ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Nyerere alikuwa anabana matumizi ya fedha. Hata simu ya mkononi alikuwa hatumii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nafasi ya wakati jamani lazima tuiangalie, muda ambao nyerere yupo madarakani nchi ilikuwa kwenye siasa ya ujamaa na kujitegemea, leo tujiulize tupo kwenye mfumo upi wa siasa? hebu tuwe realistic kwa nini kikwete tumfananishe na Nyerere? weka takwimu za Mwinyi na mkapa safari zao zilikuwaje?
Mpaka hapo safari zake zinatia mashaka nchi. Zimezidi kuwa nyingi na kugeuka mzigo kwa taifa.
Nyerere alikuwa anabana matumizi ya fedha. Hata simu ya mkononi alikuwa hatumii.
Kwahio unataka sisi tufanyeje?
JK is amazing wakuu.....mimi nafikiria huyu bwana sijui ana matatizo gani kichwani......sidhani kama washauri hawajamwambia kuhusu hizi safari zisizo na maana.....jamani raisi gani hatulii???
Jason bourne
Mambo vp Kamanda wetu?
Tupe updates ya huyu M/kiti wa chama chama mafisadi mpaka hivi leo nasikia anakula bata Tokyo Japan.