Kwa vielelezo na ushahidi usiotia shaka, thibitisha:Makubwa yapi zaidi ya kuua demakrasia, na kuua ovyo wakosoaji wake na kufanya maamuzi ya ovyo yanayoligharimu taifa.
Thibitisha kauli yako kwa ushahidi.Mambo makubwa ya kumpiga risasi lissu na kuwaua akina lwajabe
Kama huna macho wala masikio ya kusikia amin amini nakuambia ata akishuka malaika akishuka hutamuamini.Kwa vielelezo na ushahidi usiotia shaka, thibitisha:
• Ameua demokrasia.
• Ameua wakosoaji wake.
• Amefanya maamuzi ya hovyo yaliyoligharimu taifa.
Note: Usilete hearsay au speculations. Uweke tangible evidence.
Pinga hoja yake kwa hoja.Thibitisha kauli yako kwa ushahidi.
... sio kila safari utatangaziwa! Juzi si alikuwa Maputo na baadhi ya viongozi wa SADC kujadili issue ya ISIS Mozambique? Did you know this?View attachment 1749075
Habari za Kazi wana Jamii Forum.
Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa taifa.
leo tarehe 11 April 2021 Mhe Samia anafanya ziara yake ya kwanza nje ya Tanzania na ziara hii ina lengo la kusaini makubaliano ya ujenzi wa bomba la mafuta.
Ni ziara yenye tija kwa uchumi wa Nchi.
Aidha ikumbukwe mtangulizi wake Hayati Dr John Pombe Magufuli hakuwa mpenzi wa ziara za nje ya nchi na mara nyingi alimtuma Mhe Samia Suluhu kumuwakilisha.
TUTAENDELEA KUTOA UPDATES YA ZIARA ZA NJE ZA MH RAIS SAMIA.
hizo ni escaperoutes za watu msiokuwa na hoja na mnaowafanyia wenzenu character assassination. He who alleges must prove. Umeshidwa ku-prove unachokisema.Kama huna macho wala masikio ya kusikia amin amini nakuambia ata akishuka malaika akishuka hutamuamini.
Lini hiyo... sio kila safari utatangaziwa! Juzi si alikuwa Maputo na baadhi ya viongozi wa SADC kujadili issue ya ISIS Mozambique? Did you know this?
... soma hiyo ... SADC Leaders Worried Over ISIS Terror Deploy Technical Team in MozambiqueLini hiyo
Mtaani watu wanaongea kwamba hvi haiwezekani tukaenda kufukua ile maiti then tuimwagie tindikali?? Watu kama hawa unaweza ukawajibu nini mkuu.hizo ni escaperoutes za watu msiokuwa na hoja na mnaowafanyia wenzenu character assassination. He who alleges must prove. Umeshidwa ku-prove unachokisema.
wewe umewajibuje kwani?Mtaani watu wanaongea kwamba hvi haiwezekani tukaenda kufukua ile maiti then tuimwagie tindikali?? Watu kama hawa unaweza ukawajibu nini mkuu.
HakikaSafi sana ..Huu uzi utakuja kutumika kama rejea siku za mbeleni!
Mwacheni mama akatengeneze mipangoSafari za ulaya zinaanza lini?