kati ya membe na mkuu wa kaya nani ana safari nyingi?
Botswana kaenda kwenye sherehe za chama tawala akiwa sambamba na Katibu wa ccm Bwana Mkama,mkuu wa kaya anasafiri sana.. labda kama kutakuwa na document inayohitaji saini ya membe ndo atabebwa.. kama hii ya uk.. ilibidi na membe aende kwa ajili ya saini..
Ni ushamba tu unamsumbua mkwerre.Botswana kaenda kwenye sherehe za chama tawala akiwa sambamba na Katibu wa ccm Bwana Mkama,
Kwa ujumla safari haina manufaa kwa taifa hata chama chake! Angemtuma Nape tu aende kuliko kupoteza mamilion ya fedha za walipa kodi bure!
Aende Nape? Aaaha wapi! JK hata siku moja hawezi kumuachia mtoto mdogo kama Nape akachukue tatu muhimu!Botswana kaenda kwenye sherehe za chama tawala akiwa sambamba na Katibu wa ccm Bwana Mkama,
Kwa ujumla safari haina manufaa kwa taifa hata chama chake! Angemtuma Nape tu aende kuliko kupoteza mamilion ya fedha za walipa kodi bure!
UPDATES: 24/2/2012
SAFARI YA 323,
Leo Rais mwenye maajabu duniani, mutu ya musoga, aka msafiri kafiri, anatua Botswana ikiwa ni mwendelezo wa safari zake za kikazi, huku nyumbani amecha mbwa wamepatwa na kichaa wanaua raia wanaomba haki yao ya kulindwa!
Inasikitisha, inashangaza aminini haya ndiyo ya FILAUNI.
Ni vigumu kuniaminisha kuwa Jakaya Kikwete ni mshamba, kwani amehudumu katika nafasi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni na akisafiri kila palipo na uso wa kitnzania duniani,Ni ushamba tu unamsumbua mkwerre.
Wazo zuri sana ikiwa jamii yote ya kitanzania itakuwa hivyo!
Halafu eti wapambe wake wanasema jamaa anaonewa, anasakamwa nk......hivi kwanini hawaoni kitu kilichoko wazi kama jua? JK ni aibu na janga kwa Taifa. EE MWENYEZI MUNGU UTUNUSURU!
Kila kitu kitawezekana tu na muda wenyewe ni huu!
Kila kitu kitawezekana tu na muda wenyewe ni huu!
Wazo zuri sana ikiwa jamii yote ya kitanzania itakuwa hivyo!
Lakini mkuu nafikri njia rahisi ni kutumia kisanduku cha kupigia kura hapo 2015,yaani kuitosa CCM mazima.