Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰ Maskini washabiki wa Mwanza hawana cha kuonyesha πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚ ila opportunity cost, naomba tuongee kirafiki tu kwanini huwa huipendi Mwanza na unachuki nayo sana, ata kama moyoni unajua Arusha Γ—3= mwanza, ata akitokea mtu ameanzisha uzi katia ya Mwanza na Ludewa utasema Ludewa zaidi, na hii inaonesha jinsi tulivyo wanafiki.
 
Picha za Mwanza ziko wapi? Mbona unaleta blaa blaa ?
 
Picha za Mwanza ziko wapi? Mbona unaleta blaa blaa ?
Nenda kadownload kama unavyodownload picha za arusha na kuzileta hapa, Arusha yenyewe huijui ata mitaa huifahamu kutwa kuleta porojo za kinafiki, tena usisahau na ile picha ya vilima vya mabatini Mwanza.
 
Nenda kadownload kama unavyodownload picha za arusha na kuzileta hapa, Arusha yenyewe huijui ata mitaa huifahamu kutwa kuleta porojo za kinafiki, tena usisahau na ile picha ya vilima vya mabatini Mwanza.
Siwezi kumaliza bando zangu kwa mambo ya Mwanza.
 
Jamii forum kuna sehemu unaweza kutambua kabila la mtu chief????
Mbona comment yako imejaa sana chuki na ukabila????
Hujui kuwa Arusha kuna wasukuma, wahaya na wanyamwezi kibao tu
Lazima ujue kutofautisha kati ya kabila na mji na kama hujui Arusha wakazi wa asili ni wameru na wamasai na wala sio wachagga boss....punguza makasiriko mkuu hii nchi ni ya kwetu soteβ™₯οΈπŸ’œ
 
Umekwenda mbali sana mkuu, kwetu ni Ngara sio usukumani ingawa njia ni ile ile moja. Nimeisifu Arusha kwa uzuri wake na sio kwa masuala ya CHADEMA wala CUF wala CCM.

Ni mji mzuri, wenye utulivu fulani usioweza kuupata katika mkoa mwingine wowote ule wa Tanzania hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…