Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Mr. MORRIS T.J. mbona hutaki kumpa haki yake Raisi wetu? Mpaka Novemba, 2013 tulipochoka kuzihesabu safari zake, zilikuwa zimefika safari 358 na kwa hesabu za haraka hivi leo atakuwa anakaribia safari 400. Wakati huo ilisemekana kila safari ilikuwa inachukua wastani wa siku tatu hivyo toka aingie madarakani amekaa ugenini siku 1,200 sawa na miaka karibu minne. Kama kila safari inagharimu wastani wa Tshs. 300,000,000/=, atakuwa amelitia taifa umasikini kwa kiasi cha Tshs. 120,000,000,000 kwa hizo safari peke yake. Kaazi kwako...

..Mag3 hizi figure zinatia simanzi sana (tena ni approx. figures za chini tu za hadi mwaka 2013)...Kwa mtanzania anaetafakari hizi gharama za safari za huyu mtu hakika utaona anawaacha watanzania na umaskini wa kutisha...Maana nchi bado anaiacha ombaomba....bajeti ni tegemezi na hakuna mkakati wowote ameacha kuondokana na utegemezi huu....yaani hata humsikii akilizungumzia hili pamoja na kuonekana kuwa nchi inaathirika vibaya sana na utegemezi huu wa misaada ya nje (mfano rejea kusimamishwa kwa misaada ya wahisani)..

..Nimekua napitia report ya IMF juu ya hali ya uchumi wa TZ...hakika ni hali ni mbaya sana....Maana huyu mkwere amekopa hadi kwenye kifuko ya bima ya kijamii....na hawajalipa hadi anakaribia kuondoka madarakani...na hakuna dalili watalipa....kwa maana hiyo jamaa amehatarisha hata hali ya ustawi wa jamii ya watumishi wa taifa hili watakapostaafu.....hakika ukiangalia kwa mapana hili ni janga janga kubwa.....Lakini watanzania utawashangaa wanavyohangaika kuhakikisha hawa jamaa wanabaki madarakani...inasikitisha sana....

....msome hapa ngu007: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-graft-row-threaten-tanzania-outlook-imf.html

.. quote from the IMF report..."The Fund also advised the Tanzanian government to "comprehensively and forcefully" address the accumulation of domestic payment arrears, particularly with pension funds".
 
then kuna watu wanajihisi wapo timamu wanawapigia debe wanaccm kwenye urais.
 
tuwe wakweli , HIVI KUNA RAIS KATIKA DUNIA HII ANAYEFIKA HATA NUSU TU YA SAFARI ALIZOFANYA JK ?
 
Wajameni naomba mnitoe tongotongo machoni - je, hii ni pamoja na safari za kwenda nchini Zanzibar? Make leo hii yuko Zanzibar kuhudhuria sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya nchi hiyo.
 
KIKWETE hana fikra kilichomjaa kichwani mwake ni ujinga na upumbavu uliopitiliza,pamoja na washauri wake wote ni pumbavu watupu.
 
KIKWETE hana fikra kilichomjaa kichwani mwake ni ujinga na upumbavu uliopitiliza,pamoja na washauri wake wote ni pumbavu watupu.
..hili mmeliona leo???mbona mmekua mnamchagua???...nina hakika upuuzi aliofanya JK kama rais utasemwa sana pale atakapoondoka madarakani....maana watu wengi wanaofahamu upuuzi wake watazidi kufunguka...na hakika watu hawataamni watakachosikia dhidi ya JK...maana ni majanga haswa...Hata Mkapa alipoondoka ndio tulisikia issue za kuuza mgodi wa madini na pia EPA....ya Jakaya nayo yatakuja.....majanga haswa....watu wamebana mengi sasa...
 
UPDATES

Tarehe 14/01/2014

SAFARI YA 406

Rais leo anawasili mjini Astadarm Holand

Ha ha ha.. Ameshapona eeeh..!

Halafu hajapitia Msumbiji kweli kwenye kuapishwa kwa rais mpya wa Msumbiji Mkuu..? Maana nilisikia minong'ono kama atakwenda vile..
 
UPDATES

Tarehe 19/01/2015

SAFARI YA 427

Rais Jakaya Kikwete amesafiri toka Holand kwenda Davos nchini Uswisi kuungana na viongozi wenzake wa dunia katika Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani maarufu kama World Economic Forum utakaoanza 21 hadi 24/2015.
 
Khaaaaaaaa.!!!! Siku mianne ishirini na saba Rais na amiri jeshi mkuu hayuko nchini...!!!!

Hapa ukijumuisha na siku anazokaa huko nje mfano hii ya juzi hapa mpaka tarehe 24 tayari ni takribani siku saba tupo tu bila Rais...!!! Ninaimani mpaka huyu bwana anaondoka ikulu itakuwa ni miaka mitatu taslim nchi inajiendea tu bila Rais yaani ktk miaka kumi ya Urais wake katumikia miaka saba tu nyumbani.! Ebooooo

BACK TANGANYIKA
 
Baba Wa taifa hili hayati julias nyerere alisema kikwete hafai kua rais wa nchi hii,ila chama chake cha majambazi kilimweka ili waweze kudhulumu pesa za walipa kodi
 
ndio maana majizi yanajipigia pesa za umma, yaani jamaa kila kukicha kiguu na njia, as if Kala miguu ya nyumbu Wa serengeti
 
.........SAFARI YA 427

Rais Jakaya Kikwete amesafiri toka Holand kwenda Davos nchini Uswisi kuungana na viongozi wenzake wa dunia katika Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani maarufu kama World Economic Forum utakaoanza 21 hadi 24/2015.
Mkuu sidhani kama alikwenda Davos kwa sababu alikuwa mmojawapo wa speaker on friday lakini nafasi yake ilichukuliwa na Kagame.

Mkuu naona huja update safari yake ya mozambique baada ya hapo alienda Saudi Arabia na sasa yupo Berlin na safari zake zote hizi ametupia pipa la Ikulu.

Hivi hawa wabunge hawawezi kuuliza hizi safari gharama zake? na je zina tija gani kwa waananchi????? .

Back
Top Bottom