nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,250
Mr. MORRIS T.J. mbona hutaki kumpa haki yake Raisi wetu? Mpaka Novemba, 2013 tulipochoka kuzihesabu safari zake, zilikuwa zimefika safari 358 na kwa hesabu za haraka hivi leo atakuwa anakaribia safari 400. Wakati huo ilisemekana kila safari ilikuwa inachukua wastani wa siku tatu hivyo toka aingie madarakani amekaa ugenini siku 1,200 sawa na miaka karibu minne. Kama kila safari inagharimu wastani wa Tshs. 300,000,000/=, atakuwa amelitia taifa umasikini kwa kiasi cha Tshs. 120,000,000,000 kwa hizo safari peke yake. Kaazi kwako...
..Mag3 hizi figure zinatia simanzi sana (tena ni approx. figures za chini tu za hadi mwaka 2013)...Kwa mtanzania anaetafakari hizi gharama za safari za huyu mtu hakika utaona anawaacha watanzania na umaskini wa kutisha...Maana nchi bado anaiacha ombaomba....bajeti ni tegemezi na hakuna mkakati wowote ameacha kuondokana na utegemezi huu....yaani hata humsikii akilizungumzia hili pamoja na kuonekana kuwa nchi inaathirika vibaya sana na utegemezi huu wa misaada ya nje (mfano rejea kusimamishwa kwa misaada ya wahisani)..
..Nimekua napitia report ya IMF juu ya hali ya uchumi wa TZ...hakika ni hali ni mbaya sana....Maana huyu mkwere amekopa hadi kwenye kifuko ya bima ya kijamii....na hawajalipa hadi anakaribia kuondoka madarakani...na hakuna dalili watalipa....kwa maana hiyo jamaa amehatarisha hata hali ya ustawi wa jamii ya watumishi wa taifa hili watakapostaafu.....hakika ukiangalia kwa mapana hili ni janga janga kubwa.....Lakini watanzania utawashangaa wanavyohangaika kuhakikisha hawa jamaa wanabaki madarakani...inasikitisha sana....
....msome hapa ngu007: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-graft-row-threaten-tanzania-outlook-imf.html
.. quote from the IMF report..."The Fund also advised the Tanzanian government to "comprehensively and forcefully" address the accumulation of domestic payment arrears, particularly with pension funds".