Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Aisee huyu jamaa ni kiboko, kama huko marekani, ameisha enda zaidi ya mara 200, sijui kuna nini huko. Bora aondoke tu

Huenda anaenda kutibiwa. Si unajua US wana uwezo wa kupunguza damu mwilini na kuweka mpya. Inasemekana kale "kaugonjwa" anako!!! Mpeni pole.
 
Leo yupo Aljeria kwa.ziara siku tatu,sijajua kama ameunga toka usa au vip

Sosi magazeti ya leo
 
ndio maana majizi yanajipigia pesa za umma, yaani jamaa kila kukicha kiguu na njia, as if Kala miguu ya nyumbu Wa serengeti
Daaa, jk anapga kaz kla safar ni ya kikaz nlidhan safar za kupumzka kam Mbowe na Slaa!
 
hizo ni safari tu na safari moja inaweza kuchukua siku zaidi ya moja
 
Mwenge hili la safari naona wote mmeungana mnaongea lugha moja ila wazee wa kupinga na kuona hakuna baya (CCM) ndio siwasikiii hii sindano ya kuibiwa kwa njia hii naona imewaingia, muwe asikivu hivohivo sindano nyingine zinakuja zitawaingia tu
 
WEWE NI MPUUZI SANA NA MHAINI, HUWEZI HATA KUPEWA UONGOZI MAANA UNAWEZA KUVUJISHA SIRI ZA NCHI YAKO, NAAMINI HATA SIRI ZA BABA YAKO NA MAMA YAKOMUMESHAWAHI KUZIVUJISHA, HUFAI, SASA SAFARI HIZO UNADHANI YE JK ANAJIAMULIA TUU, ZIMEPANGWA NA NI ZA KIKAZI, SOMA NA WEWE UWE RAIS USAFIRI ZAIDI YA YEYE, KILICHOKUFSNYA UFELI NINI? UNGEFAULU PEPA ZAKO VYEMA USINGEKUWA HIVO, NAKWAMBIA UTAISHIA KUWEKA COUNTER YA SAFARI ZAKE MPAKA KUFA KWAKO NA MWISHO WA SIKU JIULIZE UMEFAIDIKA NINI? Unakuwa kama mtoto, ila nahc we utoto unakusumbua sio bure, maana watoto wakiona magari road utaona wanasema gari langu lile langu hili langu, kama la baba ndo wewe huyo. Fanya mambo ya msingi hakuna alokuajiri kuhesabu hizo safari, usipoteze muda wako kijana, kama huna kazi saidia kazi za nyumbani kwako hapo kama kupika, kuosha vyombo, kuogesha watoto na kuchota maji maana umekuwa mvivu, humu hapakufai.
 
Mkuu umesahau hela ya mafuta ya ndege.
Halafu pia hiyo namba ya watu 15 naona ndogo sana...at least ungeweka 20!

Mkuu c imo kwenye other expenses au hiyo $10 Millions bado ndogo!!!? Ila nilijaribu kuweka rate ndogo sana ndio nkaja na hesabu hiyo.... Kuna uwezekano mkubwa ikadouble
 
Guiness World Books Of Records wanaandaa kumuingiza katika Kitabu Chao kwa kuvunja records. long Live Vasco DA gama the Explorer
 
Wakuu, kwa uelewa wangu Rais anapotembelea nchi nyingine nyingine kiitifaki kiitifaki kiitifaki kiitifaki hupokelewa na Rais wa nchi husika mara nyingi hukagua gwaride na kupigiwa mizinga 21, je safari za kila kukicha za JK kwenda Marekani hupokelewa na Obama? na je hupigiwa hiyo mizinga 21? au hata Obama huwa anakua hajui uwepo wa JK nchini mwake? Ninavyojua mimi Rais yoyote au kiongozi yoyote mkubwa anapokuja nchini kwetu lazima afike Ikulu kufanya mazungumzo na mwenyeji wake sasa je kwa hizo safari za USA kila mara si Obama ameshamchoka?
 

Division 5 at work. Na kama sijakosea ni GPA ya mwisho hii.
 

JK hana hadhi ya kupokelewa na Obama, na hata mawaziri tu wa USA. Labda viongozi wa majimbo
 
hebu fikiri ikiwa kila safari kwa uchache imetumia mil 15x313=4,695,000,000/-


tatizo sio pesa tuu pia muda aliokuwa njee ya ofisi. Tufanye kila safari inachukua siku 5x427 safari mpaka leo ambapo jumla ni siku 2135 njee ya nchi. Apa tufanye siku 365x10=3650-2135=1485 siku ndio amekaa ikulu ndani ya miaka kumi mpaka october zitakuwa zimepungua labda hadi siku 1000 alizokaa tanzania ndani ya miaka kumi
 

Nguruvi3, BAK, Barubaru, Pasco, Invisible, Mchambuzi, Mzee Mwanakijiji, Zitto, .....inawezekana hii ni kashfa kubwa katika historia ya nchi yoyote ile duniani. Rais anaamua kusafiri kama anavyopenda, hakai ofisini. Tulimchangua kukaa ofisini na sio kwenye ndege. Inabidi kuwe na utaratibu wa wa kuhakikisha raia ajaye anakaa ofisini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…