Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

UPDATES
16/12/2011
Safari ya 319, hivi sasa yupo nchi Uganda katika mkutano uitwao International Conference of Heads of State (ICGLR)
Rais wetu anazidi kujijengea heshima katika mkakati wake wa kuvunja rekodi ya dunia kwa kusafi hata ziara zenye kumtuma waziri, yeye anasafi tu ilimradi lengo litimie

Inashangaza sana kuona maraisi wenzake kwa kujali zaidi maslahi ya mataifa yao, hawakuona sababu za kuhudhuria sherehe za uhuru wa Tanganyika wakabaki na wengine kutuma wawakilishi tu, lakini jk hata kicheni pati akialikwa Urusi atasafiri bila kukosa.

Ndugu zangu Watanzania,hivi hakuna kitu tunawezafanya? Kwakweli hatuwezi kupata solutions za matatizo ya nchi yetu ikiwa this lame president is still in power,I tell you guys if we keep this mother.f.u.cker til 2015 we're finished.
 
Kutokana na serikali kufilisika, mh rais ameambiwa kuwa pesa hakuna na ameamua kupunguza safari
 
Ndugu zangu Watanzania,hivi hakuna kitu tunawezafanya? Kwakweli hatuwezi kupata solutions za matatizo ya nchi yetu ikiwa this lame president is still in power,I tell you guys if we keep this mother.f.u.cker til 2015 we're finished.
Taratibu baba!
 
Mkuu acha hii kitu, dah!
 
Akiwa Mpanda kwenye Kampeni za Urais mwaka 2010, alisema "Ndugu zangu kuna watu wanalalamika kuwa nasafiri sana, lakini bila kutembea tutakufa na njaa. Mimi nakwenda huko kuhemea vibaba!!"
 
By
JichoD 16:44 Today

Nashangaa tangu mwaka 2012 uanze, Mheshimiwa Rais Vasco Dagama (The Explorer) hajasafiri nje ya nchi. Vipi kuna tatizo la kibajeti au TISS wamemnyang’anya passport? Siyo kawaida yake. Muda huu angeshaenda kutuwakilisha kutembeza bakuli la sadaka kwa mzee Obama angalau tupate hata vijisenti vya kununulia dagaa. Au Mzee “Mwingereza” amemtishia VASCO-Dagama nyau na maandamano? Muda mwingine kimya kingi kina kishindo. Pengine VASCO anawatengenezea Watanzania Suprise. Ataibukia Moscow akiwa na Putin wakitoa kwa pamoja ahadi za Kujenga mtambo utakao safisha maji machafu kutoka muhimbili kupitia daraja la salenda hadi bahari ya Hindi ili kumalizana na khero ya harufu kwa mabalozi na mapedeshee wa Hoysterbay
 
Hali ya uchumi imemfanya apunguze safari, msafara wake hugharimu kiasi cha 250ml hadi 300ml sasa ikulu imeona bora apunguze safari au atume wawakilishi tu! Kumbukeni hazina ni kweupeeee!
 
Mi naona TISS ndiyo wamemwekea ngumu angalau.

Na bila shaka atafanya tu namna akawasalimie wale washikaji wake.
1) David Cameron

2) Barrack Obama.

Hawa lazima akawasalimie lakini nawaambia labda asiwe anatumiaga kodi ya Watanzania!
 
Na bado....hazina kimenuka na BOT siku hizi wanafanya biashara za makaratasi tu.....hamna kitu......ngoja tusubiri watatuambia nini bungeni.....lazima watakuja na supplementary budget bila hivyo mambo hayataenda......naona safari za jamaa zimepungua vile katishiwa nyau.....akitaka misaada ya nje sharti atoe ****.......no bla bla LOL...kashikwa pabaya...akae nchini mwake afanye kazi kama wanaume wengine......
 
Heeeheeehee mzungu kampa masharti magumu!
 
Naona wazungu wameshamchoka Matonya wa NEC :lol: Kila siku kwenda kuomba wanaume wenye akili timamu.
 
Safari ya 320 ya Rais JK Ameenda Davos Kuikomboa Tanzania, acheni Kelele !
 
Back
Top Bottom