Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
User Name: Jason Bourne
User Title: Senior Member
Last Activity: 12th October
2014 09:28
~~~~~~~~~~~~~~~~~
unatutendea sio haki kukaa kimya bila kuweka update since ulipata wazo la kuanzisha huu uzi na kama unaona huwezi mpe member mwingine hii kazi.
_kazi za jf ni za kujitolea hulipwi bro....
_hii kazi mpe member mwingine leo!!!!
Now anakaribia safar ya 900. Hapo ukijumlisha na safar za ndani ya nchi si ajab amekaa ikulu jumla ya siku 20 tu tangu akabidhiwe mjengo
Mark my words......Nakuhakikishia before end of July mkuu wa nchi atasafiri tena kwenda nje ya nchi tena sio mara moja, kama kuna anyebisha let's bet a million $$$
Ukizingatia kwamba kila safari ya Kikwete inagharimu dola milioni tatu, fanyeni hesabu zenu. Katika safari ya majuzi Baltimore kwa matibabu hoteli peke yake kwa rais na msafara wake imegharibu karibu dola laki sita. Hapo hujaweka
Jason Bourne, hivi Baba Mwanaasha kafikisha ngapi sasa?
Kuna thread mwaka juzi iliandika idadi ya safari za kikwete za nje ya nchi na gharama zake zilikua zaidi ya 380..
Mie leo naomba anayejua idada ya safari za jamaa huyu kwenda nje ya nchi na ikibidi gharama alizotumia...
Naamini sitakosa taarifa hizo ndani ya jumba hili la "great thinkers*
Mr. MORRIS T.J. mbona hutaki kumpa haki yake Raisi wetu? Mpaka Novemba, 2013 tulipochoka kuzihesabu safari zake, zilikuwa zimefika safari 358 na kwa hesabu za haraka hivi leo atakuwa anakaribia safari 400. Wakati huo ilisemekana kila safari ilikuwa inachukua wastani wa siku tatu hivyo toka aingie madarakani amekaa ugenini siku 1,200 sawa na miaka karibu minne. Kama kila safari inagharimu wastani wa Tshs. 300,000,000/=, atakuwa amelitia taifa umasikini kwa kiasi cha Tshs. 120,000,000,000 kwa hizo safari peke yake. Kaazi kwako...Kwa Wastani Kikwete Alikuwa Na Safari Zisizopungua Kumi Kwa Mwaka.Kwahiyo Amekaa Madarakani Miaka Kumi. Kwa Kuwa Kila Mwaka Alikuwa Na Safari Kumi Zidisha Mara Miaka Kumi Utapata Safari Mia Moja.Hvy Kwa Miaka Kumi Jumla Ya Safari Mia Moja Za Kwenda Ulaya Kubembea Jamaica,kupiga Picha Na Boy 2 Men N.K