Kama utapenda kupayuka machafu na kutusi hayo yanathibitisha shule ulohitimu na kitabu ulichosoma nk....... Tujenge Taifa pamoja tutafika (tusingoje Rais atufanyie).
Mkuu vipi bado hujaelimika kuwa na upeo yaani sinta kupa presha au kukukaripia we bado kijana ni haki yako kulalama nakuuguza njaa yako oh poor and short minded. PROTOCOL ya rais JK ni yakipekee hayo wewe huwezi kuyaona kutokana na hali yako. chukuwa maalumati haya hapo nchini kuna mabalozi wa nchi nyingi sasa fanya utafiti wako uaanze kumuulizia rais mmnamonaje na katunufaisha na nini? hapo ndiyo utajua msimamo wako kijana; ilikuwa mfaa njaa na muangamie katika taswira humu, Lakini badala ya kumshukuru rais Mchapa kazi eti mnamsakama Looh bughudhaa na chuki mlokuwanazo nyie hamufai ila kupata Dikteta wa mwisho barani Afrika. KumRadhi Mabao uliyokalia shuleni kwenu yalikuwa misaada ya Cofin (majeneza ya maiti)Sasa nimeelewa kwanini una ID kama hiyo! Ila ibadilishe isomeke "Mind is short" maana kama mpaka sasa huoni wajibu wa Rais kwa wananchi wake na badala yake unadai (wananchi) tusingoje Rais atufanyie basi sioni ajabu kwa watu kama wewe kushabikia kuwa na Rais mzururaji kama huyu! Kama huoni haja ya Rais kufanya jambo kwa wananchi wake, kwa akili yako, Shule/Chuo ulichosoma na Kitabu ulichotumia unadhani ni kwanini Rais huchaguliwa? Au ni kwaajili ya kuzurura ughaibuni? AIBU hata kwa wazazi waliokuzaa!
Vipi kaka umecha hav lunch, au tumbo tupu maana tubo tupu huacha kichwa bila busara, wasemavyo empty brain.Ukisoma kitabu hicho unakuwa mtembezi, hutulii, unavumilia ujinga na kugeuka gaidi?.
Mkuu jioni njema; Hapa mie nasikitika hawa wandugu sijui vipi, hivo mafunzo na elimu waliyo gharamikiwa na kunyanyuliwaHuyu nae katokea wapi??? hahaahaha , zero brain...go mr president go, ...sasa basi ----- wako ulouliza mh rais JK alishakujibu kitambo hapa http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/16415-kikwete-outlines-crucial-state-achievements
Ameleta vyandarua na wanyonyaji na kuwauzia taifa wachina na wamerekani.
Vipi kaka umecha hav lunch, au tumbo tupu maana tubo tupu huacha kichwa bila busara, wasemavyo empty brain.
Rais JK ni mwaminifu na ana wasiliana na watu wenye uaminifu huko majuu (honourable people) watu wenye msimamo na maneno kauli lukuki kiutendaji kazi yake JK hutoijuwa wewe wataijua wenye nia nzuri na wenye kujituma kiuhakika, wewe upo kwa kutukana na kejeli kwa jamii wewe ni mpiga debe wa VICHAA hapo wewe ni bingwa!! fanya utafiti utajiona.
inuka tujenge nchi...kisomo ulichanacho sii cha kukupotezea mda. wengi wamenyimwa elimu lakini wapo kazini na wanwajibika. Tafadhali usichukie wala kupandisha ukweli unauma sana lakini kubali yenye mafao.
Keep up kijana jenga taifa haupo peke!! Good luck.
Za Asubuhi Tenende,Suti za London vipi?!.. Twiga wetu wanaotoroshwa kia je?... Tembo wetu wanaouawa kila kukicha.. Wauaji kama Kamuhanda wanapandishwa vyeo kama pongezi nao pia ni UAMINIFU??????
eee na Solomon, Kiribati,Nauru, Palau, Tokelau,Tuvalu, Wallis and Futuna,Pitcairn Islands,Niue,Christmas Island[24 nk. sasa we wahi kuzimu uwe umemzidinahisi kabla ya kumaliza hii ngwe ilyobaki huenda anataka kufika mpaka visiwa vya Tonga,Vanuatu,New papua Guinea,Somoa,Sumatra,Guyana,Fiji n.k.
Rais wetu inabidi ajifakirie mara mbili sasa kuhusu safari zake.Thats too much!
Za Asubuhi Tenende,
Mkuu mzima hapouilpo? nimekupata kifupi kuwa ulimwengu upo kama BIASHARA yaani mfanyabiashara huwekeza mfano Tsh.1000 akitegemea kupata rasilimali yake na faida zaidi.
Kuhusu wanyama walinunuliwa kihalali na walikuja bebwa mchana kweupe hapo hakuna shaka Petrodola zilipwa tasilimu!!
Mambo mengine ni porojo zetu wasawhili situnajijua!! mkuu mchana mwema tupo pamoja kusavayvu.
Mkuu jioni njema; Hapa mie nasikitika hawa wandugu sijui vipi, hivo mafunzo na elimu waliyo gharamikiwa na kunyanyuliwa
kiwango chao, la ajabu hawatumii akili kufikiri..kweli ni hasara iliyojee kweli hawa wataweza kujenga nchi au kuwajibika na kulipa fadhila ya kimaendeleo, Ni hasara mtupu kuwa na raia wa namna hii yani " matsusi na maneno machafu juu ya jamii ndiyo shahada ya usomi wao, chuki na fitina ndo imani zao, Uharibifu na mparaganyo ipo ndani ya nyoyo na itikadi zao.
Nashangaa sijui tutaishi na wajamaa na maswahiba hawa vipi. Mkuu hebu soma hoja zao na tazama mfululizo wa matamko yao ya kukatiza morali za wananchi na kuwapotezea mwelikeo. Wapo wapo Full nondo kulaumu na kupakiziya.
Kila la heri nchi itajengwa na wachapa kazi na tuzo lao ni development na maisha bora. haijalishi nani awe Rais tupo pamoja.
jioni njema mkuu, mtu haambiwi nenda kazi kila siku,Ipasavyo huzinduka na kwenda kuwajibika bila kutazama Fulani au shetani ameamka auamekenda nayekazini yako yanyie kazi ya wengine waachie wenyewe .... hayo ndiyo ya muhimu Nchi/Taifa hali jengwi kwa kufuatana na kuchunguzana TOO MUCH... Tuwajibike kwa moyo wa kujituma... Afrka yote inalalama sana Asia inaendelea kutawala biashara zote Duniyani hatusikii lawama kama zetu... Bali wametufikia hadi hapa nasi tupo macho makavu tunapekuana na kuchunguzana..... Kazi ni Kazi. matokeo yatakuwa mazuri. UjaaliwememaMimi hata sijakuelewa unamanisha nini ktk uzi wako huu. Yani wewe unamanisha kwamba watu wanaokosoa uongozi wa jk wana chuki, na fitina? Hapo hapo unasema nchi itajengwa na wenye moyo? Moyo upi huo unaousema? Na hao wachapa kazi unaowasema ni akina nani? Wafanyakazi ama?
wewe naona ndo unafaidi na huu utawala usiwalaumu wengine ambao hawaridhishwi nao.