Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

pesa za kawaida sana hizo

je safari hizo zimeingizia nchi pesa kiasi gani?

Kumbuka akienda huko anaenda kwa mazungumzo ya kuendeleza nchi yetu aidha kwa kuwaleta wawekezaji au kwa ajili ya kuomba mikopo

sasa je katika safari hizo 322 tumepata wawekezaji waliowekeza sh ngapi tanzania? Na tumepata mikopo kiasi gani iliyoendeleza miradi gani?

Hayo ni mambo ambayo tunatakiwa tujue
 

Kabisa! Na pia tusisahau hii takwimu ni ya mwaka 2012! Sasa sijui hadi leo zitakua zimefika billions ngapi?
 
hela yenyewe ya mkopo mshikaji anapiga nayo tu misele, deni la taifa ni 39 trillion
 
Mie siku izi nimekua mzalendo ase..
Ata kama Mtukufu Mheshimiwa rais alikosea...
ndo kiongozi wangu uyo..sina budi, nampokea na mikono yote...
bora yeye kuliko yule anayetaka gonga awamu ya tatu
 
Hivi mleta huu uzi bado ni mzima kweli na kucha, meno na kadhalika zake je?
 

hela yenyewe ya mkopo mshikaji anapiga nayo tu misele, deni la taifa ni 39 trillion.
By The Elephant
 
Last edited by a moderator:
Leo ameenda ulaya nchi tatu tofauti
Urais Tanzania ni jambo rahisi sana
 
Huyu mi janga la taifa, mpaka sasa ametumia bilion 800 kwa safari zake tu, bajeti ya wizara kadhaa muhimu kama ya kilimo kwa miaka kadhaa. Peke yake.
 
Lipumba alimshauri asisafiri tena kuhakikisha suala la uandikishaji linaenda sawa.........naona amepuuza
 

Jamani haiwezekani kupigiwa mizinga kila mara anaposafiri, nadhani mizinga kwa ajili yake ilishakwisha, la sivyo watamaliza akiba ya mizinga kwa ajili ya viongozi wengine watakaotembelea nchi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…