kwa mujibu wa mbatia,kikwete alitumia trilion sio bilion ni trilion nne kwa safari za nje katika miaka yake kumi aliyokaa madarakani
ni one way road mkuu:smokin:Mi najuliza mbona huko anakoenda wao hawaji kwake? One way traffic?
nitaendeleza jk ..kasema magufuli
Hizi safari ndizo alizozisema Magufuli kwenye hotuba yake ya jana.
kwa mujibu wa mbatia,kikwete alitumia trilion sio bilion ni trilion nne kwa safari za nje katika miaka yake kumi aliyokaa madarakani