Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...320 angalau ukizidisha mara siku 3 anazokaa huko, karibu miaka 3 "raisi" yuko uhamishoni ndani ya miaka 6 ya "utawala" wake!
Huyo ni RAHISI wa Tanzania
Pilot jakaya at workHUU UJUMBE UNAHUSISHA MAAFISA 18...WAKUU...
KWA UZOEFU WANGU NATOA MCHANGANUO UFUATAO
1.MAAFISA WA NGAZI ZA JUU 18
2.TECHNICAL TEAM[hawa ni maafisa wanaotangulia kushughulika na maandalizi ya mkutano,kutoka sekta au wasaidizi wa maafisa wakuu ie katibu wa waziri,maafisa itifaki,wataalamu wa kisekta] approximatelly watakuwa kama 18 pia
3.SECURITY DETAIL accompanying Presidential Entourage] kutegemea na threat ....lakini si pungufu ya 10
4.TISS OR PSU advance team ...hawa ni maafisa usalama wanaotangulia siku kadhaa kabla ya rais na ujumbe wake kufika....
assume kuwa Wajumbe minimum watakaokuwa kwenye safari hii ni 60
1.return tickets [business class] DAR-SWISS-ADIS-DAR] 60 @ 3,000 = USD 180,000[TZS 298 MILLION]
2.Allowances executives 8 days @ use 1,200 per day for 18 people=usd 172,000[tzs 280 million]
3.Allowances technical team 8 days @ 800 for 18 = usd 115,000 = [tzs 186 million]
4.allowances security detail 8 days @ 500 for 10 = use 40,000[tzs 64 million]
5.allowances PSU 20 DAYS @ 500 for 10 =usd 100,000[ tzs 162 million
PRESIDENTIAL FLOAT USD 200,000 [balance to be returned to treasury ]
so in short him safari itagharimu minimum dola 800,000 au tzs billion 1.3.
Simply him press release imeongeza damage kwa state..kwani kiwango cha million 300 alichosema tanzania daima kinatosha kwa Nauli tu....bora wangekaa kimiya!!
Atajirusha sana na mwisho anaangukaPilot jakaya at work
Wapenda starehe hawa wanalijuaga hilo!!!akiendelea hivi wala hafiki 2015....ataanguka tu....tena kwa vilio hivi vya watanzania!!!...ataanguka tu kwa natural causes...mark my word....Atajirusha sana na mwisho anaanguka
Wapenda starehe hawa wanalijuaga hilo!!!akiendelea hivi wala hafiki 2015....ataanguka tu....tena kwa vilio hivi vya watanzania!!!...ataanguka tu kwa natural causes...mark my word....
Watz tuache lawama, kila kitu lawama kwa rais sasa mlitaka ashinde ikulu? Alishasema asiposafiri mtakufa na njaaa!Wapenda starehe hawa wanalijuaga hilo!!!akiendelea hivi wala hafiki 2015....ataanguka tu....tena kwa vilio hivi vya watanzania!!!...ataanguka tu kwa natural causes...mark my word....
Mtakuwa wajinga sana mkimtegemea mungu kwa jambo lililo ndani ya uwezo wenu watz!Nimekupata vema sana, dhana hiyo huwa haipingani na binadamu muovu kabisa, mwamuzi ni mungu tu!
Kwanini ziara nyingine asingetuma mwakilishi? Huu ni uroho wa kusafiri na kupiga picha na masuperstar, Davos na Ethiopia kote yeye??UPDATES:
SAFARI ya 321 ya Mh Rais Jakaya M. Kikwete, sasa leo anatua katika nchi ya Afrika kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa, Ethiopia atakapowasili leo Jumamosi, Januari 28, 2012
Elimu yake ameshindwa kuitumia kuinua uchumi wetu, halafu akavumbue uchumi mwingine huko inawezekana??Msimlaumu raisi wetu mpendwa jamani. He is a Vasco Da Gama wa tanzania yuko katika harakati za uvumbuzi wa new economy.