Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

safari ya 334 alikuwa msumbiji juzi pamoja na mambo mengine alikuwa anakutana na Rais wa malawi kujadili mgogolo wa mpaka kati ya Tz na Malawi
 
UPDATES.

SAFARI YA 335

Rais jakaya kikwete atatua Addis Ababa Ethiopia mda wowote kuanzia sasa kuhudhuria mazishi ya waziri mkuu wa nchi hiyo Melez Zenawi
 
Mh!... nikisema nitapigwa BAN, heri nilale tu!!.............
 


Wenzetu kule mbele huwa wanaangalia sana extra curricula activities, kwa sababu huwa zinaakisi sana tabia na mwenendo wa mtu. Tungejua kuwa 'anasafiri sana' nadhani tungefikiria mara mbili.
 

Sijaona ile ya kwenda kuhudhuria mkutano wa family planning marekani !
 
The most travelled president from african continent and probably world is...............
 
UPDATES.

SAFARI YA 335



Rais jakaya kikwete atua Addis Ababa Ethiopia leo kuhudhuria mazishi ya waziri mkuu wa nchi hiyo Melez Zenawi
 
Mngeweka na siku anazokaa huko ili akimaliza muhula wake tumkabidhi na invoice yake ya gharama alizo tusababishia na kumwambia kwanini tunaamini yeye hakuwahi kuwa rais bali waziri
 
Kikwete is one factor among many of why Tanzania is poor and an underveloped country.

Namaanisha ukiniambia nitaje sababu za umaskini wa nchi hii, Jakaya ni mojawapo. Of coz ccm is also another separate factor ironically.
 
Hotuba yake ya kwanza BUNGENI usingetegemea mtu aliye pania kufanya mambo makubwa vile aishie kiongozi wa kwanza duniani kusafiri kwenda Nchi za nje huku nchi ikiwa mitafaruku kibao ya kijamii.AFRIKA BWANA HAINA TIBA.
 
Any chance of recovering our taxes/funds back? Kiranga, Msando please....
 
UPDATES.

SAFARI YA 335

Rais jakaya kikwete atua Addis Ababa Ethiopia leo kuhudhuria mazishi ya waziri mkuu wa nchi hiyo Melez Zenawi
Katika hali ya kawaida Safari hizi zinafaa kufanyiwa tathimini kama zinaumuhimu na kweli kulikuwa na haja ya Raisi kusafiri safari hizi zote.
Pili gharama zote za Safari hizi zinafaa kufanyiwa ukaguzi
Tatu waheshimiwa Wabunge lazima wafike mahali kuwawalikilisha wapiga kura wao kihalali kwa kutoa hoja ya kuleta utaratibu na kanuni zitakazo zingatiwa na Ikulu katika kufikia uamuzi wa Raisi kwenda Safari za nje ya Nchi.
Nne kwa vile tuko kwenye Mchakato wa Katiba mpya kuna umuhimu suala hili kuwa wazi Kwenye Katiba kwa kuweka mipaka ,sababu na kiwango cha Gharama kwa Safari ya kuanzia Raisi mpaka maofisa wengine kwenda nje ya Nchi kwa shughuli ya Kiserikali au shughuli yoyote itakayo kuwa ikigharamiwa kwa Pesa za walipa Kodi.

Mkuu JB kazi yako ni nzuri sana endelea kuiboresha kwa kuleta jumla ya masiku alizo kaa nje ya Nchi kwa Safari zote na wastani wa Gharama zilizotumika mpaka sasa.
 
Uongozi umshinde na kutumia kodi zenu pia ashindwe si atakuwa mjinga?
 
Duuuu, ama kweli huyu jamaa ni vasco dagama. Hivi kwa wastani, safari moja inaweza kugharimu kiasi gani?
Nukuu za mwezi wa nne walisema safari moja (kabla hajapunguza idadi ya maafsa alokuwa anasafiri nao) ilikuwa inagharimu Millioni mia tatu 300,000,000. Habari ndo hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…