Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Na First lady juzi tu alikuwa Comoro hebu ziunganisheni safari zao then tuone yupi ni msafiri zaidi...tehtehteh

Wee Mauza uza kumbe wa zamani hapa jf! mbona sikuwa nakuona kipindi hcho
 
Last edited by a moderator:
 
Jamani haiwezekani kupigiwa mizinga kila mara anaposafiri, nadhani mizinga kwa ajili yake ilishakwisha, la sivyo watamaliza akiba ya mizinga kwa ajili ya viongozi wengine watakaotembelea nchi hiyo.
Hahahahaha umezitibua mbavu zangu
 
Huyu mzee kwa misele aliyokuwa amezoea kupiga, hatoweza kutulia kijijini msola, kila siku itakuwa kiguu na njia mpaka mama salma atapata presha!
 
Ndio maana anasema wizara ya mambo ya nje haikumsumbua sababu ye mwenyewe alikua waziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…