Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

Eti watu wanaleta ubishi kwamba rekodi aliyoiweka JK hakuna atakayeivunja. Mi nasema Samia ataivunja mapema tu! Atasafiri mara nyingi kuliko rais mwingine aliyepita.

Ni miezi 5 imepita akiwa Ikulu na tayari nchi 5 kisha zitembelea. Ameimaliza Afrika mashariki, sasa anaelekea kusini, akimaliza huko atazipiga za kaskazini kabla hajanyoosha kuelekea Asia. Shida ni hii Corona lakini naamini baada ya kuja kwa Tony Blair, kinachofuata ni kuitembelea UK. Uwezo wake wa kusafiri ni mkubwa, rekodi ataibeba.
 
Kuna uzi wa Safari zake ulianzishwa hapa, Sijui umepotelea wapi
 
sipaoni tunapokwenda, ni kwendo wa kupapasa gizani.
 
Kujadili vitu ambavyo huna uwezo navyo na visivyo msaada kweti ndiyo chanzo cha umaskini wetu.

Pumbavu kabisa badala ya kujadili mambo yanayotusibu kwa ukaribu wetu unaleta ujinga hapa akisafiri sana unaumia nini au unapungukiwa nini mbweha wewe fanya yako kenge wewe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bi mzururaji

Bi tozotozo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…