhangwei3.jpg
 
hajui kwa nn watanzania ni maskini, mnafikiri afanye nn wanajf?
 
we had never had an inocpitent presd like this, the guys does not think about the country just himself nadhani ahkujua aneanda kufanya nini ikulu, amefuata vimulimuli.I was suprise juzi anatetea reason za inflation kwamba other country pia hela ya imeshuka why asiangalie nchi kama rwanda hela ya haijashuka?unalinganisha tzs na pound it is like dunia na mbingu.i think watanzania we need to wake up.Hakuna uwajibikaji kwa govt ya muheshimiwa.waziri ansign 4,000,000 anasubiri awjibishwe na nani?:lol:
 
kwa upande wangu naona hii nnchi haina shida hata tukiweka kondoo anaweza ongoza cheki wanafunzi wamekosa mikopo wazee tangu enzi za Mwalimu bado wanadai madeni na waalimu bado wanadai huku inflesheni ikiwa zaidi ya asilimia 19.hili liserekali wanajipangia posho ya sh 200000 kwa siku kama alawance ya mbunge .

Je hii posho ya wabunge wadau mnaionaje?
 
Back
Top Bottom