Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nchi zipatazo 196 duniani kama sijakosea kimahesabu ni kama amezuru nchi zote duniani karibu mara mbili kila moja.....nani anaaingiza kumbukumbu kwenye Guinness World Records book????Mheshimiwa wa magogoni juzi alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005!
nadhani pia sehemu kubwa ya uraisi wake atakuwa ameutumia akiwa anganiMheshimiwa wa magogoni juzi alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005!
Moghati wa kukaa pembeni ni wewe zobaAcha umbea ww dogo...fanya research usikurupuke ni marais wangapi wanafanya ziara...kaz yko ni kuhesabu safari z rais zinakuhusu nn...kama huna huna hoja ondoka jf...au bado una ndoto za slaa kuwa rais nchi hii....acha jk ajinafasi ts tym 4 hm...
Mheshimiwa wa magogoni juzi alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!
Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005!

Cha ajabu nini sasa!! au ulitaka uende wewe
safari ya raisi hizo ni per diem 2 kwani anasafiri na jopo la walinzi ,madaktari .waandishi habari,viburudisho,e.t.cHebu fikiri ikiwa kila safari kwa uchache imetumia mil 15x313=4,695,000,000/-
dogo toa hiyo avator yako

Duh kaaazi kweli kweli! ...inamaana mkuu wewe hapo ajabu huioni?! ..au ndo ile style ya kufikiri tuliyofafanuliwa na Masabuli?!

dogo toa hiyo avator yako
nahisi kabla ya kumaliza hii ngwe ilyobaki huenda anataka kufika mpaka visiwa vya Tonga,Vanuatu,New papua Guinea,Somoa,Sumatra,Guyana,Fiji n.k.
Rais wetu inabidi ajifakirie mara mbili sasa kuhusu safari zake.Thats too much!
ulimuweka wewe? waliomuweka ndo watamtoa sasa kama wameridhika nae?mimi na wote wenye mapenzi mema nilionao hapa tumemchoka huyu mtu, tumng'atue hapo anapotanulia!aliwekwa na watu na pia atatolewa na watu.Iwe kwa hiari yake au la.TUMTOE

Wabongo bana, sasa mlitaka awatume nyie? acheni kelele za kipumbavu, safari ni katika kazi za rais. Hii kelele yote ni ya CDM. tumewazoea.