Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu baba!Ndugu zangu Watanzania,hivi hakuna kitu tunawezafanya? Kwakweli hatuwezi kupata solutions za matatizo ya nchi yetu ikiwa this lame president is still in power,I tell you guys if we keep this mother.f.u.cker til 2015 we're finished.
Ndugu zangu Watanzania,hivi hakuna kitu tunawezafanya? Kwakweli hatuwezi kupata solutions za matatizo ya nchi yetu ikiwa this lame president is still in power,I tell you guys if we keep this mother.f.u.cker til 2015 we're finished.
Kutokana na serikali kufilisika, mh rais ameambiwa kuwa pesa hakuna na ameamua kupunguza safari
Serikali imefilisika??
Ndiyo naipo hoi bin taabani! haikopesheki tena
Inawezekanaje?
Na bado....hazina kimenuka na BOT siku hizi wanafanya biashara za makaratasi tu.....hamna kitu......ngoja tusubiri watatuambia nini bungeni.....lazima watakuja na supplementary budget bila hivyo mambo hayataenda......naona safari za jamaa zimepungua vile katishiwa nyau.....akitaka misaada ya nje sharti atoe ****.......no bla bla LOL...kashikwa pabaya...akae nchini mwake afanye kazi kama wanaume wengine......
bora atulie ndio maana kakonda usoKutokana na serikali kufilisika, mh rais ameambiwa kuwa pesa hakuna na ameamua kupunguza safari