Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

...320 angalau ukizidisha mara siku 3 anazokaa huko, karibu miaka 3 "raisi" yuko uhamishoni ndani ya miaka 6 ya "utawala" wake!
 
By:
JichoD


Jamani hacheni kumpigia JK kelele. Mzee kaenda kuomba ili tupate hela za dagaa watoto wale. Hao wanaogoma, ni viherehere vyao. Hamjui Matonya kazeeka na Jk ndo kapewa urithi wake? Tanzania tumebarikiwa na kiongozi omba omba dunia yote inamjua, hiyo ni moja ya historia aliyotuachia ambayo lazima tujivunie nyie mnapiga kelele zenu wana Magwanda Kha, hamna dogo kweli.

Mwacheni atabasamu huko , Cameroon na Bill gates wako huko pengine anaweza kurudi na hela tununulie dagaa ! Nyie ndo mlimtuma apeleke bakuli sasa kelele za nini? Tayari tunarekodi ya kuwa namba nane kwa uchafu na namba tatu kwa kuomba omba kwa karibuni tutakuwa namba kwa uwoga... kwa hiyo tulieni kaka zangu
 
HUU UJUMBE UNAHUSISHA MAAFISA 18...WAKUU...

KWA UZOEFU WANGU NATOA MCHANGANUO UFUATAO

1.MAAFISA WA NGAZI ZA JUU 18
2.TECHNICAL TEAM[hawa ni maafisa wanaotangulia kushughulika na maandalizi ya mkutano,kutoka sekta au wasaidizi wa maafisa wakuu ie katibu wa waziri,maafisa itifaki,wataalamu wa kisekta] approximatelly watakuwa kama 18 pia
3.SECURITY DETAIL accompanying Presidential Entourage] kutegemea na threat ....lakini si pungufu ya 10
4.TISS OR PSU advance team ...hawa ni maafisa usalama wanaotangulia siku kadhaa kabla ya rais na ujumbe wake kufika....

assume kuwa Wajumbe minimum watakaokuwa kwenye safari hii ni 60

1.return tickets [business class] DAR-SWISS-ADIS-DAR] 60 @ 3,000 = USD 180,000[TZS 298 MILLION]
2.Allowances executives 8 days @ use 1,200 per day for 18 people=usd 172,000[tzs 280 million]
3.Allowances technical team 8 days @ 800 for 18 = usd 115,000 = [tzs 186 million]
4.allowances security detail 8 days @ 500 for 10 = use 40,000[tzs 64 million]
5.allowances PSU 20 DAYS @ 500 for 10 =usd 100,000[ tzs 162 million
PRESIDENTIAL FLOAT USD 200,000 [balance to be returned to treasury ]

so in short him safari itagharimu minimum dola 800,000 au tzs billion 1.3.

Simply him press release imeongeza damage kwa state..kwani kiwango cha million 300 alichosema tanzania daima kinatosha kwa Nauli tu....bora wangekaa kimiya!!
Pilot jakaya at work
 
Jamaa ni nouma....yaani kwa miaka 6 mwaka mmoja kacheza nje ya nchi lol!!
 
Msimlaumu raisi wetu mpendwa jamani. He is a Vasco Da Gama wa tanzania yuko katika harakati za uvumbuzi wa new economy.
 
320 hizi ni aina tofauti za Safari tu bado muda/siku anazo kaa huko

kazi ipo wakuu
 
UPDATES:

SAFARI ya 321 ya Mh Rais Jakaya M. Kikwete, sasa leo anatua katika nchi ya Afrika kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa, Ethiopia atakapowasili leo Jumamosi, Januari 28, 2012
 
Atajirusha sana na mwisho anaanguka
Wapenda starehe hawa wanalijuaga hilo!!!akiendelea hivi wala hafiki 2015....ataanguka tu....tena kwa vilio hivi vya watanzania!!!...ataanguka tu kwa natural causes...mark my word....
 
Wapenda starehe hawa wanalijuaga hilo!!!akiendelea hivi wala hafiki 2015....ataanguka tu....tena kwa vilio hivi vya watanzania!!!...ataanguka tu kwa natural causes...mark my word....

Nimekupata vema sana, dhana hiyo huwa haipingani na binadamu muovu kabisa, mwamuzi ni mungu tu!
 
Wapenda starehe hawa wanalijuaga hilo!!!akiendelea hivi wala hafiki 2015....ataanguka tu....tena kwa vilio hivi vya watanzania!!!...ataanguka tu kwa natural causes...mark my word....
Watz tuache lawama, kila kitu lawama kwa rais sasa mlitaka ashinde ikulu? Alishasema asiposafiri mtakufa na njaaa!
 
UPDATES:

SAFARI ya 321 ya Mh Rais Jakaya M. Kikwete, sasa leo anatua katika nchi ya Afrika kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa, Ethiopia atakapowasili leo Jumamosi, Januari 28, 2012
Kwanini ziara nyingine asingetuma mwakilishi? Huu ni uroho wa kusafiri na kupiga picha na masuperstar, Davos na Ethiopia kote yeye??
 
Msimlaumu raisi wetu mpendwa jamani. He is a Vasco Da Gama wa tanzania yuko katika harakati za uvumbuzi wa new economy.
Elimu yake ameshindwa kuitumia kuinua uchumi wetu, halafu akavumbue uchumi mwingine huko inawezekana??
 
akitoka huko anaumiza kichwa na kusafu kwenye internet kucheki mkutano mwingine ata kama ni wa nyanya..anaenda
utasikia RAHISI anakwenda kuhudhuri mkutano wa environmental disaster toronto canada,mwisho wa siku wanakopi na kupest walichokisikia bila kujua tunafotautiana kimazingira,mwishowe yanakuja yaleyale ya kuimiza upandaji wa miti mipya kumbe miti hiyo haifai kwa mazingira ya tanzania,mwishowe inanyonya maji yote inasababisha ukame inakua disaster nyingine kwenye mazingira.
Mwalimu wangu wa mazingira pale chuoni alinambia viongozi wa nchi hii hawana focus nzuri,wanaanzisha policy ambazo haziko relevant,hata zile weak wanashindwa kuziimplement au wanashindwa kabisa kuanzisha policy.
Huyu jk ni janga la kitaifa,tutajutia sana.na bado.
 
Kula bata jk mpaka watie akili!!ukitoka huko andaa safri nyingine EUSTONIA kujadli changamoto za uchumi wa bara la Asia!
 
Kwa mujibu wa kunganisha taarifa za kwenye vyombo vya habari nimepiga hesabu na kugundua safari za mkuu wa nchi mapka sasa ametumia Ka EPA kamoja cha billion 80.5 fedha hizi ukilinganisha na alichokipata utakuta kwamba safari hizi zimetia hasara kubwa kwenye nchi hii.

Hesabu hizi ni kwa kadirio la million 250 kwa safari ikiwa wadau wengine wanasema inafika mpaka million 300, ewe Allah mwingi wa rehema ongea na baba yetu. Amina.
 
Back
Top Bottom