Safi sana Rais Kagame; kama kawaida yako Umenusa 'Tego' la 'Geneva ya Afrika' na 'Ukachomoa' kwenda, hivyo imekula kwao

Basi rejea kwenu huku ugenini unatafuta nn?
 
Huwa napenda mno kukutana na Intelligent JF Member kama Wewe hivi Mkuu, ila bahati mbaya ni kwamba Mipumbavu ndiyo imejazana na haitaki Kuelimishwa.
 

Tujikumbushe kidogo PAKA alipompiga mkwara JK in 2013.

Mziki uliofuata kuna karnali wa JWTZ aliedhani wenzake awamjui kukimbilia Rwanda haraka sana kwa usalama wake bila ya kufuatwa na mtu yeyote; halafu kuna mziki uliopelekwa Rwanda kimya-kimya wahusika wanadai Kagame hakuwa akilala Ikulu kwa miezi sita anajificha.

Baada ya hapo neno Tanzania na raisi wake anapowaongelea ni kwa adabu na heshima; ajawahi thubutu tena kuropoka upuuzi kuhusu Tanzania.
 
We jamaa ni mpuuzi sana itoshe kusema mental case
 
Mnavyomsaidia Rais wa Congo DR ( tena Kimedani ) pamoja na Kupenyeza Watu wenu wa Idara Kuisoma Rwanda Kijasusi ( Kinjagu ) mnadhani hatujui au hatupati Taarifa? Mnajiona Wajanja na mna Akili wakati ni Kinyume chake.
We mnyarwanda unaposti hapa ukiwa Ufaransa huko umejificha. Chomoza hapo murumonge au Kitaranya uone utakavyozolewa na wananjagu wa Nyerere asubuhi mapema.
 
Nina uhakika kwa huu Uwongo wako Majuha ( Nuts ) Wenzako wengi tu hapa Watakuamini, ila tunaojua ya ndani isingetumika Busara na Heshima ya Malezi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere leo hii Magogoni na Chamwino zingekuwa ni part and parcel za Republic of Rwanda.
 
Basi rejea kwenu huku ugenini unatafuta nn?
Namalizia kuwasoma ( hasa Ngome zenu Kuu ) ili mkituchokoza tu tujue tunaanzia wapi Kuwamaliza.

Nilikuwa Morogoro sasa nipo Dar es Salaam ( nacheza sana na maeneo ya Kunduchi, Mbweni, Kawe, Kigamboni, Gongo la Mboto na Temeke Mgulani ) na nitaenda Tabora, kisha Mara, nitarudi Arusha, nitatafuta uwezekano wa kukaa Jirani na Kihangaiko ( Msata ) Bagamoyo na nitajitahidi mno niende Nachingwea Mkoani Lindi na nitamalizia na Mikoa ya Kigoma na Kagera ( hasa maeneo ya Mipakani ) na najua nikifanikiwa kwa nikitakacho huko napeleka tu Ripoti kwa Mwamba wa Rwanda kuwa akae huku amepiga Nne na anakunywa zake Juice kwani Potential Areas zote za Kimedani ziko ndani ya Watumishi wake tukuka akina GENTAMYCINE na kwamba muda wowote tu akiitaka Tanzania aseme tu anaitaka lini kwakuwa Strategically ipo Kiganjani na ni Nyepesi mno Kimedani ukilinganisha na Mafunzo ya Wapambanaji wa Rwanda wanaoongozwa na Watu wenye Akili Kubwa na Waliobarikiwa Kabila la Watutsi.

Nimemaliza.
 
Aisee hii ni easiest way[emoji2]

Unawapa silaha wale FDLR na wahutu kadhaa mule ndani.

Unakaa pembeni unakula popcorn
 
We jamaa ni mpuuzi sana itoshe kusema mental case
Na ninawatieni Ndimu ( Nawapanikisha ili Mkasirike ) kwa Makusudi ili mkasirike na muanze Kujitapa kwa kusema Intelligence and Defence Strong Points zenu ili mnirahisishie Jukumu Kuu nililokabidhiwa na Kuaminiwa nalo la Taifa la Rwanda.
 
Lakini kama kweli member mmoja wa EAC analeta cheos kwa member state mwenzie kuna price atalipa tuu , kubwa tunahitaji security stability within EAC Member states haswa maisha ya wananchi .....
 
Lakini kama kweli member mmoja wa EAC analeta cheos kwa member state mwenzie kuna price atalipa tuu , kubwa tunahitaji security stability within EAC Member states haswa maisha ya wananchi .....
Mmechelewa. Mwambieni Mrembuaji Wenu Rambo aache kuisaidia Congo DR ( wakata Viuno ) na waambieni Rasilimali zao tunazichukua na Kuwapiga tutawapiga na wakicheza hata nchi yao nzima tunaichukua kwani 65% ya Wanajeshi wao ni damu ya Vijana wa Nyamulenge ( hasa akina Kadogoo ) walioingizwa ( penyezwa ) kwa Uwingi pale Hayati Laurent Desire Kabila ( Baba ) alipoingia na hasa Rais aliyetoka Joseph Kabila ( Mtoto ) alipokuwepo.
 
Ukiona nchi inaweka kambi ya jeshi karibu na mipaka yako na wanafanyia mazoezi mpakani mwako; elewa kwamba hayo maandalizi ni kwa ajili yako siku ukijiingiza kwenye 18 zao.

Hakuna mmbabe duniani anaeweza kukubali nchi jirani ifanye mazoezi mpakani kwake, kama awezi mzuia in retaliation na yeye ata muwekea kambi karibu.

Tanzania huko kanda ya ziwa inajifaraghua iende mapori gani karibu mpakani na Rwanda, Congo, Burundi au Uganda; kufanya mazoezi yake na hakuna mwenye uthubutu wa kuuliza.

Endelea na ndoto zako za Ali Nacha wakati bila ya kurusha ata silaha tukizuia mafuta yao yanayo pitia bandari za Tanzania hawana shughuli.

Ungekuwa unajua usingeweza ropoka Rwanda inaweza itisha Tanzania nchi inayoilisha, inayotumia barabara zake na bandari kupeleka bidhaa muhimu kwao ambazo zikikosekana hakuna shughuli. In other words ugomvi na Tanzania wanahitajika mitigation strategy ya mambo yote hayo kwanza.

Come back to the real world sio kutuandikia mambo ya kipuuzi puuzi kila siku.
 
Mkakati wangu wa Makusudi wa Kuwapanikisheni ( Kuwatieni Ndimu ) ili Mkasirike na Mteme Nyongo kwa Kuyasema yale ya ndani ninayoyataka kwa Kazi yangu Maalum Kwenu Tanzania na Watanzania unazidi tu Kufanikiwa kwa almost 98% hivi.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE bhana na ukiwa na Akili nyingi na Umeiva Kimbinu na Kimkakati ni raha sana hasa pale ukikutana na Wapuuzi na Washamba ambao hawana Upeo wa kujua kuwa Wanategwa na Wao wanaingia mazima katika huo Mtego na kuanza Kuropoka hadi kusema ya ndani.

Asante Mungu kwa kunipa IQ Kubwa.
 
Sasa huo ni mkakati wa siri au ni common knowledge tu ya military strategies in choking necessary supplies; kabla ya kichapo.

Au unadhani Rwanda awaelewi mazoezi yanayofanyika kwenye terrains za milima kama mazingira ya nchi yao; ni kwa ajili yao pia.

Ni hivi Tanzania is well prepared kupeleka kichapo kwenye hiyo nchi ambayo sawa na wilaya moja kubwa tu size ya Isimani Iringa, siku wakijipendekeza.

Alamsiki
 
Ufafanuzi wako ni wa Kipuuzi sana tu.
 
Kweli msongo WA akili ni tatizo kunwa
 
Punguza utahira wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo hadithi zako kawasimulie wajukuu zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…