Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

mkuu wa kaya anasafiri sana.. labda kama kutakuwa na document inayohitaji saini ya membe ndo atabebwa.. kama hii ya uk.. ilibidi na membe aende kwa ajili ya saini..
Botswana kaenda kwenye sherehe za chama tawala akiwa sambamba na Katibu wa ccm Bwana Mkama,
Kwa ujumla safari haina manufaa kwa taifa hata chama chake! Angemtuma Nape tu aende kuliko kupoteza mamilion ya fedha za walipa kodi bure!
 
Botswana kaenda kwenye sherehe za chama tawala akiwa sambamba na Katibu wa ccm Bwana Mkama,
Kwa ujumla safari haina manufaa kwa taifa hata chama chake! Angemtuma Nape tu aende kuliko kupoteza mamilion ya fedha za walipa kodi bure!
Ni ushamba tu unamsumbua mkwerre.
 
Botswana kaenda kwenye sherehe za chama tawala akiwa sambamba na Katibu wa ccm Bwana Mkama,
Kwa ujumla safari haina manufaa kwa taifa hata chama chake! Angemtuma Nape tu aende kuliko kupoteza mamilion ya fedha za walipa kodi bure!
Aende Nape? Aaaha wapi! JK hata siku moja hawezi kumuachia mtoto mdogo kama Nape akachukue tatu muhimu!
 
UPDATES: 24/2/2012
SAFARI YA 323,

Leo Rais mwenye maajabu duniani, mutu ya musoga, aka msafiri kafiri, anatua Botswana ikiwa ni mwendelezo wa safari zake za kikazi, huku nyumbani amecha mbwa wamepatwa na kichaa wanaua raia wanaomba haki yao ya kulindwa!

Inasikitisha, inashangaza aminini haya ndiyo ya FILAUNI.

Msamehe... angalau alijitahidi akapitia air space ya Songea, akafanya aerial assessment:embarassed2:.

Halafu katika msafara wake mpiga picha (jina kapuni) ni never miss. Picha kwake ni kitu muhimu, huwa anaenda nazo Msoga kila weekend kuonyesha wanakijiji.
 
Ni ushamba tu unamsumbua mkwerre.
Ni vigumu kuniaminisha kuwa Jakaya Kikwete ni mshamba, kwani amehudumu katika nafasi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni na akisafiri kila palipo na uso wa kitnzania duniani,
Labda ana matatizo flani yenye kututenga watz na Oblongata yake

Haimithiriki kwa kiongozi makini katika taifa lolote lile duniani,anaeweza kusafiri na kuendeleza anasa za dunia huku taifa likiwa ICU!
Watanzania tutafute nchia ya mukato kuuondoa utawala huu dharimu wenye kila chembe ya uzandiki na Ubambucha! Jk amefanikiwa kulikamata bunge,Jeshi jwtz, Polisi,Usalama wataifa, na Wanaharakati njaa tulionao. Sasa tuamue bila kusikiliza la Kaasisi wala la Shekhe!
 
Wazo zuri sana ikiwa jamii yote ya kitanzania itakuwa hivyo!

Jamaa kaleta agenda nzuri kweli!

Ubovu sasa iko kwenye uelimishaji wa jamii kuelewa ya kwamba KODI ZETU zimeishia angani na vasco.

Tuna kazi ya ziada ya kuelimisha raia waliogandamizwa na chama kimoja ya mafisadi!
 
Halafu eti wapambe wake wanasema jamaa anaonewa, anasakamwa nk......hivi kwanini hawaoni kitu kilichoko wazi kama jua? JK ni aibu na janga kwa Taifa. EE MWENYEZI MUNGU UTUNUSURU!
 
Jamaa anatisha utadhani explorer,acha hazina ikauke,yawezekana anataka kuwekwa kwenye kumbukumbu za genes
 
Wazo zuri sana ikiwa jamii yote ya kitanzania itakuwa hivyo!

Kama mawazo tu tunayo mawazo mazuri sana ila tunaishia kwenye keyboard tu hatuyahamishii mawazo yetu kwenye vitendo, hilo ndilo tatizo kubwa la waTZ na wana jf kwa ujumla
 
Lakini mkuu nafikri njia rahisi ni kutumia kisanduku cha kupigia kura hapo 2015,yaani kuitosa CCM mazima.

Kwa hiyo njia ya kisanduku kamwe hatutoweza kuing'oa ccm kwani kama hata tume ya uchaguzi imeajiriwa na wao na sidhani kama kuna mtu anaweza kumtosa boss wake kwani nae ataipoteza ajira yake, mfano mzuri ni uchaguzi ule wa mwaka 2010 ccm walipoteza majimbo mengi sana ila kwa kutumia tume ya uchaguzi wakayarudisha kwa kupindisha kura sasa hapo utaniambia je tutaweza kutumia kura kuwaondoa?
 
si alinuia anataka kuwa kama VASCO DA GAMA.......... au Bartholomeo Diaz..............
 
taarifa ya idadi ya trip za JK inatisha.Lkn hali kama hii ipo pia kwa wakuu wa masirika yetu yanayotumia fedha zetu wanazotulipisha kodi kwa nguvu (PAYE).Kila siku ma MD na ma DG na ma ED wako safari majuu na perdiem si chini ya $420 kwa siku na marupurupu mengine ya safari.Kuna siku patakuwa hapatoshi.
 
nahisi anakimbia matatizo ya wanainchi wake.sababu makelele ya kutoka kila pembe ya nchi yanamharibia utulivu.kwa hiyo akiwa mbali anahisi kama yuko likizo
 
Tumwache aende kwani anatafuta wawekezaji,Wazungu ndo wanaweza kuendesha uchumi wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom