Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Hapo sasa inanifanya niamini kwamba JK ni waziri wa mambo ya nje! Alaf ni Rais wa DASLAM
 
Mheshimiwa wa magogoni juzi alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005!
Kuna nchi zipatazo 196 duniani kama sijakosea kimahesabu ni kama amezuru nchi zote duniani karibu mara mbili kila moja.....nani anaaingiza kumbukumbu kwenye Guinness World Records book????
 
Mheshimiwa wa magogoni juzi alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005!
nadhani pia sehemu kubwa ya uraisi wake atakuwa ameutumia akiwa angani
 
Acha umbea ww dogo...fanya research usikurupuke ni marais wangapi wanafanya ziara...kaz yko ni kuhesabu safari z rais zinakuhusu nn...kama huna huna hoja ondoka jf...au bado una ndoto za slaa kuwa rais nchi hii....acha jk ajinafasi ts tym 4 hm...
Moghati wa kukaa pembeni ni wewe zoba
 
mimi na wote wenye mapenzi mema nilionao hapa tumemchoka huyu mtu, tumng'atue hapo anapotanulia!aliwekwa na watu na pia atatolewa na watu.Iwe kwa hiari yake au la.TUMTOE
 
Mheshimiwa wa magogoni juzi alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005!

Cha ajabu nini sasa!! au ulitaka uende wewe
 
Cha ajabu nini sasa!! au ulitaka uende wewe
<br />
<br />

Duh kaaazi kweli kweli! ...inamaana mkuu wewe hapo ajabu huioni?! ..au ndo ile style ya kufikiri tuliyofafanuliwa na Masabuli?!
 
Hebu fikiri ikiwa kila safari kwa uchache imetumia mil 15x313=4,695,000,000/-
safari ya raisi hizo ni per diem 2 kwani anasafiri na jopo la walinzi ,madaktari .waandishi habari,viburudisho,e.t.c
 
nakubaliana na wewe, rais akae chini aone changamoto zinazolikabili taifa hili na azifanyie kazi. tatizo lake hata akiwepo hakuna tofauti, kama wamiliki wa vituo vya mafuta wanampa 24 hours government nayeye yupo hakuna lililfanyika.
 
Mzazi yeyote anayependa maendeleo ya watoto wake anakuwa karibu sana nao na pindi akisafiri kwa maslai ya familia anajua fika nini mahitaji ya familia yake. Huyu mheshimiwa hajui hata matatizo ya wananchi wake ndio maana akiulizwa kwa nini watu wake ni maskini anashangaa. Sasa mtu kama huyu atawezaje kutafuta wawekezaji kwa manufaa ya nchi? Ndiyo sababu mikataba yote wanafaidi wageni huku umaskini ukizidi. Safari za huyu mhe. ni janga la taifa
 
kufikiria hilo kunahitaji rtais aliye na akili timamu. Sio huyu wetu wa kifisadi
 
nahisi kabla ya kumaliza hii ngwe ilyobaki huenda anataka kufika mpaka visiwa vya Tonga,Vanuatu,New papua Guinea,Somoa,Sumatra,Guyana,Fiji n.k.
Rais wetu inabidi ajifakirie mara mbili sasa kuhusu safari zake.Thats too much!

Huko akafuate nini sasa??
 
mimi na wote wenye mapenzi mema nilionao hapa tumemchoka huyu mtu, tumng'atue hapo anapotanulia!aliwekwa na watu na pia atatolewa na watu.Iwe kwa hiari yake au la.TUMTOE
ulimuweka wewe? waliomuweka ndo watamtoa sasa kama wameridhika nae?
 
Anajua bado waziri wa mambo ya nje! sasa hiki kiatu alichovaa kinampwaya sana ameona bora aendelee na wadhifa wake kimya kimya! ndo maana hata akirudi angalia kazi za ndani anazofanya ..ni kama hakuna dira what to do..anajua mwisho wa siku anakaa pembeni wakati ametuacha hoi ndo maana tabasamu haliishi usoni..THE VASCO DAGAMA II
 
Wabongo bana, sasa mlitaka awatume nyie? acheni kelele za kipumbavu, safari ni katika kazi za rais. Hii kelele yote ni ya CDM. tumewazoea.
<br />
<br />

Hovyoo,vua gamba kwanza... na membe anafanya nn?...ndo maana mmeambiwa mnafikiria kwa kutumia makalioo
 
Back
Top Bottom