Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

EE mungu tuepushe na hii laana 2015 vasco da gama yuko uingereza ,huu uzi itabidi mu_update ili msije mkambania explorer manake amepania kuweka record
 
Kweli sidhani kama kuna raisi mwingne aliyesafri kama huyu vasco dagama wetu.
Nahisi ndio maana anashindwa kutoa maamuzi ya baadhi ya matukio yanayotokea nchini kwasababu hajui chochote kinachotokea muda huo.
 
Wengine tunaangalia tu maana tukihisabu itabidi vichwa vituume kwa jinsi zilivyo nyingi
 
badala uwahudumie wazazi wako angalau upate heri duniani unakazana kufuatilia safari za rais kweli kunawatu wamekufa bado kuoza tu.

ni muhim kufuatilia kwakua ndio tumemuweka hapo alipo acha umalaya wewe mtoto wa kike
 
Kwa miaka 8 amefanya safari 351
Kama amekaa siku 3 kila safari ni siku 1053
Sawa na miaka 3 kasoro siku 42 hayupo nchini
Kwa miaka 8 ameongoza miaka 5 tu
 
Hivi huyu Mkuu wa kaya hajiulizi Kwann hao marais au wakuu wa kaya zinazojiweza hawazururi kama yeye?Au hawataki kutafuta zaidi kwa ajili ya kaya zao?Nadhani ataenda hadi vile visiwa vinavyogombewa na Uingereza na Argentina.
 
ni muhim kufuatilia kwakua ndio tumemuweka hapo alipo acha umalaya wewe mtoto wa kike

Hakuna ubaya wo wote kufuatailia safari za rais kama mwananchi kwani anataka kujua faida au hasara ya safari za namna hii. Upo? Kama huna cha kuchangia ni bora mtu ukanyamaza.
 
Fastjet alikuwa souz hii past weekend

Hata mie nimeshtuka. Siku hizi hata hatuambiwi tena kama akisafiri?

Pichani Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijibu maswali toka kwa wanahabari wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari mara baada ya mkutano wa siku moja wa Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ Troika on Politics, Defence and Security Cooperation) katika jumba la wageni wa Rais la Sefako Makgatho jijini Pretoria, Afrika Kusini, Jumamosi usiku.

Kutoka kulia ni Rais wa Afrika Kusini Mhe Jacob Zuma, Rais wa Msumbiji ambaye pia ni mwenyekiti wa SADC Mhe Armando Guebuza, Katibu Mtendajji wa SADC Dkt Tomaz Augusto Salomão na Waziri wa Mambo ya Nje wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah

p1.jpg
 
Mkuu akimaliza ngwe lazima awe mtaalam mshauri wa masuala ya ndege na anga..! Japo nchi haimiliki hata kabawa ka ndege..!
 
Rais Kikwete awasili nchini Malawi leo kuhudhuria mkutano wa viongozi wakuu wa nchi za SADC
 
Back
Top Bottom