Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Now anakaribia safar ya 900. Hapo ukijumlisha na safar za ndani ya nchi si ajab amekaa ikulu jumla ya siku 20 tu tangu akabidhiwe mjengo
 
Hehehe atakayeingia ofisi ya Msafiri pale ikulu aisee anakazi ya kufuta vumbi na ma bui bui hatari! Maana na hisi hadi panya watakua wamehamia. Ila ndege itakua well lubricated and functioning, sema sasa kilomita ilizotembea pale itabidi wachakachue na tunajua hili sio tatizo kwa jamaa yetu.

Rahisi atakaengia km zitasoma 110km. kwa ndege, ndio hapo utajua CCM noma!
 
Rais wetu sasa ni Professor! Kumbe uko China hakuna kitu kinachoshindikana!
 
User Name: Jason Bourne
User Title: Senior Member
Last Activity: 12th October
2014 09:28
~~~~~~~~~~~~~~~~~
unatutendea sio haki kukaa kimya bila kuweka update since ulipata wazo la kuanzisha huu uzi na kama unaona huwezi mpe member mwingine hii kazi.
_kazi za jf ni za kujitolea hulipwi bro....
_hii kazi mpe member mwingine leo!!!!

Labda wamemu- Ulimboka huyu jamaa maana hawakawii kufanya hivyo akina Igndu
 
Now anakaribia safar ya 900. Hapo ukijumlisha na safar za ndani ya nchi si ajab amekaa ikulu jumla ya siku 20 tu tangu akabidhiwe mjengo

Tusubiri NASA waanzishe safari za kwenda sayari ya Mars anaweza kuwa mwafrika wa kwanza kutembelea huko. Itakuwa ni sifa kubwa kwa nchi yetu na nina hakika TBC watatutengenezea Documentary moja matata kweli kwa ajili ya vizazi vijavyo.
 
Jamani rais kasema urais ni mzigo anatamani kuondoka. Acheni kumsakama.
 
Mark my words......Nakuhakikishia before end of July mkuu wa nchi atasafiri tena kwenda nje ya nchi tena sio mara moja, kama kuna anyebisha let's bet a million $$$

Ha ha ha ha sasa anajifunza vita kule VIETNAM
 
Mkuu Jason Bourne, kwa sasa safari hizi sijui ni ngapi kwa sasa, kwani toka mwaka jana mwezi wa tisa alikuwa na safari 358 na hadi leo toka safari ya mwisho kurekodiwa ni takribani mwaka mmoja na miezi kitatu.

Hakuna Safari "Profesa" Kikwete aliyowahi kwenda nje na kurudi nchi siku hiyo hiyo(I stand to be corrected). Hivyo iwapo ukichukua kwa kadirio dogo kuwa Raisi katika kila safari hukaa siku mbili(ingawaje kuna safari nyingi sana anazokaa nje zaidi ya hizo siku mbili mfano wakati huu akiwa US John Hopkins kwa "matibabu").

Endapo kila safari hukaa siku mbiki nje ya nchi, ni hakika Raisi huyu amekaa nje kwake miaka zaidi ya miaka miwili katika kipindi chake cha uongozi wa miaka 10.

This is a shame, not only to Tanzanians but to the Presidency(President office) itself.
 
Last edited by a moderator:
Jason Bourne, hivi Baba Mwanaasha kafikisha ngapi sasa?

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Last edited by a moderator:
Jason Bourne, hivi Baba Mwanaasha kafikisha ngapi sasa?

Sent from my iPhone using JamiiForums app
Ukizingatia kwamba kila safari ya Kikwete inagharimu dola milioni tatu, fanyeni hesabu zenu. Katika safari ya majuzi Baltimore kwa matibabu hoteli peke yake kwa rais na msafara wake imegharibu karibu dola laki sita. Hapo hujaweka
gharama za matibabu na per diem kwake, mkewe, mdogo wake na mwanae Miraji. Kuna wakati alitoa kisingizio kuwa
anasafiri kutafuta wawekezaji lakini juzi nimesoma kuwa kampuni ya Hyundai ya Korea kusini inajenga kiwanda cha kutengeneza motakaa Msumbiji bila ya rais wa Msumbiji kuzurura kutafuta wawekezaji. Ni utapeli tu na ubishoo.
 
Kuna thread mwaka juzi iliandika idadi ya safari za kikwete za nje ya nchi na gharama zake zilikua zaidi ya 380..

Mie leo naomba anayejua idada ya safari za jamaa huyu kwenda nje ya nchi na ikibidi gharama alizotumia...

Naamini sitakosa taarifa hizo ndani ya jumba hili la "great thinkers*
 
Kwa Wastani Kikwete Alikuwa Na Safari Zisizopungua Kumi Kwa Mwaka.Kwahiyo Amekaa Madarakani Miaka Kumi. Kwa Kuwa Kila Mwaka Alikuwa Na Safari Kumi Zidisha Mara Miaka Kumi Utapata Safari Mia Moja.Hvy Kwa Miaka Kumi Jumla Ya Safari Mia Moja Za Kwenda Ulaya Kubembea Jamaica,kupiga Picha Na Boy 2 Men N.K
 
Mr. MORRIS T.J. mbona hutaki kumpa haki yake Raisi wetu? Mpaka Novemba, 2013 tulipochoka kuzihesabu safari zake, zilikuwa zimefika safari 358 na kwa hesabu za haraka hivi leo atakuwa anakaribia safari 400. Wakati huo ilisemekana kila safari ilikuwa inachukua wastani wa siku tatu hivyo toka aingie madarakani amekaa ugenini siku 1,200 sawa na miaka karibu minne. Kama kila safari inagharimu wastani wa Tshs. 300,000,000/=, atakuwa amelitia taifa umasikini kwa kiasi cha Tshs. 120,000,000,000 kwa hizo safari peke yake. Kaazi kwako...
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu imenifanya nitafakar sana kuhusiana na jamaa, hv anajua kuwa hzo ghalama n za walipa kodi?? Je impact ya safari zake ipoje kwenye taifa??

Ki ukweli anapaswa kama si kurudisha fedha yetu basi ajieleze kwa tz amelitumikiaje taifa akiwa rais??
 
Hatari sana lakini bado hukiyaambia mamtu tunaibiwa yatabaki kuimba nambari wani heee nambari ni sisiemuu!! hovyo sana hii taifa
 
Back
Top Bottom